Kuna harufu ya kujuana kwenye balozi zetu

Mpatanishi sikukimbia Shule, CV yangu ipo wazi Facebook, hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari sijawahi kukimbia topic, Mkapa hana mtoto ubalozi wowote, tatizo la undugu ni Vyama vyote, kama nilivyokuruhusu say anything on me lakini muache majungu, mimi sifanyi serikalini wala huku majuu sijasomeshwa na serikali! - Le Baharia On The Run!
 
Ndugu kuna ka usemi wanatumia eti kama haupo kwenye system usitegemee position yoyote govt!kazi zinaenda kwa ukoo wa majina ya nani alikua karibu na nyerere!rupia,sykes,karume,malecela,bomani,kawawa,mwinyi,dossa,kahama etc
 
Fisi ha! Ha! Leo mkuu ni kujichezea ngoma yako mwenyewe, Undugunization upo kote so hakuna mwenye moral authority wote wabovu I mean BOT, UBALOZI na Bunge tusafishe kote bila kuoneana mnaonaje na tuwe na sheria on that au! Ha! Ha! Tuwache Majungu na kuchafua majina ya wananchi! - Le Baharia
Unachemka sana, nyamaza tu, sio mbaya!
 
MWAKIKAGILE ni Mzee mmoja yupo Michigan alikuja kusoma US in the 70s, mpaka leo hajawahi kurudi Bongo wala kuwasiliana na Familia yake, yeye yumo hapa JF kwa majina mengi ya bandia na amekuwa akinitukana kwa muda mrefu sasa kama leo akinihusisha na majina yasiyo nihusu ndio maana leo nimempa kamba yake mwenyewe na amejifunga nayo.

Maana ndugu zake wote wapo hapa ila walikuwa hawajui kuwa yupo hapa na ndiye anayewatukana na Details nyingi za ndani za familia Yake ni Msomi mkubwa sana lakini the way anavyo behave humu JF hasa kutukana ndugu zake huenda ana some serious ishus! Ha! Ha! MWAKIKAGILE nitukane tena na maneno ya Field Marshall na ndugu yako This is Mutuz Le Baharia On The Run! MERCI!

Nimekuwa natembelea Jamii Forums kwa muda mrefu. Sikujiunga mara moja mpaka nilipoamua kufanya hivyo.

Najua kuhusu watu fulani waliotajwa hapa.

Sijui huyo James Mwakikagile ambaye W.J. Malecela amemtaja ni nani. Najua kuna ndugu ya Neema Ngwilulupi Malecela anayeitwa James Mwakisyala.

Majina ya James Mwakisyala na Mwakikagile yalikuwa pamoja katika mjadala kuhusu Mwakikagile ambamo Field Marshall Es alichangia sana nadhani mwaka 2007 kwenye thread ya "Malecela and Dr. Salim - Into Oblivion?"

Field Marshall Es alidai katika mjadala huo kwamba anamfahamu sana Mwakikagile kiasi cha kwamba alibandika hata namba yake ya simu kwenye mjadala huo, kitendo kilichopingwa na wanaJamii kadhaa, kwa sababu namba za simu ni kitu binafsi na hakuna mahali popote ambapo Field Marshall Es alisema au alithibitisha kwamba aliambiwa na Mwakikagile aweke namba yake ya simu mtandaoni ili watu wote wanaotaka wampigie simu.

Aliandika mengi kuhusu Mwakikagile, pamoja na mambo binafsi, katika mjadala huo ambayo ndugu zao walijua si kweli.

Madai ya Field Marshall Es, ambaye baadaye akajulikana kuwa ni Neema Ngwilulupi Malecela, kwamba anamfahamu sana Mwakikagile yaliwashangaza sana watu wengi pamoja na ndugu zake huku Tanzania kwa sababu ukweli ni kwamba Neema Ngwilulupi Malecela hamfahamu Mwakikagile. Mwakikagile aliondoka Tanzania mwaka 1972 Neema Ngwilulupi alipokuwa mtoto mdogo. Lakini kwa vile Neema anadai kwamba anamfahamu sana Mwakikagile, aliandika Jamii Forums na kusema Mwakikagile hakuondoka Tanzania mwaka 1972. Aliondoka 1977!

Hakuna ndugu yao hata mmoja huku Tanzania ambaye amesema Neema Ngwilulupi Malecela amewahi kuonana na Mwakikagile tangu Mwakikagile aondoke Tanzania. Hata yeye mwenyewe, Neema Ngwilulupi Malecela, amekiri kwa ndugu zake hapa Tanzania kwamba hajawahi kuonana na Mwakikagile na haijui hata sura yake. Lakini kwa sababu anadai anamfahamu sana, Field Marshall Es aliwahi hata kuandika kwenye mjadala huo Jamii Forums kwamba Mwakikagile amesahau aliondoka lini Tanzania. Hilo ni tusi.

Sijui jina la Mwakikagile limeingizwaje hapa kwamba yaliyoandikiwa kuhusu Neema Ngwilulupi Malecela katika mjadala huu yametoka kwake. Kama kuna details za undani zilizoandikwa kuhusu wanafamilia hao, sijui huyo Mwakikagile amezijuaje bila kuishi na kuwa karibu na ndugu zake nchini Tanzania kwa miaka mingi. Amezijuaje details hizo huko Marekani? Au zinatoka kwa mtu mwingine au watu wengine ambao wako karibu sana na Neema Ngwilulupi Malecela?

Na si kweli kwamba Mwakikagile hawasiliani na ndugu zake nchini Tanzania. Anawasiliana na wengi na ninawafahamu. Amekuwa anawasiliana nao kwa muda mrefu.

Pia wachangiaji mbalimbali wasijaribu kupotosha hoja. Maswali ambayo tujiulize ni haya: Ni kweli kuna upendeleo katika ofisi zetu za ubalozi na sehemu zingine? Kuna ushahidi? Hayo ndiyo maswali ambayo yajibiwe.
 
Wewe nae bana, sipendi watu waliopofushwa na UCHAMA na UDINI, wananikera kweli maana hawafikiri nje ya box. Badala ya kuzungumzia suluhu dhidi ya tatizo la ajira za kujuana, unakuja na mambo ya kidini, upuuzi mtupu! Tanzania haitakuwa nzuri mpaka watu kama wewe mbadilike!

Baadhi ya Watanzania mtaendelea pale tu, mtapoweza kupokea ukweli bila kuushutumu. Huo niliousema ni ukweli, niambie kama hayo hayapo.
 
Mpatanishi sikukimbia Shule, CV yangu ipo wazi Facebook, hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari sijawahi kukimbia topic, Mkapa hana mtoto ubalozi wowote, tatizo la undugu ni Vyama vyote, kama nilivyokuruhusu say anything on me lakini muache majungu, mimi sifanyi serikalini wala huku majuu sijasomeshwa na serikali! - Le Baharia On The Run!

Na wewe nae kweli ni Mgogo? hivi unaweka CV yako FB ndiyo iwe nini? uonekane wa maana? ustake ncheke!

CV yako haikamiliki mpaka utakapotujulisha una ng'ombe wangapi? na wako wapi? na kina nani wanao kuchungia hao ng'ombe zako? Ustake kutuletea CV za FB hapa, CV za Kigogo zinajulikana, bila ng'ombe hata mke kupewa ni makosa, na hao ng'ombe kila wanapotawanywa kule na kule na kule ndio sifa ya Kigogo. Usituletee habari za kuweka cv FB. Wewe una CV ipi zaidi ya baba'ko kuwa alikuwa Waziri Mkuu. Kama kweli ni mgogo na hauna ng'ombe wa kujivunia bora ukae kimya au DNA imefanya makosa.
 
Hakuna mtoto wa Mkapa Ubalozi wetu wowote Duniani Mkapa ana watoto Wawili Steve na Nico wapo Bongo, na hawapo Ubalozi wowote hapo Bongo Umekurupuka, nenda Bungeni uone Viongozi wa Chadema na ndugu zao wote ni Wabunge, Halafu uje utueleze hivi Chadema ilibidi Mwenyekiti lazima awe Mkwe wa Mtei tu? Hakukuwa na wengine? Wacheni kuchafua Majina ya watu. - William
With all due respect i have brother Will le baharia.........kwa bandiko lako hili napingana na wewe kwa kiasi cha 100%, na sijaona relation ya post hii ya huyu ndugu na CHADEMA...Why and fpr what reason? kwanini umefanya attack as if u had something in your heart for so long? Halafu itakuwa ni kuuongopea umma kwamba tuhuma hizi hazina ukweli, la hasha.....Mkapa anaweza asiwe na ndugu yeyote kwenye balozi zetu lakini haimaanishi wala haifuti ukweli wa kwamba kuna kujuana, kupeanan na ushahiba mwingi sana katka issue nzima za ajira na hasa pale palipo na maslahi manono.....tumesoma nao, kunaishi nao we all know the whole truth.....acha defensive mechanism bana kama kutaka watu wasichungulie upande wa familia yako. Umeni put off mbaya sana kwa comment yako ambayo ki ukweli haina chembe ya utu uzima, ukomavu wa kujadiri hoja wala umakini wa kujua position yako. Iam sorry to say so, lakini that is the truth brother.
 
duu!jf kiboko bwana!hii sredi inatisha!inabd wadau tui save manake kwa mwendo huu PAW ataifuta mda s mrefu!tui save for future reference.
 
WEWE unadhani kila anaeleta hoja ya kuibua jambo ambalo lina walakini kuhusu maamuzi ya serikali kiutendaji basi yumkini mtu huyo ni wa CHADEMA?shame on u!u can't think and analyze objectively?ur groundless attack on CHADEMA indicates how huwezi kujibu hoja kwa hoja.inaonekana ukiambiwa mtoto wa waziri fulani kakutwa na magendo ya nafaka na kutumia influence ya 'BABA' cha kwanza kufikiri na kujiuliza ili kuchangia hoja ni ''kwani ni mtoto gani wa waziri yeyote kivuli wa CHADEMA nae kakamatwa na magendo yeyote?''ndiyo maana hatuwataki watu waliolelewa na siasa za kulalamika badala ya kufikiri na kuchunguza tatizo halisi ni nini,moja.pili suluhu ni nini.

