Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Acheni ulimbukeni hii ni nchi huru na kila mtanzania mwenye sifa anaweza kutangaza nia. Ndio maana hatuendelei kwa sababu ya wivu wa kijinga (refer ben m.) Anayebisha na atangaze nia yeye basi kuliko kumnanga Nyalandu. Nyalandu is my best role model and I wish I could see him and wish a clear path to Magogoni. Shtaip!
 
Hakuna shaka mkuu, avatar yako inajieleza.
 
Anapaswa ajibu swahi hili lakini ntampata awapi baadhi ya Magazeti leo yanadai ni Raia wa USA pia... Wadau nani anachanzo cha habari hiyo
Nyalandu si Raia wa Marekani kama wengi wanavyosema; ni green card holder. Ni criminal hawezi kuwa RAIA. Ana makosa ya Jinai Iowa pamoja na Illinois.

Inadaiwa kuwa anapokea rushwa kutoka kwa wageni hasa wanaotoka ASIA (Wachina). Serikali ya Marekani haiwezi kumsaidia KUWANIA urais (kama ambavyo inaonekana kwenye thread nyingine) kwa maana ana criminal record. FBI wanajua jamaa ni criminal.

Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (Raia wa Marekani ni Lawrence Masha)

Summary
Title: STATE VS LAZARO NYALANDU
Trial Court Case IDOriginating CountyCreatedSpeedy TrialMicrofilm Ref
02951 SMCR007654WINNEBAGO02/19/1998
Citation NumberDisposition StatusDisposition DateReopened Date

nyalandu-case.jpg

Chanzo: https://www.iowacourts.state.ia.us
 
mmekwisha mmaliza Nyarandu! Invisible ndio kachinja kabisaaa! Hawezi kuinuka tena hata kwa miujiza!
 
Invisible hajachinja kitu hapo. There is nothing damning from that screen shot.
Sorry kama nimemgusa jamaa

708.1 ASSAULT DEFINED.
An assault as defined in this section is a general intent crime.
A person commits an assault when, without justification, the person
does any of the following:
708.2 PENALTIES FOR ASSAULT.
1. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
with the intent to inflict a serious injury upon another, is guilty
of an aggravated misdemeanor.
2. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and who causes bodily injury or mental illness, is guilty of a
serious misdemeanor.
3. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and uses or displays a dangerous weapon in connection with the
assault, is guilty of an aggravated misdemeanor. This subsection
does not apply if section 708.6 or 708.8 applies.
4. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and who causes serious injury, is guilty of a class "D" felony.
5. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and who uses any object to penetrate the genitalia or anus of another
person, is guilty of a class "C" felony.
6. Any other assault, except as otherwise provided, is a simple
misdemeanor.

Source: Iowa Code 708
 
Acheni ulimbukeni hii ni nchi huru na kila mtanzania mwenye sifa anaweza kutangaza nia. Ndio maana hatuendelei kwa sababu ya wivu wa kijinga (refer ben m.) Anayebisha na atangaze nia yeye basi kuliko kumnanga Nyalandu. Nyalandu is my best role model and I wish I could see him and wish a clear path to Magogoni. Shtaip!

Hana sifa kama aliwahi kubaka P..mbafu!
 
Wewe Invisible, Lazaro anamakosa gani ya jinai Marekani?

5. A person who commits an assault, as defined in section 708.1,
and who uses any object to penetrate the genitalia or anus of another
person, is guilty of a class "C" felony.

January Makamba sit tight before 2015. Chezeya umeme wanaendelea kukusanya data
 
NN mkuu, naona unataka watu wamwage kuku kwenye mchele kigodo....hahaha!!! minya mkuu.

Wengine tunamjua Lazaro in person na hiyo issue ya tuhuma za kuibaka tunaijua. Na hata Tashi (Tangeni) alipompiga singi ndani ya International students' center pale Wartburg College wengine ndiyo tuliamulia kabla ugomvi haujawa mkubwa na tukawekwa standby kama mashahidi endapo Waverly Police Department wangeendelea na hiyo kesi ya attempted assault.

Wanaojua watakuwa wanamjua Tashi (Tangeni Shiimi ya Shiimi)......
 
Believe me,Nyalandu hakutegemea kama matamshi yake yangefika huku! Miscalculation! Angetulia na nafasi zake za sasa kimya!
 
Hizi zote ni mbio za uraisi 2015, haya yetu kujua mengi tu, yaani raha balaa.
 
Ni Tanzania tu ambako viongozi hawawi vetted.
Yeyote yule anaweza kuwa kiongozi hata washika bunduki ili mradi hajawahi pelekwa mahakamani lakini kuna ushahidi wa kimazingira, anaweza kesho kuwa rais, waziri mkubwa, waziri, mbunge na hata government official bila ya shaka yoyote. Na haya ndio matokeo ya uongozi ovyo tulio nao leo.
Msishangae.
 
Back
Top Bottom