Kuna Uwezekano CHADEMA Inaelekea Kwishney? Zitto amebadili Online Trend...

Asante Pasco kwa bandiko lako hapo juu. Sasa katika yote hayo..where are we? especially the youth of this country? Where do we stand? It seems na sisi tumeshindwa kujitambua. To understand what we need. In fact wengi tunajiona not a credible stakeholders wa taifa letu. We assume we can delegate someone to determine our destiny na vizazi vyetu. Most of us have spectacularly failed to be part of the debate or conversation on our future. Ukiangalia michango ya vijana wengi humu utanielewa..its ACT/CCM/CDM etc against each other. We dont ask some hard question. Ok. ZZK you are in ACT..but what do you bring on the table? what will be different? same to others.

Same kwa rafiki yako Lowassa. Sijawahi kuona interview yoyote ya Lowassa articulating issues dear to our country. Sijawahi hata kumuona akiongea bungeni about some tough/contraversal issues. He want to be safe!! But utakuta wengi wetu tunaimba...lowassa..lowassa....I mean our politics do not deal with issues. I for example sijui Lowassa, Membe, or anybody being touted as CCM candidate what they stand for! Tuna shida za ajira, vijana wetu have no hopes, tunachangamoto nyingi duniani za ugaidi nk..sijawahi sikia yeyote anaulizwa hizi issues! Do these guys Lowassa, Membe et al...have any vision? apart from recycling CCM slogans year after year??????

Vijana wanaandamana kuwaomba watu wagombee..sijui kama wanajua what they want or they are simply being told to do so!Its pathetic the kind of politics we have.

Pasco tuache utani kama taifa we need soul searching. Tumekuwa wabinafsi mno.....Umasikini na njaa vimetufunika macho kabisa. Hatujitambui. Tunashindwa kuelewa kwamba we cant have a strong economy, improved social services nk bila kuwa na democracy that respond to the needs of our people.
 
katika uchaguzi wa octoba mtaambulia diwani mmoja toka mwandiga

ata hesabu inaanza na moja; kama umeona tunaweza pata diwani aksante kwa kutukubali kwa ziara hii;
tukirudia watakuwa madiwani 50; na tukienda kwenye kampeni 788

thax a lot
 
acheni kutafuta umarufu kupitia cdm. Act size ni chaust, umd chauma hivyo ndivyo vyama kama act havina hata mtaa mmoja.

kanda ya ziwa mnatafuta nn

mnyika ; wenje na wiki hii mbowe

ziara moja watu wametoka ofisini ; bila ta ya kujitambua;
tutarudi raundi ya pili;
kwenda kwa watemi maarufu tanzania
tunaanza na mangi sina ,rumanyika n.k

tunaomba mtupokee
 

Mkuu Kibanga Ampiga Mkoloni, kwa vile kwa sasa ivumayo ni ACT, subiri kwanza hii kasi yao ya nguvu ya soda ipungua ndipo tuanzishe poll, nahisi kama kila anayejiunga na ACT, anashauriwa kufungua faceboo, tweeter na kujiunga na jf, hivyo ukianzisha poll kwa sasa, Chadema mtaishia kulia bure!.

Kwa msisitizo, huku nikikuambia amini usiamini, hakuna connection yoyote kati ya Pasco wa jf, Lowassa na ACT!.
Pasco
i


Sasa hofu kwako usiye na chama yatoka wapi?
Au hofu ya kipenzi chako ELo kichapigwa chini tena?
 
zzk ni maarufu na ataendelea kuwa maarufu ila Hana chakufanya kwa cdm kujenga Chama sio kazi rahisi Hata kidogo kwasasa atafaa ajenge Chama walau afikie kupewa ruzuku sana sana atsababisha upinzani Kati ya ukawa na ccm kuwa mkali zaidi Hata pale ambapo ukawa wangeweza kushinda ambapo ndio ili Imani kwamba anatumika kudhoofisha ukawa!
 
Wanabodi,
Swali ni Jee hii ni dalili ya safari ya kuelekea mwisho rasmi wa Chadema huko chini kwenye ground zero?!. Jee inawezekana Chadema inaelekea kwenye Kwishney?!.
Paskali
.
Haka kalikuwa kaswali ka zamani, lakini kwa matokeo haya ya kushindwa kwa Chadema, watu wa kujiuliza, lazima watajiuliza tena inawezekana hizi ni dalili kuwa for sure sasa Chadema inaelekea mwisho, na uchaguzi wa 2020 ndio kwaheri rasmi Chadema?.
P.
 
Haka kalikuwa kaswali ka zamani, lakini kwa matokeo haya ya kushindwa kwa Chadema, watu wa kujiuliza, lazima watajiuliza tena inawezekana hizi ni dalili kuwa for sure sasa Chadema inaelekea mwisho, na uchaguzi wa 2020 ndio kwaheri rasmi Chadema?.
P.
Watapoteza viti vingi, lakini haitakuwa mwisho.

Upinzani bado upo na utaendelea kuwepo.
Positive thing ni kwamba turn out ni ndogo. Hii inamaanisha wananchi washajua kwamba hata wakipiga kura tayari mgombea fulani atashindwa.

Ila siku ikija kutokea tume ya uchaguzi ikawa ni mhimili inajitegemea basi upinzani utarudi tena na utashinda viti vingi tu.

Kingine ni Mh Mbowe kujitathmini. Tactics zake hazikubali msimu huu. Angekaa chini akajitathmini wapi anakosea. Atafutwe kiongozi mwingine chama kisukwe upya kwa view ya 2025/2030 na si kwa 2020.
 
Haka kalikuwa kaswali ka zamani, lakini kwa matokeo haya ya kushindwa kwa Chadema, watu wa kujiuliza, lazima watajiuliza tena inawezekana hizi ni dalili kuwa for sure sasa Chadema inaelekea mwisho, na uchaguzi wa 2020 ndio kwaheri rasmi Chadema?.
P.
hilo liko wazi mkuu, tatizo lao hawajitafakari kwanini wanashindwa badala yake wanajitetea ( defense mechanism) kuwa wananyanyaswa na kuibiwa kura zao, pia wanaamini kuwa wao wanakubalika nchini.kwa 100%

bila kubadili mbinu, chadema imeshaisha sasa.
 
Haka kalikuwa kaswali ka zamani, lakini kwa matokeo haya ya kushindwa kwa Chadema, watu wa kujiuliza, lazima watajiuliza tena inawezekana hizi ni dalili kuwa for sure sasa Chadema inaelekea mwisho, na uchaguzi wa 2020 ndio kwaheri rasmi Chadema?.
P.

Kuna kitu kinaitwa game changer. Watu si wajinga, watu wanaona, watu wanafikiri. Huwezi jua, inawezekana ma wanamuaminisha 'adui' yao kuwa wamepatikana ili wasimgutue mapema. Aliye madarakani siri ya nguvu na mafanikio yake vinajulikana, wao hawataki kuinyesha silaha zao za kivita mapema...ni suala la muda.
Kuna wakati utalazimika kuamini kuwa kumbe siasa nayo ni sayansi ingawa haina maabara zake.
 
Haka kalikuwa kaswali ka zamani, lakini kwa matokeo haya ya kushindwa kwa Chadema, watu wa kujiuliza, lazima watajiuliza tena inawezekana hizi ni dalili kuwa for sure sasa Chadema inaelekea mwisho, na uchaguzi wa 2020 ndio kwaheri rasmi Chadema?.
P.
Paskali Chadema haitakufa ila itabadilika na kuchukua mwelekeo wa NRA, RPF,Renamo nk. Mbowe ataondoka na generation yake kisha nyingine itachukua mkondo.
Hapo ndio ccm itakapo kuja kujua mtu waliyekuwa wanamnyanyasa sana alikuwa na thamani gani kwao.
Makaburu (labda kwa vile ni wazungu)walikuwa na akili kubwa sana wakagundua mapema kuwa Mandela wanayemdalilisha jela ndio karata yao walamtengeneza toka yupo jela miaka miwili au mitatu kabla ya kumuachia.
Kuna watu watakimbilia msituni au watafanya ugaidi wa mjini. Hakika naliona hilo linakuja
 
Kuna kitu kinaitwa game changer. Watu si wajinga, watu wanaona, watu wanafikiri. Huwezi jua, inawezekana ma wanamuaminisha 'adui' yao kuwa wamepatikana ili wasimgutue mapema. Aliye madarakani siri ya nguvu na mafanikio yake vinajulikana, wao hawataki kuinyesha silaha zao za kivita mapema...ni suala la muda.
Kuna wakati utalazimika kuamini kuwa kumbe siasa nayo ni sayansi ingawa haina maabara zake.
Sidhani kama kuna silaha yoyote ambayo Mbowe & co wanayo.

Chance ilikuwa 2015 kidogo tume ilikuwa fair kwa sababu JK alikuwa anapenda anaokane mwema kwa macho ya wazungu.

JPM anatest kwenda kinyume na JK na inawork, ime work Uganda, imework Rwanda na Burundi.

By Oct 2020 99% ya wabunge na Madiwani watakuwa CCM.

Ila chadema inatakiwa iangalie kwa umakini mgawanyiko ndani ya CCM hususani uchaguzi ujao wa 2020.

Weaknesses zitakazopatikana kwenye uchaguzi huo ndio watatakiwa kuzitumia kwenye chaguzi za 2025/2030.@
 
hilo liko wazi mkuu, tatizo lao hawajitafakari kwanini wanashindwa badala yake wanajitetea ( defense mechanism) kuwa wananyanyaswa na kuibiwa kura zao, pia wanaamini kuwa wao wanakubalika nchini.kwa 100%

bila kubadili mbinu, chadema imeshaisha sasa.
Hiyo ya kujiamini kwamba wao wanakubalika kwa 100% ndio ambayo ipo kichwani mwa kila mwanachadema tangu viongozi hadi mwanchama wa chini..

Lkn nafikiri hii ya kupata kura elfu 12 katika majimbo 2 inafaa iwazibue ubongo hawa jmaa
 
Watu tunaangalia uzito wa hoja. Zitto ana uwezo wa kujenga hoja na akaeleweka.Hata CCM inao watu wachache wenye uwezo wa kujenga hoja na wakaeleweka ingawaje wanaongea kwa kuogopa. Zamani wakati akina Mnyika, Halima na Lissu walipokuwa active kuongea na kutoa maandiko, walikuwa wanakubalika na kupata deserved support. Bahati mbaya, kwa sababu ya suppresive politics wanaogopa na wameamua kukaa kimya. Only Zitto and Lissu dare to speak out their minds openly.
Kwa sababu hiyo watu tunavutika kumuunga mkono Zitto kwa hoja zake,kwa sababu ni yeye tu mwenye uthubutu.
 
Wanabodi,

Kwa muda mrefu, viongozi wa Chadema, wanachama, mashabiki, wafuasi na wao, wamekuwa wakitawala mijadala humu jf, hadi kufikia kipindi baadhi ya watu kuidhania labda Chadema ina share jf, yaani kufikiri labda jf ni mali ya Chadema, hali iliyopelekea watu wengine tusio na vyama kama sisi, kukereka kwa kuishia kubezwa au hadi kutukanwa pale unapopandisha thread inayokosoa jambo lolote kuhusu Chadema. That was the trend iliyokuwepo hadi suala la Zitto lilipoibuka!.

Zitto alipotimuliwa rasmi Chadema, wengi walidhani that is the end of him!, lakini alipoibukia ACT, Zitto sasa amethibisha pasi sha kwamba yeye ni "Trend Setter", kazi yake ni ku set the trend wengine wanafuatia!.

Ujio wa Zitto kwenye ACT umeleta trend shift humu jf, zamani mijadala ya jf ilikuwa dominated na issue za Chadema hadi Chadema kujiona kama hili jukwaa ni lao, lakini sasa trend imeshift kwa mijadala ya jf kuwa dominated na Zitto na ACT yake!.

Siku zote kukitokea changes, regarless ni changes for the good or for the bad, au ni changes for the better or for the worse, kuna watu ambao they are always afraid of the changes, hivyo kukitokea mabadiliko yoyote wao watapinga tuu!. wapinzani hawa wa mabadiliko pia wamo jf, kwa kukereka ni hii change of trend, kiasi cha kuweka misimamo ya pamoja ua kutokuchangia mjadala wowote ambao Zitto atatajwa!. Hizi ni juhudi za kuuzuia upepo uvumao kwa kasi kwa kutumia mikono!. The wind of change across the opposition political landscape is sweeping across Tanzania!, the trend setter wa huu upepo si mwingine bali ni Zitto Zuberi Kabwe, hivyo Zitto ni Trend Setter!.

Watu wote makini wanaojua kufuatilia political dynamisim na political trends, hawawezi kuupuuzia kuinote hii trend shift na kujajiribu kuilinganisha na real changes za polotical dynamism kule kwenye ground, hivyo ushauri wowote wa kushauri Zitto apuuzwe, ni kama kujifurahisha kwa kuzuia upepo kwa vidole!.

Kama jf ndio inawakilisha the cross section ya jamii yetu ya Watanzania, hivyo the political landscape ya Tanzania iko shaped kutokana na trends zinazokuwa set kwenye jf, nikimaanisha kinachoendelea jf ndicho kipimo cha kinachoendelea Tanzania kwenye medani za siasa, then Zitto Kabwe ana very big impact kwenye mustakabali wa siasa za nchi hii!.

