Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Waldorf University College (U.S.A)BA. (Business Administration)19941996GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A)BA. (International Business)19971998GRADUATE
1994-1996 alimaliza B.A ina maana alikuwa anachukua"madarasa(credits)60 kwa mwaka?Maana B.A kule USA ni "madarasa(credits)at least 120 kumaliza!

Miaka 2 ninachojua mm unaweza maliza associate degree;anyway nipo tayari kufundishwa na akina Nyani Ngabu ilikuaje mwenzetu asome degree ya credits zaidi ya 120 kwa miaka 2 tu!!

(Hapo sijaweka masomo kama vile English 0301 hasa kama nchi unayotoka"english is second language"huwa wanabanwa kuyachukua;USA history 1 & 2;USA Government 1& 2 na mengine mengi yasiyotakiwa kwenye majors)
 
1994-1996 alimaliza B.A ina maana alikuwa anachukua"madarasa(credits)60 kwa mwaka?Maana B.A kule USA ni "madarasa(credits)at least 120 kumaliza!

Miaka 2 ninachojua mm unaweza maliza associate degree;anyway nipo tayari kufundishwa na akina Nyani Ngabu ilikuaje mwenzetu asome degree ya credits zaidi ya 120 kwa miaka 2 tu!!

(Hapo sijaweka masomo kama vile English 0301 hasa kama nchi unayotoka"english is second language"huwa wanabanwa kuyachukua;USA history 1 & 2;USA Government 1& 2 na mengine mengi yasiyotakiwa kwenye majors)
Mkuu ukichukua 1996 - 1994 utapata 2 years, lakini ukihesabu 94, 95, 96 unapata 3years....lol
 
Lazaro was born in dire poverty in North Central Tanzania. He grew up in a small two room mud hut with twelve of his brothers and sisters. The family had barely enough food to eat let alone the finances to afford advanced education. Lazaro knew that the only way he would be able to make a difference for his family and his country was to obtain an education.

Through sheer determination and hard work, Lazaro dedicated himself to finding a means to put himself through school. He was able to attend high school level studies (known as secondary school in Tanzania) through the efforts of several philanthropic individuals. While in high school, Lazaro achieved academic success by receiving the highest grades on the annual national exams and won Tanzanian student of the year award. As a benefit of the award, Lazaro was given the opportunity to attend Waldorf College in Forest City, Iowa.

My take what was the name of award again???????? mengine sijataka kuweka ila ukitaka nitaweka full document na funds zilizotolewa..... ukibeep tunapiga, Nyalandu hakuwahi kuwa na akili darasani
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Waldorf University College (U.S.A)BA. (Business Administration)19941996GRADUATE
Wartburg University College (U.S.A)BA. (International Business)19971998GRADUATE
Pohama Primary SchoolPrimary Education19801984PRIMARY
Mrumba Primary SchoolPrimary Education19851986PRIMARY
Kibaha Secondary SchoolO-Level Education19871990SECONDARY
Ilboru Secondary SchoolA-Level Education19911993HIGH SCHOOL

Nimegonga like kwa JF.
 
Ohoooooo!! Now i see, so this is about geting publicist!! Creating the name from unknown to known. All the best but better be careful because there is a saying that " As you go up more people see you ass (ashakum si matusi)" What i mean is you are starting to highlight him then be ready for the good and bad news.

Tunatafuta kiongozi watu,anaewajua watu(wakulima na wafanyakazi) na matatizo yao kabla ya kuingia ikulu,kiongozi muwajibikaji sio mkaa ofisini kwenye viyoyozi vya wizara wala mtalii anaonesha uhodari wa kuizunguka dunia kwa safari za nje ya nchi kila kukicha badala ya safari nyingi za huko site waliko watu!.....hatutafuti best student of all the times




Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Lazaro Nyalandu akiondoka na kuwapungia wadau soko la kariakoo jijini Dar es Salaam leo muda mfupi baada ya kufanya ziara Sokoni hapo

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za mboga mboga katika soko la Tandale
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za maharage na kunde kunde katika soko la Tandale alipotembelea soko hilo kujionea hali ya soko na upatikanaji wa vyakula na bei
Wafanyabiashara wa nguo za mitumba katika soko la Tandale wakizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe lazaro Nyalandu sokoni hapo. Wamemuomba Mh Nyalandu kuwasaidia kuboresha mazingira ya soko hilo ili kuvutia wateja zaidi


TWO.JPG

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele (Aliesimama) akitoa taarifa fupi ya Wilaya yake kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu. Wengine ni watendaji wa idara za serikali Wilayani Tarime.
THREE.JPG

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele(Mwenye suti kulia) akimpa maelezo Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu kuhusu eneo linalotarajiwa kujengwa soko kubwa la kisasa katika mji wa Sirari Mkoani Mara.
FOUR.JPG
 
Kabla sijaamua kugombea Udiwani nitamwomba Invisible akague kama nina Record chafu katika maisha yangu, sitaki kuaibika baadae!
 
Bwana huyu karudia saaaaana drs la saba. Mara ya mwisho ilikuwa mrumba s/m ndipo alipofanikiwa kwenda Kibaha sec. na inasemekana ni mizengwe ndio iliyofanikisha kuafaulu. Kitu ninachokumbuka, alikuwa anajujua kuongea kingereza. Hii ni kwa ufupi nikipata mda nitaendeleza.
 
Nyalandu si Raia wa Marekani kama wengi wanavyosema; ni green card holder. Ni criminal hawezi kuwa RAIA. Ana makosa ya Jinai Iowa pamoja na Illinois.

Inadaiwa kuwa anapokea rushwa kutoka kwa wageni hasa wanaotoka ASIA (Wachina). Serikali ya Marekani haiwezi kumsaidia KUWANIA urais (kama ambavyo inaonekana kwenye thread nyingine) kwa maana ana criminal record. FBI wanajua jamaa ni criminal.

Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (Raia wa Marekani ni Lawrence Masha)


Summary
Title: STATE VS LAZARO NYALANDU
Trial Court Case ID
Originating County
Created
Speedy Trial
Microfilm Ref
02951 SMCR007654
WINNEBAGO
02/19/1998
Citation Number
Disposition Status
Disposition Date
Reopened Date

nyalandu-case.jpg

Chanzo: https://www.iowacourts.state.ia.us

Kuna watu ajabu sana, ina maana hiyo court case detail ya IOWA State VS. Lazaro Nyalandu ambayo inaonyesha alilipa $50 na that there was no appeal Invisible kai forge?

Acheni kui insult our intelligences bana!
 
Charges zake kwa mujibu wa rekodi ni code 708.2(4), he was found gulity and sentenced, na hiyo code ni hii...

708.2 PENALTIES FOR ASSAULT.
1. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
with the intent to inflict a serious injury upon another, is guilty
of an aggravated misdemeanor.

2. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and who causes bodily injury or mental illness, is guilty of a
serious misdemeanor.

3. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and uses or displays a dangerous weapon in connection with the
assault, is guilty of an aggravated misdemeanor. This subsection
does not apply if section 708.6 or 708.8 applies.

4. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and who causes serious injury, is guilty of a class "D" felony.

5. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and who uses any object to penetrate the genitalia or anus of another
person, is guilty of a class "C" felony.

6. Any other assault, except as otherwise provided, is a simple
misdemeanor.
Kosa lake lazima litakuwa miongoni mwa vifungu hivyo sita hapo juu...Nadhani ni hichochanne nilicho highlight!

No wonder hakujali pesa ya shule ya masikini (only tsh 40,000) kuchangia arusi yake ya kifalme, halafu eti mnataka mumpe nchi.

Mibongo sisi tuna laana!

Note: A Class D felony is a crime that is considered very serious yet falls on the lower scale of the crimes that are categorized as felonies.

A person who is convicted of a Class D felony has been found guilty of committing a serious crime, but may not spend as much time in prison or face as many other penalties as he would if he were convicted of another type of felony.

The crimes that may count as Class D felonies depend on the jurisdiction in which the crime is committed. In some places, unlawful surveillance is considered a Class D felony, as is criminal possession of a weapon.

Likewise, giving a false report of an incident may fall into this felony category.

Fraud, felony drunk driving, and certain types of theft may be considered Class D felonies as well.

Additionally, some crimes involving sexual performances by minors may fall into this category.
 
Jambo usilolijua kuhusu huyu jamaa na huko unyamwezini ni sawa na usiku wa kiza...malenga wanasema usimwage mchele kwenye kuku wengi. Nachelea kusema kwamba jumuisho ni moja tu, kwamba jamaa anajua najua kwamba credibility yake iko under serious doubt hasa huko unyamwezini!!...


Hatutafuti rais wa unyamwezini marekani tunatafuta rais wetu!
 
Ohoooooo!! Now i see, so this is about geting publicist!! Creating the name from unknown to known. All the best but better be careful because there is a saying that " As you go up more people see you ass (ashakum si matusi)" What i mean is you are starting to highlight him then be ready for the good and bad news.


ccm imeoza kaka,wale wazee hawana mpango,huyu ndio mwenye nafuu....mwanzoni niliutegemea sana upinzani bahati mbaya nao wanaonekana wanashiriki kampeni za kuwasimika mafisadi watutawale tena!
 
Heheheeheheeeeeeee kumbe ROMANTIC ni nyalandu...hehehehe...teh teh teh

tatizo hamjazowea siasa za uwazi na ukweli,ndio maana mnahangaika na mimi....shida yangu mimi ni mkweli kupitiliza, sio mnafiki na pia ninasimamia ninachokiamini bila kuyumba ama kuyumbishwa,ila naamini huko mbele wengi tutakua pamoja ukweli utakapodhihiri,nimesema pahala huko nyuma nchi inahitaji integrity and leaders who seek justice and development regardless of political divide,sio viongozi ambao hawajui kwa nini Tanzania ni masikini na wale wanaotuambia uchumi unapaa kumbe anaepaa ni yeye na familia na marafiki zake,sisi wanatuacha uwanja wa ndege!
 
hakuna fisadui mwenye siasa za uwazi na ukweli acha uongo!

unaweza kunieleza kwa ufasaha ufisadi wa nyalandu?achana na kina lowassa,sijui jk na wengine,ufisadi wa nyalandu tuwekeeni hadharani hata alipotajwa tajwa tu kuhusika kuhujumu uchumi wa nchi hii..
 
Ina maana The Romantic hajui kusoma?. Ina maana yote yaliyoelezwa hapo juu, incl criminal charges na kukutwa na kosa. Bado anafaa?
 
Namfahamu nyalandu kama mbunge wa singida kaskazini na naibu waziri wa viwanda na biashara lakini vilevile ni mwizi wa fedha za ufadhili wa wanafunzi kutoka marekani.
 
unaweza kunieleza kwa ufasaha ufisadi wa nyalandu?achana na kina lowassa,sijui jk na wengine,ufisadi wa nyalandu tuwekeeni hadharani hata alipotajwa tajwa tu kuhusika kuhujumu uchumi wa nchi hii..

Lazaro ni fisadi......... kwa kila hali kama hutaki unaacha!!
 
Back
Top Bottom