Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

Mimi ni mkristo lakini sioni kero yeyote kwa uchaguzi kufanyika jumapili. Watu wanapiga kura kisha wanaenda ibadani. Wengine wanaenda ibadani kisha wanaenda kupiga kura.
kuna shida gani hapo?
Ungekuwa mkiristo ungeyajua maandiko haya.
usiende njia ya wasio haki(ccm)
mpeni kaisari yaliyo ya kaisari na mpeni Mungu yaliyo yake Mungu
 
tusiendekeze upumbavu huu sababu ni nini? kama yeye anakusanya sadaka si afungue asubuhi kanisa saa moja au aanze ibada saa tisa. mimi siafiki, na waisilamu nao waseme tusifanye uchanguzi ijumaa, hii ni vurugu, tusiendekeze pumba hizi
pole sana. hujitambui
 
Mimi ni mkristo lakini sioni kero yeyote kwa uchaguzi kufanyika jumapili. Watu wanapiga kura kisha wanaenda ibadani. Wengine wanaenda ibadani kisha wanaenda kupiga kura.
kuna shida gani hapo?

Moja kwa moja wewe sio mkristo.
Katika hali hii unaweza kupiga kura halafu ukaenda ibadani.??
Hapo kwenye foleni ndefu namna hiyo utaweza kuwahi kweli.??

DSC_2223.JPG
 
tusiendekeze upumbavu huu sababu ni nini? kama yeye anakusanya sadaka si afungue asubuhi kanisa saa moja au aanze ibada saa tisa. mimi siafiki, na waisilamu nao waseme tusifanye uchanguzi ijumaa, hii ni vurugu, tusiendekeze pumba hizi

Hakuna uchaguzi unaofanyika ijumaa hapa Tanzania.
 
Akishamaliza kupiga deal ya tisheti anachukua zake pipa mpaka Marekani.
wajinga ndio waliwao...

Wachawi utawajua tuu, kwao kila kitu ni ulozi hata jogoo akiwika kabla ya kupambazuka kwao ni ulozi. Ndani ya chama chenu cha deal mnadhani kila afanyacho mtu mwingine ni wizi kama mlivyozoea.
Kama Tshirt ni shs 3,500/ na kauza 1,000/ wadhani kapata ngapi za kumfanya akimbilie Marekani? Hapo bado hujatoa gharama za kuzitengeneza.
 
tusiendekeze upumbavu huu sababu ni nini? kama yeye anakusanya sadaka si afungue asubuhi kanisa saa moja au aanze ibada saa tisa. mimi siafiki, na waisilamu nao waseme tusifanye uchanguzi ijumaa, hii ni vurugu, tusiendekeze pumba hizi

jf omeingiliwa kwelikweli umesoma ujumbe eandikwaje? amesema osiwe jumapili wala jimampsi wala ijumaa! hata hilo hielewoii? kwani kwenye ja kuna hizo siku tatu tui
 
Mimi ni mkristo lakini sioni kero yeyote kwa uchaguzi kufanyika jumapili. Watu wanapiga kura kisha wanaenda ibadani. Wengine wanaenda ibadani kisha wanaenda kupiga kura.
kuna shida gani hapo?
Nani atalinda kura dhidi ya panya road ?
 
Back
Top Bottom