Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
je una UBIKRA? mimi nnayemtaka sharti awe bikra. naomba unambie hili kabla sijakuijia PM.
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUPA MAELEZO YOTE PM
Niko tayari ni pm faster .
 
Je wewe:
-Una umri gani?
-Ni mcheshi?
-Ulipata GPA ya ngapi?
-Una kazi gani? Boss wako ni mwanamke au mwanaume?
- je una mtoto?
-Kwa nini unaishi mwenyewe?
- Toa sababu ya kuja PM?
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM
Ah, nilitaka kwenda znz kudaka chotara, ni pm basi.
 
Mrejesho ni muhimu Sana ili wanaotaka kugimbea wajue kama ishapita au bado,
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

Life short and baby girl you deserve a winner, Hustle from my heart so every night I can deliver, I tried to change but they always around, pulling me down in bed, Gave you my word but they were just broken promises
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom