Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Michese huko kwenu Mtu na watoto wake wanakuwa wabunge, ha! Ha! Angalau CCM hamna baba na watoto ubalozini! Au BOT! Ha! Ha! - Le Baharia
William, kwa siku z ahivi karibuni umekuwa ukiandika sana tena vitu vingine vya kustua. Kwa heshima ya mkeo na familia yako, ingekuwa bora zaidi ungenyamaza kwa maana watu wanavyokuandama humu ndani sijui wanajisikiaje hasa unapoitwa mjinga na kila mchangiaji. Mzee hachana na hii milumbano isiyo na tija. Heshima kaka yangu. mimi nakufahamu longi sana kumbuk aenzi zetu YMCA. Msalimie wifi kakangu