Ty_Vigilante
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 2,890
- 2,446
Haaaaaaah haaaaaah, they do say "There's a thick line between LOVE&LIES.! soo waweza ukapata BONGE LA BWANA,MUME ama PLAYER vyote vipo available.
Inategemea, wataka bora mume ama mume bora?mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm
wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe
NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
Sidhani kama kuna uwezekano huomwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm
wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe
NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
wengi humu matapeli mkuu bora ulionao kazini, sokoni, kanisani, jirani, njiani, nk.ila social networks mmmmmmmmmmh angalia sana
Unaazaje kuchangia thread ya mtu aliyekuwa anatafuta mchumba mwaka juzi?Life short and baby girl you deserve a winner, Hustle from my heart so every night I can deliver, I tried to change but they always around, pulling me down in bed, Gave you my word but they were just broken promises
Acha uoga muanze wewe toka lini binti akuanze wewe kwa PMoooh! nimekosa
nafasi hivi hivi kisa umri,
kama una uwezo wa kuzaa mimi nina miaka 24,
lakn nimekupenda sifa zako, pm plz
Natumai na ndoa n tayari kabisaMwenye sifa zifuatazo;
. Awe na umri kuanzia miaka 30
. Mcheshi
. Elimu haijalishi awe na kazi
. Kuwa na mtoto haijalishi
- Uje PM..
Wasifu wangu:
Nina 25
Nina shahada ya kwanza
Nina kazi
Naishi mwenyewe
Nitakupa maelezo yote PM..
ChafyaaaMamii umeshapata?
Ujue nahitaji kuoa sasa
Hebu tuambiane tafadhali!
"...umalaya tu"Mwenye sifa zifuatazo;
. Awe na umri kuanzia miaka 30
. Mcheshi
. Elimu haijalishi awe na kazi
. Kuwa na mtoto haijalishi
- Uje PM..
Wasifu wangu:
Nina 25
Nina shahada ya kwanza
Nina kazi
Naishi mwenyewe
Nitakupa maelezo yote PM..
Na poems tena...shadow angel umetishaaLife short and baby girl you deserve a winner, Hustle from my heart so every night I can deliver, I tried to change but they always around, pulling me down in bed, Gave you my word but they were just broken promises
Kwikwi!!!@#Chafyaaa
Na mkipewa magumu mtalalamika tu.Duh masharti rahisi mpaka nimeogopa
Tenaaaa. ....Walimwengu hawana jemaNa mkipewa magumu mtalalamika tu.
tunahitaji kitufe cha thumb down.uwezekano upo...mimi nafaa kuwa mume ila sio kwa ajili yako