Kuna sheria kua ukibadili paa la bati lazima utoe taarifa?

Sasha7

JF-Expert Member
Apr 19, 2014
233
56
Habari zenu wakubwa

Samahanini nina ndugu yangu anaishi Tabata maisha yao yahali yachini sasa wamejimake make wakabadili bati wakaeka msouth
Cha kushangazwa eti wameletewa barua waende kujieleza ofisi ya serikali ya mtaa kua kwanini wamebadili paa la nyumba bila ruhusa kutoka serikali ya mtaa.jamani kuna sheria Iyo kweli? Yaani walikua wanavujiwa nasasa wamerekebisha nyumba imekua tatizo
Naomba mnifahamishe wasomi je kuna sheria Iyo?kua ukibadili paa labati lazma utoe taarifa?

Mkuu ujenzi wa nyumba una masharti mengi.. Kwa kifupi ili ujenge nyumba inabidi upate kibali toka manispaa ya wilayani kwako baada ya wewe kuwasilisha michoro ya ramani ya nyumba yako iliyo na mhuri wa consultant firm inayotoa architectural services..
Vile vile ziko sheria za miji ambazo zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kubomoa nyumba au jengo.. Vile vile zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kuzungushia ukuta sehemu unayotaka kubomoa..

Kwa hiyo unapotaka kufanya marekebisho yeyote kwenye nyumba ambayo ina michoro iliopata kibali unapaswa kutoa taarifa manispaa..
Tatizo hapa ni nyumba nyingi hapa kwetu hazijajengwa kwa misingi hiyo.. Ikiwa ni pamoja na hiyo..
Na watendaji wa mitaa ndo wana-act kama enforcers wa sheria hizo.. Imegeuzwa miradi wa kujipatia fwedha..
 
Hilo Ni kosa kubwa sana,hujui hata ukitaka kula nyama na mkeo unatakiwa utoe taarifa serikali ya mtaa?
 
Mkuu ujenzi wa nyumba una masharti mengi.. Kwa kifupi ili ujenge nyumba inabidi upate kibali toka manispaa ya wilayani kwako baada ya wewe kuwasilisha michoro ya ramani ya nyumba yako iliyo na mhuri wa consultant firm inayotoa architectural services..
Vile vile ziko sheria za miji ambazo zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kubomoa nyumba au jengo.. Vile vile zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kuzungushia ukuta sehemu unayotaka kubomoa..

Kwa hiyo unapotaka kufanya marekebisho yeyote kwenye nyumba ambayo ina michoro iliopata kibali unapaswa kutoa taarifa manispaa..
Tatizo hapa ni nyumba nyingi hapa kwetu hazijajengwa kwa misingi hiyo.. Ikiwa ni pamoja na hiyo..
Na watendaji wa mitaa ndo wana-act kama enforcers wa sheria hizo.. Imegeuzwa miradi wa kujipatia fwedha..

Umeeleza kwa kina sana mkuu ahsante sana kwaiyo unashauri waende????? maana wamepewa barua Eti wakajieleze serikali ya mtaa kwann wamebadili paa bila taarifa
 
Mkuu ujenzi wa nyumba una masharti mengi.. Kwa kifupi ili ujenge nyumba inabidi upate kibali toka manispaa ya wilayani kwako baada ya wewe kuwasilisha michoro ya ramani ya nyumba yako iliyo na mhuri wa consultant firm inayotoa architectural services..
Vile vile ziko sheria za miji ambazo zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kubomoa nyumba au jengo.. Vile vile zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kuzungushia ukuta sehemu unayotaka kubomoa..

Kwa hiyo unapotaka kufanya marekebisho yeyote kwenye nyumba ambayo ina michoro iliopata kibali unapaswa kutoa taarifa manispaa..
Tatizo hapa ni nyumba nyingi hapa kwetu hazijajengwa kwa misingi hiyo.. Ikiwa ni pamoja na hiyo..
Na watendaji wa mitaa ndo wana-act kama enforcers wa sheria hizo.. Imegeuzwa miradi wa kujipatia fwedha..

Yaa upo sahihi kabisa hata me niliwai kukumbana na vikwazo hivi ila tatizo Tz sheria hazifatwi
 
sosoliso kuna tatizo gani kama mhusika ka maintain original permit ambayo haina effect na roofing material?
 
Last edited by a moderator:
kama nyumba yako ulipata kibala cha kujenga na uliwasilisha michoro unawajibika kujieleza.kama hakupeleka michoro awali nenda waombe wakupe michoro ambayo wanadai umebadilisha. Ninachokiona wanashindwa tu kuadress ishu ambayo ni ujenzi bila kibali, wamekuwa too specific
 
wangekuwa wamebomoa boma sawa. lakini paa?. nahata hivyo serikali ya mtaa haiusiki
 
Si muda watasema ukiacha kutumia gunzi na kuanza kutumia maji lazima serikali ya mtaa ijuzwe

Hopeless leaders wanaacha kushughulika na mambo ya msingi wanakuja na mawazo uchwara.
 
No……………

BUILDING PERMIT

Under the Township (Building) Rules, CAP 101

Permission is hereby given to…………………………………………………………………
……………………………………………………………………………………………….
To erect a building as a………………………………………………………………………
……………………………………………………………………………………………….
On…………………………………………………………………………………………….
………………………………………………………………………………………………..
In accordance with the plan (No. …………………………….) attached here and with all
Conditions imposed by the above Rules.

………………………………………
Date……………………………………… MUNICIPAL ENGINEER

Your attention is invited to the following Rules and by laws:

I. Your attention is invited to the Electricity Rules, 1953 which require you to notify the Director of TANESCO as well as The Director of Tanzania Telecommunication Company before commencing to erect a building, should the electric wires in the street be accessible from any portion of such building when erected or from the scaffolding required during its construction.

II. Rules(s) Township Rules (Cap, 101) "Every Contractor or other person employing workmen for the erection of any sufficient and convenient latrine accommodation to the satisfaction of the authority".

III. Rule 28 of the Township (building) rules(cap. 101), relating to design and decoration

IV. By law of the ………….. Municipal council (streets) By-laws 1984 relating to the posting of bills and advertising devices

Building Permit Receipt No. …………………………… Dated. ………………………………
 
sosoliso kuna tatizo gani kama mhusika ka maintain original permit ambayo haina effect na roofing material?

Kawaida roof kwenye mchoro inaonyesha ni aina gani.. unapobadilisha kuweka bati inawezekana papi zikabadilika.. point yangu hapa ni kwamba hata kama kuna a slight change lazima upate approval..
 
Last edited by a moderator:
Kawaida roof kwenye mchoro inaonyesha ni aina gani.. unapobadilisha kuweka bati inawezekana papi zikabadilika.. point yangu hapa ni kwamba hata kama kuna a slight change lazima upate approval..

Kama nimemsoma vizuri mleta mada ni kwamba katoa bati za "kibongo" kaweka za "msouth" the same roofing materilas.
 
wanapaswa waende..wanalo shauri la kujibu....ignorantia juris non excusat
 
Swali mtoa mada hajajibu michoro ya awali ilikua na kibali kutoka mamlaka husika au ni ujenzi holela
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom