Kuna mtu namchukia humu jf

Status
Not open for further replies.

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA
 
Hakuna mtu anastahili kupeleka mapigo ya moyo wako haraka zaidi ya uwapendao.
We jifanye humuoni, muweke ignore list, endelea kuenjoy JF. He is just a JF member...
Hapo alipo maybe yeye hana hata habari na wewe, si unajiumiza mwenyewe?
 
Kiukweli na malaika ni mashaidi mimi ni mtu wa upendo sana kwa watu ila kuna mtu humu yaani amenikaa kooni i hate him with all my heart yaani nikiona id yake ,hata mapigo ya moyo yanaongezeka daah yaaani kweli moyo wangu umekaa nae vibaya kabisa
YUPO ONLINE KWA SASA NIMEMUONA MAHALI YAANI NAJISKIA KUZIMIA KABISA
hahahah...... bi dada mtaje 2, moyo wako utakuwa unajiachia ukiona id yake lol.
 
kuandika iyo id si ndo nitakufa kabisa
Naamini si mimi lakini!...kama ndiye basi nitaje tu, unajua kwetu sisi wanaume ukifanikiwa kumwona jambazi kupitia kwenye tundu usiku wa manane basi huwezi mwogopa tena!
 
hakuna mtu anasahili kupeleka mapigo ya moyo wako haraka zaidi ya uwapendao.
We jifanye humuoni, muweke ignore list, endelea kuenjoy jf. He is just a jf member...
Hapo alipo maybe yeye hana hata habari na wewe, si unajiumiza mwenyewe?
hv ukimuweka mtu kwenye ignore list hutomuona eeh?by the way happy new year sis
 
naamini si mimi lakini!...kama ndiye basi nitaje tu, unajua kwetu sisi wanaume ukifanikiwa kumwona jambazi kupitia kwenye tundu usiku wa manane basi huwezi mwogopa tena!
sio wewe pj i love u with all my heart loh?
 
Smile!.......life is too short to hate any body bana... take it easy,mgongee malikes ya kumwaga na muda si mrefu utasahau na kumuona normal
 
smile!.......life is too short to hate any body bana... Take it easy,mgongee malikes ya kumwaga na muda si mrefu utasahau na kumuona normal
yaani like yangu nitakufa hapohapo
 
hv ukimuweka mtu kwenye ignore list hutomuona eeh?by the way happy new year sis
Happy new year Huny. Utaona ID yake ila michango yake huoni... Kama ni wa JF utakua umemchukia kwa sababu ya michango, au wewe hata jina anatumia kama pseudo pia ni shida?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom