mzee wa busara
Senior Member
- Aug 13, 2011
- 181
- 86
Kila nikinywa chai na mkate (wa slice) asbh njaa inaniuma mapema sana kuliko nikinywa chai kavu (bila kitafunio chochote),hii imekuwa ikinitokea mara kwa mara,mfano leo mida ya saa nne nimekunya chai kwa slice kadhaa za mkate zilizopakwa blue band lkn masaa mawili baadaye nimejisikia njaa kali kiasi kwamba ikabidi niende kutafuta msosi faster ndo nikapata ahueni,wakati siku nyingine asubuhi napiga chai kavu tu na still naweza kaa mpaka saa tisa or kumi ndo naenda kupata msosi. Kuna jamaa yangu pia ana tatizo kama hili lkn yeye linamkuta pia akinywa chai na vitumbua.