Kundi hili la Vijana ni janga la kitaifa:Zitto, Bashe, January, Ben, Kafulila & masalia ya Zitto CDM

Status
Not open for further replies.
DSN hujaona ushamba wa huyu mtu wako?? kumfungulia mtu thread ni isharaya inferiority complex hasa huyo mtu akiwa anajulikana na wewe ukiwa umejificha!!

ana bifu na Ben na anaonekana yeye kutumia povu jingi na anadharaulika wanao msupport ni wale wale wasioweza kuwa WAO ila kufuata mkumbo tu

honestly, you cant tune someone to be like what you want them to be...is impossible!!! tunaishi kwa kuchukuliana, sasa yy misimamo ya Ben haipendi na vanataka kulazimisha watu wakubaliane naye consequently anampa ujiko Ben bila yeye kujijua..katika ujiko huo nataka na mimi niwemo! ha ha haaa

come out lets know you!! coward!! who is a real man here??
 
Badala yake nafikiri tuogope kundi la vibaraka wa wazungu akiwemo Nuclear!

Badala yake nafikri tuogope kundi la vibaraka wanaopenda kulamaba mwenyekiti akiwemo -JJMnyika

Badala yake nafikiri tuogope kundi la vibaraka vijana wanaoku -support wewe kwa umbea wako kuhusu maisha ya vijana wenzako..nafikiri unajipendkeza kwa mwenyekit upate cheo...lol amechukua zote JJmnyika sasa lialia..

Hongera wale wote mnaopingwa na huyu kiumbe inaonyesha ni kilaza..

Hakiiiiiiiiiii!!!
alshabaab-new.jpg
 
wacha zako wewe.kwani wewe inakuhusu nini?

Haya,Hussein bashe hadi sasa anaunda genge lake huku akitumia fedha za habari corporation kujijenga nzega huku wafanyakazi wa kampuni ambayo yeye ni mkurugenzi hawana mishahara.ni kijana mwenye uwezo wa kujenga hoja.so far anataka kuunda kundi ndani ya ccm ili kujinufaisha na uchaguzi ndani ya chama.yeye ndiye aliyekabidhiwa jukumu la kuhakikisha waasi wa ANC umoja wa vijana wanabadilishana uzoefu na kundi la akina Malisa

Dr.Kitila Mkumbo

Huyu alikuwa rais wa serikali ya wanafunzi UDSM. ni mjumbe wa kamati kuu chadema lakini ni bingwa wa mikakati.hili kundi litamudhalilisha mbowe uchaguzi ndani ya chama.Ana tuhuma za kuchakachua uchaguzi wa viti maalum akishirikiana na Zitto ambao wamesoma pamoja.hawa ndiyo waliotuhumiwa uchaguzi wa bavicha kuuunda aliiance na walikuwa wanakutana na akina ben saanane hill park na mliman city kupanga mbinu za kusambaratisha ngome ya mbowe kabla ya kundi la akina heche kwenda kuomba msaada kwa akina mbowe na wazee.na kweli nashukuru Mungu wazee walichukua tahadhari na genge hili sijui kama tanzania ingekalika kama hili genge lingeongoza bavicha.wazee walitumia busara kuwanusuru akina heche ambao walikuwa wanaelekea kudhalilishwa pamoja na kuwa na historia ndefu na chadema.

hapa kulikuwa na kila dalili akina ben saanane,kitila na zitto kuendesha baraza la vijana watakavyo na pengine kusababisha machafuko. Pamoja na kwamba ben anajua kujenga hoja tujiulize nguvu kubwa aliyokuja nayo na kupata attention ya media kupita wengine kwenye uchaguzi ule ilitoka wapi?mbona kwenye cv yake hakuweka diploma aliyosoma ya forensic science?alihofia nini?

Zitto Kabwe na akina Kafulila na mtatiro so far wanajulikana walivyo ambitious,waroho wa madaraka na misimamo yao.Tulinusuru taifa hili.Uasi wa kundi hili la vijana dhidi ya wazee ndani ya vyama vyao ni hatari kwa mustakabali wa nchi na huko baadae

binafsi sielewi mtazamo wao dhidi ya slaa,au lowassa lakini najua hili kundi la chadema lina vita kali na mbowe na vijana wake ambao wameshindwa kumtetea mwenyekiti wao.Vijana wa chadema na CCM msikubali kuingizwa katika uasi wa kundi hili

.......mkuu nimekufuatilia kwa makini, nimegundua kwako ww cdm ni mbowe, na mbowe ni cdm. Kama ndivyo, utaadhirika karibuni; Achana na mgando wa mawazo yako hayo, hayana nafasi kimantiki
 