Si ajabu kwa mtu anayeitwa Jumanne W. Malecela....
 
Udugunaizeshen ulimshinda Nyerere na kama haujafanyiwa kazi hautakwisha leo wala kesho. Watu waajiriwe kwa vigezo vya taaluma zao na kupasi "interviews" kihalali. Interview zisifanywe na wizara, idara au taasisi husika. Kampuni zinazo "specialize" mambo ya kuajiri, zipewe vigezo nazo ndio ziwe watahini wa waajiriwa. Na watapo ajiri mtu "incompetent" walipie gharama zote.
Huyu bila kumkejeri Nyerere papa linamuwasha.
 
Well, waste of time na wacheni kuchafua majina ya walalahoi wanaojitafutia riziki na familia zao, anzieni huko kwenu kwanza mruhusuni Zitto kugombea Uenyekiti ndio mtakuwa na Moral authority on this ishu, hapa mmedata! Chairman Mao alisema No research no right to speak! - Le Mutuz

Uwezo wako wa kuliona jambo hili unakomea hapo?
 
Mpatanishi sikukimbia Shule, CV yangu ipo wazi Facebook, hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari sijawahi kukimbia topic, Mkapa hana mtoto ubalozi wowote, tatizo la undugu ni Vyama vyote, kama nilivyokuruhusu say anything on me lakini muache majungu, mimi sifanyi serikalini wala huku majuu sijasomeshwa na serikali! - Le Baharia On The Run!

Kuna thread kama hii iliwahi kufutwa hapa kisa tu data zako zilimwagwa.


Ishu ya mkapa inamtaja Rose Mkapa, acha kutoka povu au Mkapa ni ndugu yako?


Mbona hukanushi tena about Tully Malecela?! Hiyo ndio unapaswa kusema ukweli hapa jamvini.
Si ulisema huna dada yako ubalozi!


Ww umesoma na bro wangu tumbo moja so uache ubishi umesoma kwiro tena umeingia kimagumashi. Sema mwenyewe hapa ulipata div ngapi?

Willie sema mwenyewe kabla sijawaambia wadau hapa.
 
moderators do the needfull,hii thread is too low for JF,consign it to the thrash heap,hizi tit for tat blows could have a devastating impact on personalities and society in general
 
Gofrey Mwakikagile unazidi kujivua maana sasa wewe mwenyewe unazidi wataja ndugu zako pamoja na majina yako ya bandia. Mimi mkuu ninaitwa William Malecela Mutuz Le Baharia, hayo mengine ni yako. Undugunization upo kwenye vyama vyote so hakuna wa kulaumu wengine, na hoja ya msingi ya Mada ni kwamba Mkapa hana mtoto Ubalozi wowote Duniani mmechemka, Wabunge wenu wanaingia na watoto wao Bungeni mngeanza kusafisha huko kwanza, punguzeni majungu mnachafua majina ya wananchi wanajitafutia riziki zao na familia zao. Unampachika jina la Field Marshall mdogo wako wa kike makusudi huku ukijua wazi kuwa unamuonea vipi kweli akili yako ni sawa? Mbona umri wako na elimu yako havifanani na jinsi unavyojivua nguo hapa Mtumzima? I mean ni a Self appointed Politician and Big time Blogger this thread is good for me I love it, nitukane as much as you want lakini unaharibu unapopikia Majungu wananchi wasio na makosa. Undugunization upo CCM na Chadema pia, sasa wewe msomi umeandika mpaka vitabu be fair na utoe mapendekezo ya what to do na kuondoa tatizo kwa taifa. Sio kuja hapa kudai Field Marshall ni mdogo wako wa Kike wakati JF nzima na taifa mpaka RO Mwenyewe anajua Field Marshall Es Wazee Wa Sauti Ya Umeme ni nani, na wala sio huyo mdogo wako unayemsingizia hapa uwe na aibu japo kidogo. So bwana Gofrey Mwakikagile mimi ni the man Le Baharia Nimesoma Jamhuri Primary, Kwiro Boys Sec, Kidatu Sugar Inst, Dar Martime Inst, CMB Martime Inst in Belgium, Westches Community College na Lehman College in New York na ninafanya kazi kwa American Private Co. However, utarudi lini Bongo maana 1977 mpaka leo 2011 ni miaka mingi sana mkuu? Au unasemaje? Ha! Ha! Mimi nilikuwa Bongo Summer last year, nilikutana na RO Bungeni akaniuliza kuhusu Field Marshall anayemjua ambaye si mdogo wako wa kike unayemuonea hapa all the times. So jaribu kubehave as your age na elimu uliyonayo. Le William
 
Back
Top Bottom