liverpool2012
Senior Member
- Apr 4, 2012
- 102
- 23
Tunakopa adi tufikishe 50 trilioni afu tunawapa CDM inchi tuone watafanyeje.
wakuu mnakumbuka shuka kumekucha.............ila ufujaji wa kodi ztu ni mkubwa mno,haviniingii akilini
hata kidogo kwamba kuna Bilion moja wamelipwa wafanyakazi hewa,hivi ni wepi hawa ?hatuwajui kweli?tumewalipaje?
kwani pesa zao zimeingia katika acount gani?.
Kwani tumeshajiuliza tangu bwana mkubwa aingie madarakani amesafiri nje ya nchi ni marangapi?hadi leo na kila safari iligharimu kiasi gani?.
kuna sababu gani za kimsingi kutoa misamaha ya kodi,je ni kampuni gani na za nani zilifutiwa madeni na sababu zilizopelekea,
Tunakopa adi tufikishe 50 trilioni afu tunawapa CDM inchi tuone watafanyeje.
Yeah Siri iliopo ni kuwa WORLD BANK na IMF walisubiri Mpaka Nyerere akajiuzulu wakaanza kuwatisha Mwinyi na Mkapa kuwa nchi yenu itaanguka kwa madeni kama hatagawa hayo madini yenu kwa mataifa ya Magharibi, ili tu kuweza kulipa Madeni na sio kumaliza kulipa Madeni
Angalia Makampuni ya kigeni yakaja tukawapa GOLD with 100% sisi tukaambulia taxes, na hazitoshi, Botswana wao wanapata 40% ya Madini yao na hawana Deni IMF or WORLD BANK
Sasa hatujui Deni letu likoje huko Wamebeba Dhahabu, Almasi, Tanzanite na Madini Mengine Mengi hatuna Idadi yana Gharama Ghani haturuhusiwi kuangalia Mifukoni wanabeba nini, Tunawomba wajenge Barabara Wanagoma, Shule wanakataa, Hospitali wanasema haiwasaidii...
We are back to NEO-COLONIALISM they please the few leaders wao wana kila kitu na watoto wao; watoto wao wanaanza kugombea Ubunge wazazi wamezeeka, back to the same route
LINI DENI LIALIPWA... WE NEED CHANGE
tatizo zile benki za southafrica zitakubali kuiachia ile pesa?asante sana mkuu 'black bat' kwa kufanya illustration ambayo nadhani hata Mtanzania aliyeko huku kwetu ataweza kuelewa ni nini nchi inadaiwa.
Na pia nashukuru kwa kuweka swali la msingi ambalo hatuna budi kujiuliza yaani hizi pesa zilitumikaje!
My take:
nadhani ile trillion 3 ya mheshimiwa mmoja inaweza kuwa inawakilisha asilimia ndogo tu za kilichofichwa lakini badala ya kuanza na tusivyovijua tuanze na hiyo irudishwe kwanza ili deni libaki trillion 11.4.
Huu utakuwa muda mzuri zaidi kwenye historia ya nchi hii isiyokuwa na mwelekeo kupata mwelekeo
Si za Shimbo, Ungesema Kikwete rudisha Tr3.shimbo rudisha 3tr.ina maana uwekezaji ktk gas na madini hau ingizi pesa bali unatoa pesa!kilimo kwanza nacho kinakula