Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

uchaguzi kuwa siku ya ibada ilikuwa ni mbinu ya ccm,sidhani kama tume hii ya sasa itakubali hilo japo rais ndiye anayetangaza but uchaguzi mkuu itakuwa kati ya j'3,j4,j5 na Alhamisi pia inaweza kuwa siku mbili..
 
Mimi ni mkristo lakini sioni kero yeyote kwa uchaguzi kufanyika jumapili. Watu wanapiga kura kisha wanaenda ibadani. Wengine wanaenda ibadani kisha wanaenda kupiga kura.
kuna shida gani hapo?


Kama huoni shida yoyote tuombe uhamishiwe Ijumaa.
 
Kila T-shirt ni sh. 3,500 tu (shilingi elfu tatu tu za Tanzania).
Jiulize kama kuna hela yoyote imepatikana kama faida ukitoa gharama za t-shirt hizo.
Pole sana kwa kutojua hesabu ndogo kama hii.

Itakuwa Ni msaada ulitolewa wa hizo fulana mkaamuwa kula hiyo elfu tatu mia tano.

Zaidi useme mlinunua kiwanda gani na kuzichapishaje.
 
Soma Mada uielewe wala sio kuangalia T-Shirt tu! Usingekuja na utumbo wako huu!
Mbona kuna madhehebu mengine yanajiona yako special kuliko mengine , je wakatolik, Lutheran nao walalamike pia ..
Je siku gan inafaa kwa uchaguzi ?
Tukipeleka jmosi, au ijumaa wasabato na waislam itakuwaje hapo ..?
 
Itakuwa Ni msaada ulitolewa wa hizo fulana mkaamuwa kula hiyo elfu tatu mia tano.

Zaidi useme mlinunua kiwanda gani na kuzichapishaje.

Maskini. bado unaendelea 'kupenda' kutojua hesabu.
FGBF haipokei msaada wowote toka ndani ya nchi wala nje ya nchi.
FGBF inaendeshwa kwa sadaka na zaka za waumini wake.
Hivyo pesa ya kutengeneza na kuchapisha t-shirt hizo zimetoka kwenye mfuko wa kanisa.
Mentality ya kutegemea misaada ndio inayowasumbua sana CCM.

916.jpg
 
Kila mtu anasiku yake ya kuabudu, asitupangie, eti usiwe Ijumaa, jumamosi au Jumapili, anajua mi nasali siku gani?

Acha kushikiwa akilili mkuu.

Kama dini yako imesajiliwa na wewe jitokeze sawa sawa na katiba weka hapa
Ila suala la Msingi hapa ni kwamba Hoja ya Kakobe ni nsumari wa moto CCM hasa ukizingaitia vikao vinavyoendelea ZNZ
 
Ziko siku za kawaida zinaweza kutumika kwa uchaguzi,ccm wanajua wapagani wengi ni watu wao,wanao jua kweli ya Mungu hawawezi kuwa unga mkono na tabia zao za wizi naufisadi wao.Hivyo ni namna ya kuwa engua wasipige kura
sasa hivi hata wapagani wana anza kuwakataa CCM utaona hata walevi wanachukia CCM.
Zamani utaona Watu wamepewa Tshirt za CCM na Kwnda nazo kwenye virabu vya Pombe lakini siku hizi hamna
 
Mbona kuna madhehebu mengine yanajiona yako special kuliko mengine , je wakatolik, Lutheran nao walalamike pia ..
Je siku gan inafaa kwa uchaguzi ?
Tukipeleka jmosi, au ijumaa wasabato na waislam itakuwaje hapo ..?
Wewe unajichanganya:
Wakatoliki , Walutheri, Wapentecosti wanasali Jumapili, Wasabato Jumamosi ,Waislamu Ijumaa ndoo Maana Kakobe kasema siku hizo zisitume.
Sasa wewe fikiria Uchaguzi ufanyike Ijumaa Waislam wanaweza kuvumilia??
Fanya utafiti ujue na sio kulipuka
 
Yeye Kakobe awaombe waumini wake wakapige kura ila wajitahidi kufika ibadani.

Hofu ya Kakobe ni kukosa sadaka tu. Si lingine.

Hapa ndipo ninapopishana na wewe kufanya conclusion from samples.....kwanza shule imepita kushoto ndo maana maandiko yako yote yamekaa namna hii
 
Back
Top Bottom