.......mkuu nimekufuatilia kwa makini, nimegundua kwako ww cdm ni mbowe, na mbowe ni cdm. Kama ndivyo, utaadhirika karibuni; Achana na mgando wa mawazo yako hayo, hayana nafasi kimantiki
Kwa hiyo mawazo yako ndiyo yenye mantiki..watu wengine michosho tu.
 
nyie ndio mnaojulia forum ukubwani..this is funny place bro

ona

after all umefanya plagiarism hapa ulitakiwa kuomba consent zetu ili upost hapa!! LOL

kicheko hicho kinaashiria UTANI nothing serious...umeeleza mambo meeengi ..duh!

Eeeeeeeeeeenh chekesha wewe!!! Mtumwa mpaka sura ya utumwa,mwanaume mzima ukaenda kupachika ID ya sura ya mwanaume mwenzio aiiibuuuuuu,tena mzungu mkiambiwa watumwa mpaka fikra sembuse ambao mnakubalina nao mawazo na fikra za kuishi na kunywa chai nao mitaani pole sana.Hiyo plagiarism,maana yake ni hii [Plagiarism is the practice of using or copying someone else's idea or work and pretending that you thought of it or created it.] hivi kwa akili yako yote huko niliko toka ufahamu wako una amini hivyo pole sana mzungu.Hapa kilichokopiwa ni kipi tuonyeshe tena usie na aibu umekuwa kama mwanamke wakati expression zako zinaonyesha u mwanaume unamalizia na LOL!!!!Ushamba mpaka kwenye kuandika utafikilia tunaongelea mipasho hapa na kuprented mnaju matumizi ya abreviation.Yale yale ya vijana /na tuzee twa self defence mechanism, kawaulize wanasaikolojia maaana yake nini,mtu akia ambiwaana self defence mechanism.Jipangeni moja ondoa utumwa wako na ID ya picha ya mzungu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kisha njoo uongee na wanaume wenzio!
 
DSN hujaona ushamba wa huyu mtu wako?? kumfungulia mtu thread ni isharaya inferiority complex hasa huyo mtu akiwa anajulikana na wewe ukiwa umejificha!!

ana bifu na Ben na anaonekana yeye kutumia povu jingi na anadharaulika wanao msupport ni wale wale wasioweza kuwa WAO ila kufuata mkumbo tu

honestly, you cant tune someone to be like what you want them to be...is impossible!!! tunaishi kwa kuchukuliana, sasa yy misimamo ya Ben haipendi na vanataka kulazimisha watu wakubaliane naye consequently anampa ujiko Ben bila yeye kujijua..katika ujiko huo nataka na mimi niwemo! ha ha haaa

come out lets know you!! coward!! who is a real man here??

Hivi unataka kumlinganisha Ben na mleta mada kuwa wako sawa ebu acheni fikra finyu nyie watoto.Ben ni Public figure kupitia chama chake na ndivyo alivyochagua.Watanzania wanamjua Wema Sepetu kwa kuwa ni Public Figure kwenye tasinia ya Music.Mimi simjui Ben wa India au Russia,namjua Ben wa Chadema,ambae leo kupitia chama hicho kikuu cha upinzani anaingia katika dhamana ya kujiaminisha kwa umma tumwamini yeye kama yeye kupitia kofia ya CDM,hivyo watu kama Nuclear wakija wanatuletea taarifa kutua amusha kuwa You guys watch out mtu wenu yuko A,B and C, basi toka hapo sisi kama Watanzania tunamkalisha chin haya Ben sema haya yanayosemwa hapa ni kweli au la?Tukipima maelezo yake na mshitaka basi tunaibuka na jibu sahihi ikibidi kumtetea Ben tunasimama kumtetea kulingana na mazingira ya ushahidi tajwa.

Haya ya kwenu nye ya mtu ambae ni Public figure mnataka aliyetuhumu mmfahamu ili iweje?,ana sababu gani ya kujileta kwenu wakati yeye si Public figure.Au Ben ajui dhamana ya kuwa kiongozi kuwa ni kuishi kwa mujibu wa usafi ambao hautakuwa na jicho la kufikiliwa vibaya na raia yoyote yule.au hiyo nayo nyie wenye sura za kizungu nalo amlijui mnaitaji kufundishwa.Mapenzi ya Bill Clinton na Monica Lewinsk japo ni private affair lakini yaliifanya umma umfanyie Bill Clinton Impeachment,sembuse nyie na historia za maisha yenu ya mitaani.

Huko tuendakao kama Ben na wenzie wanategemea kuwa wanasiasa wetu na hatimae viongozi wajue kama wana historia chafu isiyolizisha huko walikotoka basi wajue siasa bye bye,lakini kama ndio hii ya kiburi na ubishi basi wenye maajabu na vituko vyao watawakaanga sana,.tena wengine watasubilia kata ya kwanza wanapiga funda jamaa wananyanyua kata du itakuwa inauma sana kama nini?

Tena amshukuru huyu anae fumua ya Ben leo,wabaya watakuja wakati anakiu kali kama nini?manake hivi sasa unaweza uka opt kuamua siasa mimi basi ukatumia taaluma yako kwa mambo mengine,kuliko kupoteza muda kisha watu wanakulengeshea kwenye mafao muhimu watu wanavuta tandiko la kulalia na kulimwagia maji kwa kuwa umekosa nidhamu ya sehemu husika.

Na ole enu wafuasi wasio jua hata maana ya msafala ndio maana mkatumia ID za wazungu yote hiyo ni kipimo cha inferiority ili kwa kutumia ID ya picha ya Mzungu mwenye muonekano wa marehemu Stev Job basi kale ka egoism ka Superiority katakuinua na kukufanya mtu.Mna lundo la makovu mengi sana tena yanatia aibu kwa mtu ambae ni mwafrika tena Mtanzania, eti wanachukia unyonyaji uku wanatumia picha za wazungu kutafuta acceptability perception jamani aiiiiiiiiiiiiiiiibuuuuuuuuuuu!!

Nafuuu hata ya Ben unaemtetea yeye kaweka ID yake!!
 
certainly umedandia gari kwa mbele...wakati naandika ile article nilikuwa ni mshabiki wake, niliandika article nikimtuhumu bila ya kuwa na uthibitisho...alijibu vizuri na sikuwa na shida.Mkuu ukitofautiana na mtu leo...maana yake kesho huwezi kukubaliana naye??

naona hoja hii umeing'ang'ania sana, chukulia mfano huu live..mama yako na baba yako wanavyogombana leo ndio basi tena??
Yaani unaleta mfano wa baba na mama kulinganisha mahusiano yako na Zitto? Umechanganyikiwa!
 
Tusiandikie mate! Unafiki haujawahi kushinda popote! Msipobadilika mtaumbuka tu! Natema mate chini!
 
Nimejaribu kufuatilia hii sred kwakweli imekuja kinafiki kweli ila sasa imeibua mambo mengi ambayo wenye macho ya kawaida ni vigumu kuona. Maswali yakujiuliza nimekuwa nayo mengi ingawa na majibu pia nimeyapata ya kujiridhisha nayo ni kama:

1. Who is Saanane (+ve&-ve)attittude against him
2. Who are his haters and kwanini wanamuhate
3. Does he deserve to be where he is today?
4. Is he a reliable person?
5. M4C or M4RC

Majibu yangu jamaa ni educated, powerful, aggressive and always driven by his own destiny

Hatterz wake ni wale wanaojitaidi kumbadilisha ili awe wanavyohisi wao ndio sawa.

My opinion the guy doesn't deserve the position but he has to be in another level where can be recognised by the Nation instead of only somepipo frm some political parties, ila kutokana na some character alizokuwa nazo hata chama chake hakimpromote akawa popular

Yes, he is reliable since he is still young and own knowledge, experience and exposure ambavyo vikichukuliwa kama ndio silaha ya Identity yake as Public figure

M4C is better because when you differentiate yourself too much alafu dola haujaishika inakuwa ni vigumu kuwapata followers ambao kumbuka wanatatizo la basic Education

Sasa basi napenda kusema tuliochangia tumeingilia mada ambayo inaonekana kuna mtu anatamani kummaliza mtu mwingine ilihali ameshindwa kumsaidia katika kumjenga.

Ushauri wangu kwa Saanane when you are in Rome behave like Romans, ila si maanishi ndio mzee hapana bali watanzania hizi aggressive politics hawajazizoea na siku zote tunazani ni uhasi tena wa kuleta mauaji. Na kama all these allegations about you is true jipange uzaliwe upya mbona muda bado sana kwanza. Jitahidi kutokuonyesha tabia yako wakati unabishana na kivuli ambacho kimetumia ridhaa ya I'd za JF kukumaliza, hujui at the end wataibuka wangapi na kwa mbinu zipi. Binafsi sikuji wala kukufahamu kiukweli hata kukusikia ndo nakusikia humu JF how do I perceive you at the future huoni utapata taabu sana kunishawishi kaka yangu.

Kama wengine walivyokushauri ikiwa nikweli ulifanya hayo ya huko India mimi sioni haja ya kukuhukumu kwani naona ulikuwa shupavu kwa Chama chako hata ukawa unasacrifice your carrier, na issue ya kujiunga na jeshi hiyo ni moja ambayo mtu anaamua kupitia ili ajikamilishe na hasa ukizingatia akili ya ujana haina tofauti na ya mtoto naona was way forward to your future life ingawa wengi tunaweza kuona in negative way. Sina la zaidi CDM kuweni mnataka mpaka mpigiwe ngoma ndo mjue mmekuwa martured jaman!!!!?
 
Ben, this time 2morrow, be humble, kuwa msikivu, acha dharau, accept critics etc,
Iga mfano wa mienendo ya John Heche kwani kijana katulia na watu wanamkubali sana 2, ila ww Ben kutwa kugombana na wa2 ambao ndo wapiga kura wako na baadhi ni vijana wanasiasa kama wewe tena wenye uwezo zaid yako.

huyo ana kiburi na jeuri kaka.unamwambia tena we kama heche.dogo anamuona heche kama mtu dhaifu anyekubali kuburuzwa.kwake ben misimamo yake hata kama soko au kanisa zima linampinga hajali ndivyo alivyo.waliokuwa wanasoma nae akina mazengo,emmanuel oberlin na wengine watakushangaa huu ushauri wako.huyu ana kisirani sana

Mleta thread hii tofauti yake kubwa na hao anaowaponda ni unafki na kujipendekeza,anajifanya Mtetezi wa CCM na Chadema at the sametime,hao unaowaponda wanasifa moja kubwa wanaweza kuonesha misimamo yao hadharani,anashauri usalama wa Taifa iwashughulikie ,sijui sifa ipi inakufaa kati ya ujinga au upumbavu,hivi kati ya kina zitto na wezi wa maliasili zetu wapi wanapaswa kushughulikiwa na TISS,uzuri wa watu wanafki wanajikoroga kwenye thread zao wenyewe,chagua CCM au upinzani usinye pasuka msamba kwa 'nyege' za kisiasa kutumikia mabasha wawili!

wewe ni mjinga na una hulka za kidikteta kama hao vijana.kwani mimi kuwa ccm au chadema kwa pamoja kuna tatizo gani wewe au inakuhusu nini.najua youth patriotic movement anayotaka kusajili ben ni kwa ajili ya kuvunja nguvu UVCCM baada ya kuona bavicha imeshindwa kupambana na uvccm.ni kwa nini asisaidiane na heche kuimarisha bavicha ili ipambane na uvccm? bahati mzuri usalama wa taifa walimshtukia wakamkatalia usajili na hela amabzo alipata kutoka Rwanda patriotic front zimezuiwa standard charterd bank .
 
Ni bahati mbaya sana nimelazimika ku-quote lihabari lote hilo...sikuwa na jinsi. Awali ya yote, huyo Ben mie ndo kwanza namsikia leo!!! Lakini kwa kuzingatia hapo kwenye red, kwamba jamaa anawachukia Wazungu kwa kuangalia jibu alilotoa kwa Waeborya; nashawishika kusema sikubaliani na wewe hata chembe!! Kwa kuangalia hilo jibu, ni kwamba mshikaji namkubali at least kwa ku-base kwenye hilo andiko moja pekee!!!

Hayo mambo ya ukicheche....hayajawahi kuwa topic of my interests in my life hata kama vile vile siyatetei! Lau kama nikipewa mizani, mtu mmoja awe mtakatifu kwelikweli anayejizuia na uzinzi lakini mwenye fikra za kukumbatia wakoloni na mwingine awe ni mzinifu mithili ya Ben lakini anayechukia ukoloni mamboleo....then kama ni lazima ni-cast my vote to one of them; i'll definetely cast my vote to mzinzi anayechukia ukoloni mamboleo na wala sitajipa japo nafasi ya kumfikiria mtakatifu asiye mzinifu lakini mwenye kukumbatia ukoloni mamboleo! Hata kama uzinzi nitakuwa nauchukia namna gani, nitajaribu japo kujifariji kwa msemo wa "Ya Kaisari Mpe Kaisari....!!"

Binafsi, kama Ben...sichukii wazungu bali nachukia ukoloni mamboleo!! Na katika hili,sina shaka yoyote kwamba nawachukia zaidi mawakala wa ukoloni mamboleo kuliko ninavyowachukia wakoloni wenyewe! Na kama napewa sime, na kulazimishwa kumchoma mmoja wapo; kati ya wakala mwafrika wa ukoloni mamboleo na mkoloni mamboleo mwenyewe...katu sitasita wa kujiuliza mara mbili kwamba sime yangu niielekeze wapi...!!!!!

