Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 457
Swali mtoa mada hajajibu michoro ya awali ilikua na kibali kutoka mamlaka husika au ni ujenzi holela
Nadhani twende hivi huenda tukaelewana vizuri.
Swali mtoa mada hajajibu michoro ya awali ilikua na kibali kutoka mamlaka husika au ni ujenzi holela
Kama nimemsoma vizuri mleta mada ni kwamba katoa bati za "kibongo" kaweka za "msouth" the same roofing materilas.
wangekuwa wamebomoa boma sawa. lakini paa?. nahata hivyo serikali ya mtaa haiusiki
Mkuu ujenzi wa nyumba una masharti mengi.. Kwa kifupi ili ujenge nyumba inabidi upate kibali toka manispaa ya wilayani kwako baada ya wewe kuwasilisha michoro ya ramani ya nyumba yako iliyo na mhuri wa consultant firm inayotoa architectural services..
Vile vile ziko sheria za miji ambazo zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kubomoa nyumba au jengo.. Vile vile zinakulazimisha kuomba kibali manispaa unapotaka kuzungushia ukuta sehemu unayotaka kubomoa..
Kwa hiyo unapotaka kufanya marekebisho yeyote kwenye nyumba ambayo ina michoro iliopata kibali unapaswa kutoa taarifa manispaa..
Tatizo hapa ni nyumba nyingi hapa kwetu hazijajengwa kwa misingi hiyo.. Ikiwa ni pamoja na hiyo..
Na watendaji wa mitaa ndo wana-act kama enforcers wa sheria hizo.. Imegeuzwa miradi wa kujipatia fwedha..
Kama nimemsoma vizuri mleta mada ni kwamba katoa bati za "kibongo" kaweka za "msouth" the same roofing materilas.
jamani haya mambo yapo ila dar labda kwa viwanja vilivyopimwa ila uswahilini kwetu hivyo vitu kutaftana ubaya tu!
jamani haya mambo yapo ila dar labda kwa viwanja vilivyopimwa ila uswahilini kwetu hivyo vitu kutaftana ubaya tu!
nimekuuliza michoro ya awali mliomba kibali manispaaUmeona eeh? Yaani waswahili ukipata tu basi imekua nongwa ila wakati wanavujiwa hawakupewa msaada kutoka kwahio serikali yao kua chukueni bati hizi msivujiwe
Unapo design jengo unaconsider weight of the roof na hii inatokana na material inayotumika.
kwa mfano leo mtu mchoro wake unaonyesha utakuwa ni paa la kawaida lenye bati na na kibali kinatolewa hivyo.Haiwezekana kesho ukabadilisha roof ukasema itakuwa ni ya zege.kwa kukwepa hili mamlaka husika wanakutaka uombe kibali ili wajiridhishe kama hakuta kuwa na tatizo.refer majengo ya Kariakoo yaliyobomoka
nimekuuliza michoro ya awali mliomba kibali manispaa
Habari zenu wakubwa
Samahanini nina ndugu yangu anaishi Tabata maisha yao yahali yachini sasa wamejimake make wakabadili bati wakaeka msouth
Cha kushangazwa eti wameletewa barua waende kujieleza ofisi ya serikali ya mtaa kua kwanini wamebadili paa la nyumba bila ruhusa kutoka serikali ya mtaa.jamani kuna sheria Iyo kweli? Yaani walikua wanavujiwa nasasa wamerekebisha nyumba imekua tatizo
Naomba mnifahamishe wasomi je kuna sheria Iyo?kua ukibadili paa labati lazma utoe taarifa?
Rushwa tuu wanataka hao yapaswa ukiwapa wakupe na engineer wa kuisimamia kazi yako
Unapo design jengo unaconsider weight of the roof na hii inatokana na material inayotumika.
kwa mfano leo mtu mchoro wake unaonyesha utakuwa ni paa la kawaida lenye bati na na kibali kinatolewa hivyo.Haiwezekana kesho ukabadilisha roof ukasema itakuwa ni ya zege.kwa kukwepa hili mamlaka husika wanakutaka uombe kibali ili wajiridhishe kama hakuta kuwa na tatizo.refer majengo ya Kariakoo yaliyobomoka
Kuwa muelewa. hajasema kabadili ramani ya nyumba bali kabadili bati. kumbika hata ktk ramani hawaandiki utumie bati za kampuni furani, bati ni bati chaguo ni lako, Simba dumu, Kiboko, Utamu,Maisasha, Tembo, Msauzi yote ni mabati.