Moja kwa moja wewe sio mkristo.
Katika hali hii unaweza kupiga kura halafu ukaenda ibadani.??
Hapo kwenye foleni ndefu namna hiyo utaweza kuwahi kweli.??
Mbona kuna madhehebu mengine yanajiona yako special kuliko mengine , je wakatolik, Lutheran nao walalamike pia ..
Je siku gan inafaa kwa uchaguzi ?
Tukipeleka jmosi, au ijumaa wasabato na waislam itakuwaje hapo ..?