Hivyo sasa haya mabadaliko ya jf trend ku shift from Chadema attention dominated jf into ACT attention dominated jf, inaweza kuwa ndio kiashiria cha awali kuwa hii shift of trend sio tuu inashift humu jf alone, bali ndio the real shift on the ground kwa change kwenye opposition political landscape kuwa sasa mambo yote ni ACT hivyo inawezekana huu ukawa ndio mwanzo wa mwisho wa Chadema?!. Kwenye utawala na umiliki wa Chadema kwa jukwaa hili la jf, unaelekea kwishney kwa sasa na kuanza kutawaliwa na ACT, jee shift hii itadumu?!, na ikidumu jee inaishia tuu humu humu jf, au inakwenda hadi kwenye ground?!, yaani Chadema sasa inaelekea 'kwishney?!.

Ni swali tuu nimeuliza, kama kuna wenye majibu karibuni, ila pia tuzingatie kanuni za maswali na majibu, mtu ukiulizwa swali, kwanza unatoa jibu, ndipo kama na wewe una swali, unauliza, na sio mtindo wa ki jf jf, mtu anauliza swali, wewe huna jibu bali na wewe unakuja kuuliza swali!.

Angalizo kwa Wachangiaji: Hili ni swali dogo tuu ninalouliza, kama hujaelewa nakushauri usijibu kitu na sio lazima kuchangia kila thread kama umeona kuna kitu huelewi, bora jipitie tuu kisha ujiendee zako! .

Kwa kuwasaidia wale wazito wa kuelewa, kama mimi nilivyo, na hatuna uwezo wa kusoma maneno mengi, kwenye thread nzima, nalirudia swali kwa ufafanuzi,
"Zitto ni 'Trend Setter'!, Amebadili hadi The Political Trend ya mijadala ya siasa humu jf, kwa kuhamisha attention toka kwa Chadema kuelekea kwa ACT, hivyo kuumaliza ule utawala rasmi wa Chadema kutawala mijadala humu ndani ya jf, sasa mijadala inatawaliwa na Zitto, na sio Chadema tena!. Hali hii kwa lugha ya mitaani tunaielezea ni Chadema kuelekea kuwa kwishney kwenye utawala wa mijadala ya jf, na Zitto sasa ndio mtawala!. Swali ni Jee mwisho wa utawala huu wa Chadema ni humu jf pekee, au inawezekana hiyo ndio hali halisi ya mabadiliko ya mwelekeo wa kisiasa wa mwanzo wa mwisho wa Chadema huko chini kwenye ground?!. Jee inawezekana Chadema inaelekea kwenye Kwishney?!.


Asante
Paskali

NB. Pasckali wa jf, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa. Wale wanamdhania ni Chadema poa, wanaomdhania ni CUF, poa, mnaomdhania ni CCM poa, na sasa hata kama mtamdhania ni ACT poa tuu, yaani ni ruhusa kudhania vyovyote ila siku zote ukweli halisi huwa unabaki kuwa ndio ukweli na ndio pekee utakaosimama mpaka mwisho!. Pasco wa jf hajali kudhaniwa vyovyote kwa sababu anajijua alivyo mkweli na ni nini anachokisimamia, siku zote anapandisha thread zake with truthfulness, objectivity, na impartiality ya hali ya juu!.
Tatizo ni kuwa zitto ana trend kama Zitto ili hali cdm now ina trend kama chama?

Trend ya Zitto ingekuwa na impact kubwa kama angepata jukwaa kubwa kama cdm, cuf ya wakati ule au ccm.

Now anaujenga upinzani/ukawa ama cdm sababu hoja zake zinachukuliwa kama hoja za upinzani/ukawa/cdm.

Si ajabu hata akaangushwa ubunge 2020, 2022 ukamsikia ccm.
 
Haka kalikuwa kaswali ka zamani, lakini kwa matokeo haya ya kushindwa kwa Chadema, watu wa kujiuliza, lazima watajiuliza tena inawezekana hizi ni dalili kuwa for sure sasa Chadema inaelekea mwisho, na uchaguzi wa 2020 ndio kwaheri rasmi Chadema?.
P.
Pascal nawe vipi bhana!
Huku sio kwisha kwa CDM, huku ni kuminywa kwa demokrasia. Au huu ni ubabe wa uncle. Bulldozer linafyeka chochote kinachokuja mbele yake. :D:D:D:D:D
 
Back
Top Bottom