Kwangu mie, huyo Morgan Tsavangiraia ndie the Greatest Neo-Colonialism Agent ambae ana-exist katika pande hizi...!! Haitatokea hata siku moja nikaja kufurahia kifo cha mtu....lakini leo hii endapo Morgan Tsavangiraia anakufa, halafu nawekwa at the gun point na kulazimishwa ama kufurahia kifo chake au kusikitikia kifo chake; naamini itanichukua miongo kadhaa kuusahau unafiki niliofanya endapo nita-opt kusikitika na kinyume chake; itanichukua labda siku chache tu au hata masaa endapo nita-opt kufurahia!!

mhh...kumbe extremists mko wengi? utakufa kwa chuki mkuu.dr.slaa alipoambiwa kaiba mke wa mtu hukuona madhara yoyote kwa chama chake?kama hujutii au huangalii matendo ya watu wapenda totoz wakichukua nchi mabinti zetu na wake zetu watapona kweli?

Halafu naomba tuheshimiane mimi si kibaraka wa ukoloni.kuna tofauti gani kati ya ukoloni mamboleo unaoletwa na ubepari na chadema ambayo ben ni mwanachama?muulize msimamo wake kuhusu mfumo wa uchumi na chadema inasimamia nini?how can you be a capitalist and at the same time a leftist?
 
jamaa anawachukia wakenya lakini mademu zao anamega na kunyang'anya.watu wakiwa marais yataokea yale yale ya babu seya na mkulu ambaye mnamsingizia

Maskini dada wa watu kajama kalimchomoa kanisani alikokuwa anaimba kwaya kwa uroho wake tu.huyu anaitwa koii Githae mkikuyu aliyepokelewa fasta alipotua new delh.ben akamchukulia ofisa mmoja wa ubalozi wa nigeria hamadou Ofue(Ogah Ofue)

View attachment 50498View attachment 50499
huyo wa katikati huyo hapo chini
View attachment 50501

sijui mdada unakaaje na lijama libishi kama hili,jeuri linalofananna na ghadafi linaloamini kile lilichosimamia tu .wanawake ni viumbe wa ajabu sana.haka kajama ukikaona kamekaa karibu na demu ,binti au ndugu yako wa kike unaanza kujiuliza litakalofuata baada ya hapo.sasa anaaminika kweli anapopigania maslahi ya vijana wa kike?
 
FONT=century gothic]sijui mdada unakaaje na lijama libishi kama hili,jeuri linalofananna na ghadafi linaloamini kile lilichosimamia tu [/FONT].wanawake ni viumbe wa ajabu sana.haka kajama ukikaona kamekaa karibu na demu ,binti au ndugu yako wa kike unaanza kujiuliza litakalofuata baada ya hapo.sasa anaaminika kweli anapopigania maslahi ya vijana wa kike?[/QUOTE]

Lazima ugomvi wenu utakuwa ni wanawake. Nucklia to tell you the trueth unaniuzi kitendo cha kutoa picha za mabinti wawatu eti kwasababu wametembea na hasimu wako. When you attack smeone attack him personally acha kuleta dharau kwa dada wa wenzio kisa walimpenda jamaa yako, cha muhimu na wewe jichunguze umepungukiwa na nini kinachofanya wasikupende mpaka wamzimikie yeye.

Nilianza kupenda point zako nikarely on them ktk kujiridhisha kumbe huna tofauti na huyo unayemuita mbaguzi maana na wewe unachuki mbaya kuliko mate ya COBRA. Stick to the point bana what do you want you anony with fake I'd frm JF?????
 
jamaa anawachukia wakenya lakini mademu zao anamega na kunyang'anya.watu wakiwa marais yataokea yale yale ya babu seya na mkulu ambaye mnamsingizia

Maskini dada wa watu kajama kalimchomoa kanisani alikokuwa anaimba kwaya kwa uroho wake tu.huyu anaitwa koii Githae mkikuyu aliyepokelewa fasta alipotua new delh.ben akamchukulia ofisa mmoja wa ubalozi wa nigeria hamadou Ofue(Ogah Ofue)

View attachment 50498View attachment 50499
huyo wa katikati huyo hapo chini
View attachment 50501

sijui mdada unakaaje na lijama libishi kama hili,jeuri linalofananna na ghadafi linaloamini kile lilichosimamia tu .wanawake ni viumbe wa ajabu sana.haka kajama ukikaona kamekaa karibu na demu ,binti au ndugu yako wa kike unaanza kujiuliza litakalofuata baada ya hapo.sasa anaaminika kweli anapopigania maslahi ya vijana wa kike?

mhuuuu!!!! Umbea+wivu+majungu+unafiki kwa mtoto wa kiume=??????????
 
anayesema ben ni public figure aniambie ni figure ya public gani?no man's land?heche is.

