Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
Kaunga, ilikuwa hivi. alitumiwa message na mdada kuwa "mimi nimetembea na mumeo na nimemwambukiza HIV hivyo mjiandae kutumia ARV. issue nyingine aliipata live akiwa saloon. wadada wa saloon walikuwa wakimuongelea mumewe na ilionesha kuna mdada mmojawapo alikuwa anatoka na mumewe. yan sio habari za kuambiwa. kuhusu kuhama ni ngumu make ni miaka miwili tu tangu mumewe ahamishwe toka Arusha kwenda Moshi. si rahisi kurudi tena Arusha bila sababu za msingi.
Kwanini asikae chini na mumewe amueleze maswala yote hayo na waende kupima; l am sure watafikia muafaka mzuri kuliko kuamua peke yake.