Kuna uwezekano wa kumpata mume humu

mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

Sifa zote hizo ninazo ila je, umepima!? Tuchekiane kwenye PM tujuane vizuri
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

Mimi hapa picha please!
 
Uwezekano upo lakini pia uwe makini na matapeli hata humu wamo pia hawakawii kutake advantage ya wewe kutafuta mume humu na kukuachia majuto mjukuu.
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

0755090831 nchek
 
uwezekano upo...mimi nafaa kuwa mume ila sio kwa ajili yako
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm


wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe

NITAKUpA MAELEZO YOTE PM

Watoto je..inajalisha?
 
mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm
mamii90 mimi sifa zote ninazo kasoro iyo yenye red, utansaidiaje sasa? Halafu na hiyo kwenye green unaonekana ushazalishwa wewe, ila sio mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom