Kuna simu yenye uwezo kufungua pdf files

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
539
208
Habari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.
 
ndio zipo! Kwa nokia kuanzia s60v2 (n70 nk) na kuendelea zote zimeweke prog ya adobe reader.
 
Smart phones za ukweli zinafungua pdf, ms/word, excel, PowerPoint n.k
 
Nielewesheni kama kuna free adobe reader/ viewer ambayo naweza ku install kwenye blackberry curve 1825.
Asanteni
 
mimi natumia nokia e66,ina adobe reader so pdf kama kawa,wireless,na pia ina office so word document,exel,powerpoint na kila zaga,unapiga tu!kanunue.
 
nunua n8 au n9 Nokia ukitaka kuiona ingia kwenye google....hata MS Office inafungua sio PDF peke yake.
 
kama yangu inafungua files zote mnazo zijua nyie. Na sio pdf peke yake
 
try hii solution bro, pdf kwenye simu inafunguka simu zote even java j2me but quality mbovu manake pdf inakua maandishi madogo kwa simu na ukiyakuza ina bidi uscroll right and left while reading so jaribu hizi solution

kwanza waeza convert pdf kua doc (file la ms word) manake kwa simu huonekana vizuri haina haja ya kuscrol

au waweza ingia hii link unachotakiwa ni kueka url ya hilo pdf lako PDF Reader
 
Habari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.
Simu za mkononi zinafungua vizur sana hizo pdf.Mimi nina nokia 6270 na 3110.zinafungua ila unachotakiwa ni kuweka adobe leader kwenye simu yako nenda hapa www.getjar.com.Utaikuta adobe for mobile phone unaidownload then unakula mzigo.
 
Back
Top Bottom