ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,978
- 3,919
Napata shida sana baada ya kuhamishwa kikazi kuja dodoma nahitaji international school mkoa wa Dodoma , Kwa mnaojua nisaidieni nipeleke wanangu
Asante sana Kwa taarifa hii, ngoja nianze komaaAlmes
St mary
Antonia
Feza
Cannon andrea
Ipo nyingine ya kichina
Uanze kutafuta ada tena? Hukuwa umejipanga ndugu?Asante sana Kwa taarifa hii, ngoja nianze komaa
Ada IPO ya kutoshaUanze kutafuta ada tena? Hukuwa umejipanga ndugu?
Hizo ni English medium sio International schoolsAlmes
St mary
Antonia
Feza
Cannon andrea
Ipo nyingine ya kichina
Hivi ili iwe international school yapaswa kuwa na sifa gani?!Almes
St mary
Antonia
Feza
Cannon andrea
Ipo nyingine ya kichina
Inatumia syllabus ya Cambridge ya uingereza na mitihani wanafanya inayotungwa na Cambridge uingereza hawana mfumo wa Necta wa baraza la mitihani la TanzaniaHivi ili iwe international school yapaswa kuwa na sifa gani?!
Kwa hiyo shule zilizotajwa hapo juu ni international au ni English medium?!Inatumia syllabus ya Cambridge ya uingereza na mitihani wanafanya inayotungwa na Cambridge uingereza hawana mfumo wa Necta wa baraza la mitihani la Tanzania
English Medium zinafanya mitihani ya Necta na syllabus ya Tanzania ya baraza la mitihani la TanzaniaKwa hiyo shule zilizotajwa hapo juu ni international au ni English medium?!
Kuna shule zimeorodheshwa hapo juu ndo nilikuwa nata kujua mi international au English mediumEnglish Medium zinafanya mitihani ya Necta na syllabus ya Tanzania ya baraza la mitihani la Tanzania
English medium zote hakuna international school hapoKuna shule zimeorodheshwa hapo juu ndo nilikuwa nata kujua mi international au English medium
Basi Hilo ndo jibu umemaliza... international school nadhani ni Tanganyika school na zingine chache sanaEnglish medium zote hakuna international school hapo
Wabongo wengi huwa wanachanganya English Medium Schools na International Schools.kama international school ni canon andrea,kama ni english media zipo nyingi na zinatofautiana ubora
Hizo ni English medium.Kuna shule zimeorodheshwa hapo juu ndo nilikuwa nata kujua mi international au English medium
Shule zinatoa mitaala ya International Baccalaureate (IB) na Cambridge International Curriculum. Kwa Tanzania ndio inakuwa termed as International schoolBasi Hilo ndo jibu umemaliza... international school nadhani ni Tanganyika school na zingine chache sana
Sahihi ziko chache sana International schoolls TanzaniaBasi Hilo ndo jibu umemaliza... international school nadhani ni Tanganyika school na zingine chache sana
Kuna ile ya Moshi pia, one among famous in TzHizo ni English medium.
Shule za international zinazofata mitaala ya Cambridge na ib ni hizi
1- international school of tanganyika (dsm)
2-braeburn (arusha)
3-dar es salaam international academy
4- iringa international school
5-st Constantine international school
6-kennedy house school
7-heaven of peace academy