Mimi ni mkristo lakini sioni kero yeyote kwa uchaguzi kufanyika jumapili. Watu wanapiga kura kisha wanaenda ibadani. Wengine wanaenda ibadani kisha wanaenda kupiga kura.
kuna shida gani hapo?
Kila T-shirt ni sh. 3,500 tu (shilingi elfu tatu tu za Tanzania).
Jiulize kama kuna hela yoyote imepatikana kama faida ukitoa gharama za t-shirt hizo.
Pole sana kwa kutojua hesabu ndogo kama hii.
Wakati mwingine yuko sawa.
Hizo t.shirt atakuwa amejipatia happ hela nzuri. Kakobe amekuwa mchumi kama mzee wa loliondo.
Mbona kuna madhehebu mengine yanajiona yako special kuliko mengine , je wakatolik, Lutheran nao walalamike pia ..
Je siku gan inafaa kwa uchaguzi ?
Tukipeleka jmosi, au ijumaa wasabato na waislam itakuwaje hapo ..?
kwa nini t-shirt za ccm hazina maana sasa hivi???akishamaliza kupiga deal ya tisheti anachukua zake pipa mpaka marekani.
Wajinga ndio waliwao...
Itakuwa Ni msaada ulitolewa wa hizo fulana mkaamuwa kula hiyo elfu tatu mia tano.
Zaidi useme mlinunua kiwanda gani na kuzichapishaje.
Kwa nini Wana CCM hawavai T shirt zao mtaani ??Wakati mwingine yuko sawa.
Hizo t.shirt atakuwa amejipatia happ hela nzuri. Kakobe amekuwa mchumi kama mzee wa loliondo.
Kama huoni shida yoyote tuombe uhamishiwe Ijumaa.
Usijali mkuu,kwa kuwa mpo wachache mtapewa kipaombele siku ya uchaguzi ili muwahi kusali,Na tunaosali jumanne,j5 na j3 inakuwaje?
Yeye Kakobe awaombe waumini wake wakapige kura ila wajitahidi kufika ibadani.
Hofu ya Kakobe ni kukosa sadaka tu. Si lingine.
Kila mtu anasiku yake ya kuabudu, asitupangie, eti usiwe Ijumaa, jumamosi au Jumapili, anajua mi nasali siku gani?
Acha kushikiwa akilili mkuu.
sasa hivi hata wapagani wana anza kuwakataa CCM utaona hata walevi wanachukia CCM.Ziko siku za kawaida zinaweza kutumika kwa uchaguzi,ccm wanajua wapagani wengi ni watu wao,wanao jua kweli ya Mungu hawawezi kuwa unga mkono na tabia zao za wizi naufisadi wao.Hivyo ni namna ya kuwa engua wasipige kura
Wewe unajichanganya:Mbona kuna madhehebu mengine yanajiona yako special kuliko mengine , je wakatolik, Lutheran nao walalamike pia ..
Je siku gan inafaa kwa uchaguzi ?
Tukipeleka jmosi, au ijumaa wasabato na waislam itakuwaje hapo ..?
Yeye Kakobe awaombe waumini wake wakapige kura ila wajitahidi kufika ibadani.
Hofu ya Kakobe ni kukosa sadaka tu. Si lingine.