Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,351
- 159,516
Oooh kumbe aliaga!Alirudi mwaka mpya, akaaga mazima
Oooh kumbe aliaga!Alirudi mwaka mpya, akaaga mazima
Ogoha vijana, wanaongea tuuu mpaka uzi umefika 1k lakini hawatoi hata miaKwakweli bora hata vina faida, kuliko hawa kina manga na daby madebe tupu tu, kelele nyingii vitendo nehii!!
Haha, labda ulinifananishaHiv stunter siuliagaga hapa unaenda kudanja au sio wewe mkuu?
tatizo sio mistari tatizo vitendoHahaha supermarket mwandiko mtamu wapi alimshindwa Shunie mistari nikamwandikia ila wapiiii...
Hahaha...Biblia inasema ukimuangalia mwanamke kwa kumtamani basi umekwisha kuzini nae, we unazini tu na lipsi zangu burebure kweli!!!
Ukumbusho wa niniUsiunge mkono hoja huu uzi ni wa ukumbosho wako + mimi
nimeelewa kuwa akifika pm nimekwishaSijaelewa hapo, au Shunie umeelewa shogaa
HahahhahhKwani kama sina mke utanikulia eeeh
Hawa ni nyuki wa mashine kabisa, hamna kitu.Ogoha vijana, wanaongea tuuu mpaka uzi umefika 1k lakini hawatoi hata mia
Za ugenini si ndo wakulana na HusnaHahaha...
Ila mechi za ugenini haina shida zinaruhusiwa
Kipo waaa! Nimerefusha shingo sikioniiihe he he mnatamani hiki kikojoleo
Halafu anazini kila dk huyuBiblia inasema ukimuangalia mwanamke kwa kumtamani basi umekwisha kuzini nae, we unazini tu na lipsi zangu burebure kweli!!!
Mm tena nimedata na nnShunie nae kadata
Yeah wambeke... masai dada hawa watu aseeh wamepotea.au wambeke ujue sijamuona mda shemeji yangu
HahahahhHehehe
Tutakulana maana hamna namna ingine
Hapo bado hajakamatia nzi na uziHalafu anazini kila dk huyu