Kuna tatizo gani Ikulu ya Dodoma mpaka wageni wapokelewe Ikulu Dar es Salaam?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,151
16,140
Kila mgeni anayetua hapa nchini naona anapokelewa Ikulu ya Dar, tulivyotangaziwa ni kuwa kukamilika Ikulu ya Dodoma ni kwamba shughuli zote za Rais zitakuwa ikulu ya Dodoma.

Hivyo nilitegemea hata wageni nao wangekuwa wanapokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wao kutokea Dodoma.

Naona wageni wote ni Dar na muda mwingi Rais yupo Ikulu ya Dar ila birthday ndio ikulu ya Dodoma.
Je, Ikulu ya Dodoma ina matatizo gani?

Natumaini mwamba angekuwa hai tungeona shughuli zote ni Ikulu ya Dodoma!

Ikulu ya Dodoma kuna tatizo?
 
Idea ya kua mji mkuu uwe katikati ya nchi ni ujinga tu na haina maana yoyote,

Russia nchi kubwa kieneo lakin mji mkuu uko west kabisa Mosco na mambo yanaenda, The same USA, mji mkuu uko Washington east kabisa na mambo yanaenda,

Pesa za kuhama hama zingeunganiaha barabara za mikoa na wilaya tu ingetosha
 
Zidumu fikra za Mwenyekiti Nyerere maana lilikuwa wazo lake,licha kwamba maendeleo ya sayansi na teknolijia kulikuwa hakuna umuhimu wowote.

Taifa linatumia pesa nyingi sana,bila sababu ya msingi.

Samia Complex bado ujenzi wake?
Hii nchi ina bahati nzuri ya kupata viongozi wajinga wajinga with no vision but selfish ambition.
 
Nchi haina taasisi imara ila watawala wale wale wale wa CCM kila wakiingia wanatumia utawala wa makocha wa mpira yaani wanaweka formation mpya...Piga mahesabu kwamba Mwinyi ,Mkapa na Kikwte hawakuwahi kuwaza kujenga Dodoma mpaka amekuja Magufuli.
kimahesabu mpaka miaka 60 na kitu baada ya uhuru nchi hii haina makao makuu,kuna haja gani pesa kibao kupeleka huko sehemu nyingine zinapuuzwa,kuna haja gani kutumia nguvu wakati mkoa wa Dodoma ni hovyo?

NB: Tanzania hakuna viongozi bali ni watawala wa CCM.
 
Kila mgeni anayetua hapa nchini naona anapokelewa Ikulu ya Dar, tulivyotangaziwa ni kuwa kukamilika Ikulu ya Dodoma ni kwamba shughuli zote za Rais zitakuwa ikulu ya Dodoma.

Hivyo nilitegemea hata wageni nao wangekuwa wanapokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wao kutokea Dodoma.

Naona wageni wote ni Dar na muda mwingi Rais yupo Ikulu ya Dar ila birthday ndio ikulu ya Dodoma.
Je, Ikulu ya Dodoma ina matatizo gani?

Natumaini mwamba angekuwa hai tungeona shughuli zote ni Ikulu ya Dodoma!

Ikulu ya Dodoma kuna tatizo?
Mama anapenda upepo WA baharini jengo lile wasingekuwepo wafanyakazi popo wangejazana. Haamini kama serikali imeshahamia dodoma
 
Idea ya kua mji mkuu uwe katikati ya nchi ni ujinga tu na haina maana yoyote,

Russia nchi kubwa kieneo lakin mji mkuu uko west kabisa Mosco na mambo yanaenda, The same USA, mji mkuu uko Washington east kabisa na mambo yanaenda,

Pesa za kuhama hama zingeunganiaha barabara za mikoa na wilaya tu ingetosha
Mbona nairobi wageni wanafika
 
Kuna idea nyingine mkuu zinakuwa zimetoka kwa "wazee wa kupuliza"...

Afrika hii mkuu
 
Back
Top Bottom