kuna ukweli hapa!!

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na yeye kupiga simu wala hataki anasema simu inazima chaj n and ukimpigia anapokea na mnaaongea vizuri tuu sasa nataka jua kweli hayo ndo mapenz yanavyotakiwa kuwa au ninini? Plz nisaidien
 
ni kawaida inategemea mtu na mtu hata mimi napenda zaidi kuchat kuliko kupiigwa simu.
Usimfikirie vibaya ni jambo la kawaida tu kama wengine ambavyo hawapendi kuchati wanapenda kuongea
 
hana pesa ya kupiga so akijiunga na msg kwa sh 500 bas mpango kaamili from am to pm
dzain yupo na mwenzako ndo mana apend kuendekeza cm
 
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na yeye kupiga simu wala hataki anasema simu inazima chaj n and ukimpigia anapokea na mnaaongea vizuri tuu sasa nataka jua kweli hayo ndo mapenz yanavyotakiwa kuwa au ninini? Plz nisaidien
Mapenzi yanaweza kuwa hivyo kama kuna 'mutual consent' kuwa yawe hivyo na you both enjoys...Ni mapenzi kama wote mnataka yawe hivyo-kinyume na hapo siyo mapenzi.
Jaribu kuchunguza financial standing yake na anavyobehave towards spending(m'bahili?). Kisha utajua umsaidieje kwa mawazo, hali na mali ili mambo yaende jinsi wote wawili mnavyotaka.
 
by chatting unamaanisha texting?

if so pamoja na kwamba mimi si mkaka; texting ina ladha yake, coz baadaye unaweza refer zile meseji na au kusuuzika au kuunganisha dots, au chochote. Lakini na kuongea pia kuna raha yake, coz kuna kusikia sauti, kucheka etc. Hivyo ni vizuri kukawa na balance
 
ni kawaida inategemea mtu na mtu hata mimi napenda zaidi kuchat kuliko kupiigwa simu.
Usimfikirie vibaya ni jambo la kawaida tu kama wengine ambavyo hawapendi kuchati wanapenda kuongea

Thank u dear i hope hakuna tatizo yan jamaa ndo yupo hivo
 
Me mwenyewe nikiwa na muda huwa napenda chattn sana than kupigiana simu.
 
by chatting unamaanisha texting?

if so pamoja na kwamba mimi si mkaka; texting ina ladha yake, coz baadaye unaweza refer zile meseji na au kusuuzika au kuunganisha dots, au chochote. Lakini na kuongea pia kuna raha yake, coz kuna kusikia sauti, kucheka etc. Hivyo ni vizuri kukawa na balance

Dear one asantee mpendhii
 
Mapenzi yanaweza kuwa hivyo kama kuna 'mutual consent' kuwa yawe hivyo na you both enjoys...Ni mapenzi kama wote mnataka yawe hivyo-kinyume na hapo siyo mapenzi.
Jaribu kuchunguza financial standing yake na anavyobehave towards spending(m'bahili?). Kisha utajua umsaidieje kwa mawazo, hali na mali ili mambo yaende jinsi wote wawili mnavyotaka.

Dear financial he isnt bad bt anasema yeye ni mvivu saana smtms yan
 
wapendwa wangu wa jf nimekuwa na hili swali kitambo kidogo na nadhan hapa leo ntapata majibu hasa wakaka naomba mniambie kwa uzuri hivi inakuaje mtu mpenzi wako yeye anataka mchat tuu saana na yeye kupiga simu wala hataki anasema simu inazima chaj n and ukimpigia anapokea na mnaaongea vizuri tuu sasa nataka jua kweli hayo ndo mapenz yanavyotakiwa kuwa au ninini? Plz nisaidien

tupa kule huyo mtu.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom