RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,861
- 2,754
Anger, Frustration zisababishwazo na hali ngumu ya maisha hupelekea Binadamu kutafuta utulivu wa akili na moyo aidha kwa kinywaji ama Ibada... Vyote vinagharama kubwa na madhara permanent ... No wonder Manabii wanaongezeka, wengine wanazidi kuwa matajiri hadi kununua Chopper ya kuendeshea Ibada! Viwanja vinaongezeka matumaini ya maisha yanazidi kupungua ... hakuna mwenye kuwaza future yake tena ... CCM ni Janga, Wajanja wachache wanachuma kwenye majanga ya CCM ...