beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 523
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na yeye kupiga simu wala hataki anasema simu inazima chaj n and ukimpigia anapokea na mnaaongea vizuri tuu sasa nataka jua kweli hayo ndo mapenz yanavyotakiwa kuwa au ninini? Plz nisaidien