Nisingependa kuona mtu anamuingiza Heche katika ugomvi wake binafsi na aliyekuwa either hasimu wa Heche au rafiki wa Heche. Labda utuambie wewe mwenye JF fake I'd ndo Heche mwenyewe na kwanini asiingie na his own identity kama anajiamini? Anyway tuyaache hayo kusema Ben sio public figure ni kwamba naona unajilazimisha ubongo wako kutokuamini unayoyaona au kusikia. Binafsi hata sura simfahamu lakini haimaanishi eti kukataa kama BWM ni public fgure kisa kuna wanakijiji fulani huko mpaka leo wanajua Nyerere ndio rais, maana yake waliopita hapa katikati hawapo kichwani kwao au hawajawahi kuwepo. Usijidanganye na chuki kwa mwenzio jamani mpe respect panapowezekana na kukubalika na wewe utabarikiwa
 
Nimejaribu kufuatilia hii sred kwakweli imekuja kinafiki kweli ila sasa imeibua mambo mengi ambayo wenye macho ya kawaida ni vigumu kuona. Maswali yakujiuliza nimekuwa nayo mengi ingawa na majibu pia nimeyapata ya kujiridhisha nayo ni kama:

1. Who is Saanane (+ve&-ve)attittude against him
2. Who are his haters and kwanini wanamuhate
3. Does he deserve to be where he is today?
4. Is he a reliable person?
5. M4C or M4RC

Majibu yangu jamaa ni educated, powerful, aggressive and always driven by his own destiny

Hatterz wake ni wale wanaojitaidi kumbadilisha ili awe wanavyohisi wao ndio sawa.

My opinion the guy doesn't deserve the position but he has to be in another level where can be recognised by the Nation instead of only somepipo frm some political parties, ila kutokana na some character alizokuwa nazo hata chama chake hakimpromote akawa popular

Yes, he is reliable since he is still young and own knowledge, experience and exposure ambavyo vikichukuliwa kama ndio silaha ya Identity yake as Public figure

M4C is better because when you differentiate yourself too much alafu dola haujaishika inakuwa ni vigumu kuwapata followers ambao kumbuka wanatatizo la basic Education

Sasa basi napenda kusema tuliochangia tumeingilia mada ambayo inaonekana kuna mtu anatamani kummaliza mtu mwingine ilihali ameshindwa kumsaidia katika kumjenga.

Ushauri wangu kwa Saanane when you are in Rome behave like Romans, ila si maanishi ndio mzee hapana bali watanzania hizi aggressive politics hawajazizoea na siku zote tunazani ni uhasi tena wa kuleta mauaji. Na kama all these allegations about you is true jipange uzaliwe upya mbona muda bado sana kwanza. Jitahidi kutokuonyesha tabia yako wakati unabishana na kivuli ambacho kimetumia ridhaa ya I'd za JF kukumaliza, hujui at the end wataibuka wangapi na kwa mbinu zipi. Binafsi sikuji wala kukufahamu kiukweli hata kukusikia ndo nakusikia humu JF how do I perceive you at the future huoni utapata taabu sana kunishawishi kaka yangu.

Kama wengine walivyokushauri ikiwa nikweli ulifanya hayo ya huko India mimi sioni haja ya kukuhukumu kwani naona ulikuwa shupavu kwa Chama chako hata ukawa unasacrifice your carrier, na issue ya kujiunga na jeshi hiyo ni moja ambayo mtu anaamua kupitia ili ajikamilishe na hasa ukizingatia akili ya ujana haina tofauti na ya mtoto naona was way forward to your future life ingawa wengi tunaweza kuona in negative way. Sina la zaidi CDM kuweni mnataka mpaka mpigiwe ngoma ndo mjue mmekuwa martured jaman!!!!?

Dada yangu Suzie,

Asante sana kwa ushauri wako.Brotherly/sisterly advice...........!

Nitauzingatia ushauri wako kama kuna mapungufu yoyote nitarekebisha bila ku-compromise principles zangu na kile ninachoamini

I don't know why Tanzanians cannot see that it is sitting on the sideline and criticizing everyone lamely that has gotten us where we are today. Most are apathetic(no offense) to the political process yet want a developed nation. How will one happen without the other? In the current political climate of Tanzania, issues are about finding the lesser devils for now till the beautiful ones are born.loh..very interesting indeed/sad

There are a lot of similarities betwen the parties but to me they are different. At least one of this parties has been at the government corridors for over a 5 decades now inflicting pains On Tanzanians without corresponding infrastructural development. That alone stood them out.

