Natafuta mume, kwa yeyote aliye serious aje

Vigezo
Awe na 38-45
Dini yoyote
Awe na shughuli nipo serious nimechoka kukaa single aliyeserious aje pm

Mimi
Umri 30
Ninajishughulisha
Nina mtoto
Naishi Dar
Mengine tutaaambizana
Wew hutafut ndoa unatafuta dume ,maana huwez ukawa unatafuta ndoa useme dini yeyote itakuwa si sawa,ndoa ni kitu cha kiroho Kwanza kikristo inaitwa sakarament ya ndoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom