tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 21,932
- 18,390
je una UBIKRA? mimi nnayemtaka sharti awe bikra. naomba unambie hili kabla sijakuijia PM.mwenye sifa zifuatazo
.awe na umri kuanzia miaka 30
.mcheshi
.elimu haijalishi awe na kazi
.kuw na mtoto haijalishi
uje pm
wasifu wangu
nina 25
nina shahada ya kwanza
nina kazi
naishi mwenyewe
NITAKUpA MAELEZO YOTE PM