Kuna uhusiano wa karibu wa maumivu ya mwanamke na upendo wake

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Anaandika Robert Heriel

Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kuna uhusiano wa karibu wa Maumivu ya Mwanamke na upendo wake. Wanasema chungu tamu.

Chunguzi zangu zinaonyesha kuwa kadiri Mwanamke anavyoumia na kupata uchungu kwàajili yako ndivyo unavyozidi kuuteka Moyo wake. Yaani ndivyo anavyozidi kukupenda sana!

Naweza kusema Upendo wa Mwanamke umeumbwa katika maumivu na uchungu. Taikon Leo unataka kusemaje? Subiri Ndugu msomaji utanielewa polepole tuu.

Mwanamke kama haumii na Hana uchungu na wewe jua kabisa huyo hakupendi. Ili akupende au upime upendo wake ni lazima aumie au Kupata uchungu juu yako na mwanamke hawezi kukupenda Ile yenyewe kama hujawahi kumuumiza au kumpa uchungu.

AINA ZA MAUMIVU:

1. Maumivu ya Kihisia
2. Maumivu ya Kimwili
3. Maumivu ya kiuchumi

Mwanamke kikawaida ili azidi kukupenda lazima umuumize au ajiumize kwaajili yako, yaani ajitie uchungu katika moja ya mambo hayo Matatu au yote Kwa pamoja kwaajili yako. Mwanamke unaweza ukamjali na akadai anakupenda Kwa sababu unamjali Kwa karibu kila kitu lakini elewa huo upendo ni Fake sio halisi.

Kumjali Mwanamke ni jukumu la mwanaume lakini hakumfanyi huyo Mwanamke akupende Kwa dhati. Wanawake wengi (sio wote) hupenda wanaume wenye Wanawake wengi. Yaani ukiwa Mwanaume unayewaumiza Wanawake wengi kimapenzi (yaani Leo umepiga huyo ukaacha ukafuata wengine) upo katika mazingira ya kupendwa zaidi na Wanawake.

Tofauti na ukiwa Mwanaume uliyetulia, usiye na mambo mengi, yaani uko na Mwanamke mmoja, basi hata huyo mmoja kuna uwezekano mkubwa asikupende(upendo wake ukaisha).

Mwanamke anataka kufanyiwa kila kitu, sio umpe tuu Raha Bali umpe pia karaha. Umfurahishe na umuumize. Hiyo inabaki kwenye kumbukumbu zake Daima.

Mwanamke anavyohangaika na kuteseka kwaajili yako ndio inazidisha upendo wake zaidi kwaajili yako. Kumfanya Mwanamke asihangaike kwaajili yako unatengeneza mazingira ya yeye kutokukupenda.

Zingatia, Wanawake wengi hujizuia na ku- pretend kuwa hawangaika na wewe ili kukufanya wewe uhangaike na wao. Na wakifanikiwa kukuhangaisha alafu wao wakawa wame-relax unakuwa umekwisha.

Kwa Sisi Watibeli, Mwanamke akijifanya hahangaiki kwaajili yako, na Sisi tunauchuna kimya, tunajua Wanawake sio wavumilivu linapokuja suala la hisia zao. Hivyo lazima watajidhihirisha tuu. Wanawake huwamudu wanaume wenye tabia ya kike ya kukukosa uvumilivu.

Kwa mfano, Mwanamke akiwa amekuchunia ili kutingisha kibiriti, mwanaume nawe unatakiwa kunyamaza kabisa kama huna habari. Maumivu anayoyapata Mwanamke katika kipindi hicho humuongezea upendo dhidi yako kuliko utakavyomtafuta.

Kiuchumi, elewa kuwa mwanamke hawezi kukupa Pesa yake au Zawadi kama hakupendi. Kadiri Mwanamke anavyojitoa kwako kiuchumi ndivyo anavyozidi kukupenda zaidi. Kinachoumiza (upendo) ni kule kujitoa, iwe ni kimwili, kihisia, Kiroho au kiuchumi.

Mwanamke kurudiana na Mwanaume wake wa zamani aliyemuumiza ni rahisi zaidi kuliko kurudiana na Mwanaume ambaye walikuwa wanapendana pasipo kujitoa (maumivu).

Ma- ex hatari Kwa Mpenzi wako ni wale ambao alijitoa kwao kikamilifu (alijiumiza zaidi kwao) kuliko wale ambao walimjali yeye zaidi kuliko alivyowajali wao. Mapenzi na Wivu (maumivu) Kwa Mwanamke ni Pete na kidole. Huwezi kutenganisha.

Mwanamke asiyejitoa kwako(asiyejiumiza au usiyemuumiza) hujaweka chochote katika moyo wake. Yaani yeye ni mwepesi kwake.

Tukija kwenye mambo ya Uzazi
Mwanamke anapenda mtoto Kutokana na ule uchungu anaoupata siku ya kujifungua. Zingatia piah! Kadiri Mwanamke anavyopata shida, maumivu au uchungu kuanzia kubeba mimba mpaka kujifungua ndivyo upendo wake unavyokuwa maradufu Kwa mtoto huyo. Ni tofauti na mimba au kujifungua kusiko na uchungu au maumivu Makali.

Huwezi linganisha upendo wa Mama aliyejifungua Kwa uchungu na kusukuma mtoto(kuzaa) ukalinganisha na upendo wa Mama ambaye amefanyiwa modification katika kuzaa iwe Kwa Teknolojia au Kwa uparesheni tena asisikie Maumivu.