Hatutaki kuongelea tena kuhusu watu,hatutaki kutangaza ufisadi wa CCM tena bila kuji-positioning.Sasa kila mtanzania anajua CCM jina lake la ukoo ni UFISADI

Who doesn't know that CCM is a party of political & high level criminal gangsters.Other parties are not saints either but the CCM is a crimanal cult and the worst a political party can get out. UPDP, CUF(muafaka) & and other political parties parades relatively lesser gangsters may be because they're not yet at the center. Wait a minute, It is hard for me to know what ideologies these parties stand for. Maybe a common idealogy - looting while the offer lasts.

But i don't blame them. I blame the primitive-brained people who keep voting for them especially in the last elections. There's only so much rigging you can successfully carry.tunayo option ya kuhimiza demokrasia ya kweli(uwazi na uwajibikaji) kwa maslahi ya umma basi.Vinginevyo ni lazima tuangalie approach nyingine

Tatizo tulilio nalo tulisukumiziwa demokrasia ya magharibi vichwani mwetu hata kwa gaharama ya kupindua matakwa ya umma (coup civillien) yaliyokata kwenye kura za maoni kwa asilimia 80 kuingia kwenye mfumo wa vyama vingi.Sasa ni wakati wa kujadili ni nani aliyesimamia ajenda hii kwa kisingizio kuwa dunia inabadilika?ni nani aliyetumia busara za aina hii bila kuwaandaa wananchi kuelewa maana halisi ya demokrasia ya vyama vingi? Matokeo ya uamuzi wa kuingilia demokrasia ya vyama vingi bila kutoa elimu ya uraia na ideology ndiyo chanzo cha matatizo unayoyaona ndani ya JF na vyama vya Siasa hasa linapotokea suala/dalili ya mabadiliko.Huwezi kuogopa mabadiliko kwa mfano kama Moderators na administrators wa JF wanaposema tunabadili jina kutoka Jambo forums na wakatoa sababu nzito kabisa halafu ukakataa bila hoja/kwa hoja nyepesi tu halafu baadae ukajijenge moral authority ya kuisema CCM kwamba ni waoga wa mabadiliko.

Huwezi kuhofia changes kwenye familia,kanisani au ndani ya chama cha Siasa kama intellectual halafu ukawa na mamlaka(moral authority) ya kuinyooshea CCM kidole.Taifa letu limechelewa sana,hatustahili kubembelezana na serikali inayobembeleza wezi.

Suzie,Msimamo wangu ni kwamba kama naipinga serikali ya CCM kwa kubembeleza wezi wa EPA ambao najua walistahili kuchukua drastic measures,siwezi kusujudia watu wachache wanaotumika kukwamisha changes kwa kuwa too polite kwa watu wa aina hiyo.Haya ndiyo unayoshuhudia hapa JF katika harakati za kuchafua majina ya watu kwa maslahi binafsi.Kweli kuna wengine wamedandia kweli kweli.Sitegemei mwana CCM au cowards wapende ninanchosimamia,tena nimeshangaa wapinzani wangu kuwa wachache kiasi hiki

I'm not going to kneel before them.Asante sana kwa ushauri wako nitazingatia
 
Nimejaribu kufuatilia hii sred kwakweli imekuja kinafiki kweli ila sasa imeibua mambo mengi ambayo wenye macho ya kawaida ni vigumu kuona. Maswali yakujiuliza nimekuwa nayo mengi ingawa na majibu pia nimeyapata ya kujiridhisha nayo ni kama:

1. Who is Saanane (+ve&-ve)attittude against him
2. Who are his haters and kwanini wanamuhate
3. Does he deserve to be where he is today?
4. Is he a reliable person?
5. M4C or M4RC

Majibu yangu jamaa ni educated, powerful, aggressive and always driven by his own destiny

Hatterz wake ni wale wanaojitaidi kumbadilisha ili awe wanavyohisi wao ndio sawa.

My opinion the guy doesn't deserve the position but he has to be in another level where can be recognised by the Nation instead of only somepipo frm some political parties, ila kutokana na some character alizokuwa nazo hata chama chake hakimpromote akawa popular

Yes, he is reliable since he is still young and own knowledge, experience and exposure ambavyo vikichukuliwa kama ndio silaha ya Identity yake as Public figure

M4C is better because when you differentiate yourself too much alafu dola haujaishika inakuwa ni vigumu kuwapata followers ambao kumbuka wanatatizo la basic Education

Sasa basi napenda kusema tuliochangia tumeingilia mada ambayo inaonekana kuna mtu anatamani kummaliza mtu mwingine ilihali ameshindwa kumsaidia katika kumjenga.

Ushauri wangu kwa Saanane when you are in Rome behave like Romans, ila si maanishi ndio mzee hapana bali watanzania hizi aggressive politics hawajazizoea na siku zote tunazani ni uhasi tena wa kuleta mauaji. Na kama all these allegations about you is true jipange uzaliwe upya mbona muda bado sana kwanza. Jitahidi kutokuonyesha tabia yako wakati unabishana na kivuli ambacho kimetumia ridhaa ya I'd za JF kukumaliza, hujui at the end wataibuka wangapi na kwa mbinu zipi. Binafsi sikuji wala kukufahamu kiukweli hata kukusikia ndo nakusikia humu JF how do I perceive you at the future huoni utapata taabu sana kunishawishi kaka yangu.

Kama wengine walivyokushauri ikiwa nikweli ulifanya hayo ya huko India mimi sioni haja ya kukuhukumu kwani naona ulikuwa shupavu kwa Chama chako hata ukawa unasacrifice your carrier, na issue ya kujiunga na jeshi hiyo ni moja ambayo mtu anaamua kupitia ili ajikamilishe na hasa ukizingatia akili ya ujana haina tofauti na ya mtoto naona was way forward to your future life ingawa wengi tunaweza kuona in negative way. Sina la zaidi CDM kuweni mnataka mpaka mpigiwe ngoma ndo mjue mmekuwa martured jaman!!!!?

Nimepita kote huko with all that ABADILIKE he is too young and well educated,awe mwanasiasa kwa mujibu wa mazingira ya Kitanzania.Otherwise you said all.Alipokuwa anasisitiza kuwa yuko sawa wakati sio maana yake ni sawa kaenda washroom ya kibongo unaomba toilet paper,hakika kwa wahusika utakuwa umeleta matusi,tena kwa waafrika asilia watatema mate chini kumaanisha ufahi kuwa mwanajamii wao, kwanini watafanya yote hayo kwa kuwa umeomba yasiyo sahihi, sehemu isiyo sahihi, kwa watu wasio sahihi na hicho ulichoomba.Hapa mwenye tatizo sio wao waombwa toilet paper bali mwenye tatizo ni muomba toilet kuwa unajua toilet inatumika washroom je jamii unlioenda inatumia toilet paper au kwa mzaingira yake wana aina yao ya matumizi.

Niliwai kwenda na rafiki yangu mwamerika mweusi maeneo ya vijijini kwangu,wanajamii wangu wakawa wanaona ni mweusi mwenzao lakini aongei kiswahili wala lugha yangu,ambazo ni lugha zinatumika na wakijijini. Mmarekani huyo akawa yeye na kimarekani chake,inabidi tena mimi kuwepo wakti wote kutafsiri.Mapokeo ya kwanza ilikuwa shida sana walimuona kama mjivuni inakuwaje mweusi awezi kuongea lugha hizo.

Yani tafsiri inakuwaje yeye ni mweusi asiongee lugha yao wakati yuko Padre mzungu yeye wanaongea nae kiswahili na kilugha.Hawajui kuwa mpaka Padre huyo anafika pale tayari kesha pita kwenye vyuo vya mafunzo wao wanakutana nae tayari kesha kamilika anaongea nao lugha zao moja, lakini sio kiingereza ambayo ni lugha ya Mzungu.Mimi na mmarekani huyu ambae amenitembelea mimi hatukuwa kwenye progrmme ile yeye kanitembelea kama rafiki,Jamii yangu mpaka kuja kulielewa somo langu ilichikua muda sana, wako baadhi tulipunguza makali pale walipomuona anapanda baiskeli na kucheza mpira na wanakijiji,lakini ilipofika wakati wa kuwasiliana ilikuwa kasheshe.

Tungeweza kufanya vizuri sana kama angepelekwa Tarime M brothers akatumia miezi sita pale hakika wasingejua, na tusingepata shida yote yaliyojili wangejifunza ugeni wake kama jambo la kawaida lakini sio kwenye hard way kama hiyo.Vivyo hivyo kwa vijana hawa walioko kwenye siasa za bongo wakati mwingine naona vyama vyao vimekumbatia new brains lakini sidhani kama kuna seminar za kuwafundisha kuhusu siasa za Tanzania,zaidi ya hizi reality wanazokumbana nazo kwenye chaguzi na makongamano ya kisiasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom