Kuna sheria kua ukibadili paa la bati lazima utoe taarifa?

Mapolomoko hicho ndicho nilichokielewa pia. I second you.



Mapolomoko kanielewa vizur sana yaani watu wamenyeshewa na zile mvua zilizonyesha mfululizo mpaka wakapata nimonia wakajikusanya waweze kupata walau vibati he mara barua eti kwann mmeweka bati pasi na kibali?......mwenye nacho anaongezewa na mwenye kile kidogo ananyang"anywa

Hii Tanzania hii......
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ujenzi wa nyumba una masharti mengi.. Kwa kifupi ili ujenge nyumba inabidi upate kibali toka manispaa ya wilayani kwako baada ya wewe kuwasilisha michoro ya ramani ya nyumba yako iliyo na mhuri wa consultant firm inayotoa architectural services..
Vile vile ziko sheria za miji ambazo zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kubomoa nyumba au jengo.. Vile vile zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kuzungushia ukuta sehemu unayotaka kubomoa..

Kwa hiyo unapotaka kufanya marekebisho yeyote kwenye nyumba ambayo ina michoro iliopata kibali unapaswa kutoa taarifa manispaa..
Tatizo hapa ni nyumba nyingi hapa kwetu hazijajengwa kwa misingi hiyo.. Ikiwa ni pamoja na hiyo..
Na watendaji wa mitaa ndo wana-act kama enforcers wa sheria hizo.. Imegeuzwa miradi wa kujipatia fwedha..

No thank you! kama unajenga new structure lazima upate kibali na sio repair ya old structure! May be the work repair should be defined
 
Ingekua Nyumba Ya Kupanga Kweli Lazima Wamwambie Mwenye Nyumba Marekebisho Yeyote, ,lakini Kwa Swala Hilo Sidhani Kama Wanakesi Yakujibu, ,
Japo Kua Kila Ujenzi Unatakiwa Uendane Na Kiwango Cha Mahali Husika, ,
But Wawasikilize Hao Watu Wanawaambia Wanakesi Kwa Kifungu Gani Hasa Cha Sheria Ili Na Wao Wajue Wajitetee Kwa Kifungu Gani?
 
Back
Top Bottom