Huwezi ukalinganisha upendo wa mama/Mwanamke aliyezaa na kumlea mtoto Kwa mazingira ya maumivu, Mateso na uchungu, ukamlinganisha na ambaye alizaa tuu alafu hakuteseka na huyo mtoto, mtoto akalelewa na MTU mwingine au Akampeleka Kwa Bibi yake.

Unaweza usinielewe, lakini hizi ni chunguzi zangu ambazo nimezifanyia uchunguzi na tathmini. Mwanamke hata kama anaumia na Kupata uchungu kwàajili yako. Anachopenda ni wewe kuthamini na kutambua maumivu na uchungu anaoupata kwaajili yako. Usizuie Mwanamke kupata maumivu au uchungu kwàajili yako kwani huko ni kujaribu kuzuia upendo wake kwako.

Unachoweza kufanya NI kujali, kuthamini, kuheshimu, kuyaratibu maumivu na uchungu wake kwaajili yako ili yasizidi wala yasipungue. Elewa kuwa hakuna Mwanamke anayependa kuuziwa mbuzi kwenye Gunia. Elewa kuwa Wanawake wanapenda wanaume waaminifu lakini sio ule uaminifu uliopitiliza kiasi kwamba huna soko Huko nje.

Wanawake hufurahi kuona Wanawake wenzao wanafanya juu Chini kuwapindua katika nafasi zao. Wanapenda kuonewa Wivu na Wanawake wenzao.

Wanapenda kuwa na wanaume ambao ni kimbilio la Wanawake wengine. Lakini yeye aibuke mshindi. Elewa kuwa Wanawake wanapenda kuibuka ushindi katika kupendwa. Tena kupendwa na Mwanaume ambaye Wanawake wanahangaika kwaajili yake.

Mateso na maumivu anayoyapata Mwanamke pale anapohangaika kulinda upendo wako kwake ndio huzidisha upendo wake zaidi.

Mwanamke anaumia anaposikia mumewe au Mwanaume wake anatongoza Huko nje na anakubaliwa, lakini Mwanamke hiyohiyo hapendi kusikia na huweza kukudharau ikiwa utakuwa unatongoza alafu akasikia unakataliwa na Wanawake wenzake. Hii itamaanisha kwake kuwa wewe huna lolote na yeye alikuonea tuu huruma.

Zingatia, Mwanamke hatakiwi kukuonea huruma. Ila anatakiwa akuonee Wivu.

Kwenye Sex
Mwanamke anapenda Maumivu ya Raha Wakati WA sex kuliko utamu pekeake. Mikunjo ya kipekee Wakati WA tendo, mzagamuo wa nguvu unaomuumiza na kumpa Raha papo hapo humfanya Mwanamke ajihisi kudhibitiwa vilivyo katika tendo la ndoa.

Kumbinya, kumpinda, kuhakikisha mwili umechangamka Wakati wa tendo ni lazima katika kumfanya Mwanamke akukumbuke na kukupenda,akini kupiga Soft Soft, kilaini laini, anaweza akafurahi lakini sio kile kiwango cha kukukumbuka.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
 
huo ndio ukweli... nshawahi kuw soft kwa pisi flan eti naiondolea maumivu ya kutendwa na ex wake.. upuzi huo nliufaanya baada ya vile vimaswali vya kijinga wanavyoulizana wapenzi eti ooh unapenda nkufanyie nini hupendii nkufanyie nini.. unapenda mwanaume wa aina gani hupend wa aina gani.. basi nipo kujikuta mr romantic, mr soft touch, gentleman flan hivi.. kumbe baada ya mda dem anakuzoea nakuona umepo poa tu.. baadae nakuja kuta yule bad man aliyemliza kumbe wana mawasiliano ya siri na ana mbandua show show... kudadek nkajua kweli panapouma ndio patamu... hawa wajukuu wa eva kwa kweli sio tu waliambiwa watazaa kwa uchungu bali pia kupenda kwa uchungu ni hako yao.. ile pisi nlipiga chini na u gentleman ukaishia hapo.. sasa hv ni mr bad man tu, naungana na tycoon kwenye hili, tusiwalee kama sisi ni baba zao, watatudharau, wanaume wanaodekeza sana wake zao ndio wanaokaziwa wake zao na vijamaa vya ajabu ajabu tu.
 
Ntarudi nikitulia ngoja nihangaike na pesa muda hii maada ni nyeti sana
 
Panapouma kirahisi ndipo panapotekenyeka pia Kwa urahisi
 
Umeandika mambo mengi sana ya nadhaharia.
Kisaikolojia mtu anayevumilia maumivu, matokeo yake ya baadae yanaweza kuwa mabaya.
Na ndio maana unaweza kushuhudia matukio ya kikatili.

Kwenye mahusiano yoyote hakuna sababu ya kuumizana ili kupima upendo. Acha majaribu yaje yenyewe, usiyatengeneze/kuyatafuta!
 
Ni vizuri usome Kwa ufahamu pale mtu anapoandika.

Hata Kwa mwanaume au MTU yeyote maumivu ndio upendo wenyewe. Upendo ni kujitoa, sacrifice,
Wanasema no pain no gain
Na watu hawawezi kukubali pain mahali kama hakuna upendo
 
Back
Top Bottom