Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.
Jamani wifiii! Leo ilikuwa zamu yako, and I'm here just to help. Hebu ngoja narudi kuna movie niangalie, just 2 hrs,lol
Karibu kwangu maana ndo na log off kwenda kupika...lol,,,, Nipo na King'asti lakini mtegezi ile mbaya!:biggrin:


Kua na Jioni njema Happuch....
 
anataka mapenzi ndo anipe hiyo job kazi yenyewe ya laki tano mpuuuzi kweli.halafu huku anajifanya mstaarabu.
Kazi yenyewe unasema ya laki tano duu, tuseme labda shiing ngapi ndo wewe unaanzia kumfikiria mtu angalau?
 
Smile vipi ingekuwa milioni moja, ungekubali?

quote_icon.png
By Smile

anataka mapenzi ndo anipe hiyo job kazi yenyewe ya laki tano mpuuuzi kweli.halafu huku anajifanya mstaarabu.

Kazi yenyewe unasema ya laki tano duu, tuseme labda shiing ngapi ndo wewe unaanzia kumfikiria mtu angalau?
 
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA
Saikolojia ya binadamu inasema hivi, the more you think u hate someone/something is the more you think about it or you pull yourself close to it, the more you pull close to it you will start seeing the positive side of it and thats when you will find yourself loving it. Ila sipendi itokee hivyo coz you know why............
 
yaishe geee usipende kuchimba chimba saaaana.ila ndo ukweli huo i hate him

Actually you got it wrong, the fact that you hate somebody is not worth the noise you've been making. On the other hand though, how high is your price might just get you the attention you needed

I'm just sayin'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom