kuna nini mwenge open academy?

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,861
1,302
Kuna tetesi kuwa shule ya sekondari inayoitwa Mwenge open academy imekimbiwa na waalimu wote, Hivi sasa wanafunzi wanahaha, hawajui hatma yao, hasa wale wa kidato cha tano. Wenyw habari zaidi watujuze.
 
Ni shule nzuri sana nimepata degree yangu juzi tu 2011,inasemekana kuna tatizo la kiuongozi hapo na mmiliki wa ile shule hawalipi walimu kwa wakati lakn Mwl Ntengo kama yeye ni headmaster mzuri sana anaejua namna ya kutawala sio yule mama mmiliki wa shule
 
Sasa kama mmiliki wa shule hawalipi waalimu, huyo headmaster naye si atashindwa? Nina kijana wangu anasoma pale kidato cha tano, sioni kama shule itaendelea kufanya vizuri. Kama kuna mwenye taarifa za mikakati ya shule hiyo atujuze vinginevyo tutafikiria kuondoa watoto wetu.
 
Back
Top Bottom