Simu za mkononi zinafungua vizur sana hizo pdf.Mimi nina nokia 6270 na 3110.zinafungua ila unachotakiwa ni kuweka adobe leader kwenye simu yako nenda hapa www.getjar.com.Utaikuta adobe for mobile phone unaidownload then unakula mzigo.Habari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.