Kuna simu yenye uwezo kufungua pdf files

Iphones, Symbian s60/uiq phones, Android, Bada, Windows Mobile & Maemo user phones..nadhani na BlackBerry pia ila sina uhakika,,
 
mi natumia nokia 5800 xpress music na inafungua kila aina ya file(ofcoz sio ya mchina)
 
nina samsung galaxy TG-S5830 ina kila kitu..kufungua pdf, ms word,ms access na vitu vyote unavyovijua ktk laptop au computer yako.itafute kwenye wakala wowote wa samsung dar ama arusha
 
Habari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.

Jibufupi na 100 perc ni kuwa all SMART PHONES zinauwezo wa kufungua office application, plus pdf files. kama kuna smart phone haiwezi bac hiyo ni magumashi, ama haikuwekwa hiyo pdf app. so inabidi uiweke.
 
Nawashukuru sana wote kunifungua macho, nimeshajua nifanye nini. Mimi natumia nokia 5130 xpressmusic, ni nzuri kwa internet isipokuwa hizo files haifungui. Nimeshangaa kusikia simu zinazofungua hadi ms word! Kweli jf ni bonge la forum la kuelimishana.
 
Simu zote za Android, iOS,na Windows Phone 7 na Blackberry OS zinafungua PDF. Kwa hiyo kama unataka kununua simu ambayo inafungua PDF basi angalia zenyeOS hizo nne. Symbian is a dying platform, soffy Nokia user lakini huo ndio ukweli kuanzia Mwisho wa mwaka huu Nokia wanahamia Windows Phone kwa hiyo kutakuwa hakuna tena simu mpya za Symbian
 
Nunua blackberry,kuna software naitumia inaitwa repligo reader.ni nzuri ajabu,unaweza view pdf file maandishi yakafiti kwenye screen vizuri bila hata ya kusogeza page kulia ama kushoto!
 
windows mobile zote zina fungua mafile allmost yote kama computer inavyo fanya no installation needed.nime zitumia sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom