Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Nyalandu si Raia wa Marekani kama wengi wanavyosema; ni green card holder. Ni criminal hawezi kuwa RAIA. Ana makosa ya Jinai Iowa pamoja na Illinois.

Inadaiwa kuwa anapokea rushwa kutoka kwa wageni hasa wanaotoka ASIA (Wachina). Serikali ya Marekani haiwezi kumsaidia KUWANIA urais (kama ambavyo inaonekana kwenye thread nyingine) kwa maana ana criminal record. FBI wanajua jamaa ni criminal.

Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (Raia wa Marekani ni Lawrence Masha)

Summary
Title: STATE VS LAZARO NYALANDU
Trial Court Case IDOriginating CountyCreatedSpeedy TrialMicrofilm Ref
02951 SMCR007654WINNEBAGO02/19/1998
Citation NumberDisposition StatusDisposition DateReopened Date

nyalandu-case.jpg

Chanzo: https://www.iowacourts.state.ia.us

Asante mkuu! Hii nchi tukichimbua mambo ina criminals wengi sana kwenye uongozi. Mmojawapo ni Mzee wa kisambaa ambae inasemekana alibaka mwanafunzi wakati akiwa mwalimu mkuu! Lakini akapeta tu kwenye uongozi tena kwa muda mrefu.
 
Wengine tunamjua Lazaro in person na hiyo issue ya tuhuma za kuibaka tunaijua. Na hata Tashi (Tangeni) alipompiga singi ndani ya International students' center pale Wartburg College wengine ndiyo tuliamulia kabla ugomvi haujawa mkubwa na tukawekwa standby kama mashahidi endapo Waverly Police Department wangeendelea na hiyo kesi ya attempted assault.

Wanaojua watakuwa wanamjua Tashi (Tangeni Shiimi ya Shiimi)......

Nyani umeangalia jalada la kesi vizuri? Kesi inayoongelewa hapo na Invisible ni ya Winnebago county na ilitokea Forest City, IA...Na inafahamika sana...Kuna mdada Mnamibia alikuwa akiitwa Pansi alishitaki.
 
Kosa la kubaka ni kosa kubwa sana Marekani. Sasa iweje Lazaro haku serve jail time na kuishia kupewa ki fine cha dola 50?

Na kama Invisible anadai Lazaro ana green card, iweje sasa hawakui-revoke hiyo green card yake? Maana kosa la ubakaji ni serious felony...in America you are sex offender for the rest of your life!

Sasa mtu abake, asifungwe jela, na kijani yake asinyang'anywe? Acheni hizo nyie....

STRONG POINT! Wabongo tunapenda sana kukuza mambo,hili ni tatizo.acheni kila mtu mwenye uwezo wa kugombea agombee wananchi ndio wataamua,tuache kutumiwa kufanya siasa za majitaka
 
Ndiye mgombea pekee wa ubunge aliyetumia helikopta kusaka kura.....wana-TAKUKURU kivuli tunauliza ni nani jamaa huyu? Mafweza anayapata wapi? Wenye 'takwimu' waturushie.....

Anamiliki taasisi ya TASAF, mama Anna Mkapa ni mwajiriwa wake, na Mke wake Faraja Kota ana fungu nzuri tu.
 
Bora useme wewe, maana wabongo hata justice systems za wenzetu hawazijui wanabaki kuassume zipo kama za kibongo, unaweza kuchezesha kesi ikafa kimiujiza. Hakupona Multi millionaire Mike Tyson kwa Desiree Washington, itakua Nyalandu wa enzi hizo hata dollar elfu angeona nyingi.

Vitu havi add up lakini watu hawafungui bongo zao kuona yaliyo wazi.

Halafu kwenye hiyo Iowa Court Search hata traffic citation zinabandikwa humo...so it's really nothing until we get the details and facts of the case.

Kesi ya kubaka unalimwa fine ya dola 50? Wakati going 78 on a 65 unalimwa dola 170! Go figure.
 
Nyani umeangalia jalada la kesi vizuri? Kesi inayoongelewa hapo na Invisible ni ya Winnebago county na ilitokea Forest City, IA...Na inafahamika sana...Kuna mdada Mnamibia alikuwa akiitwa Pansi alishitaki.

Kaka, najua kila kitu. Kipindi hicho Lazaro alikuwa anasoma Wartburg College iliyopo Waverly, Iowa, Bremer County. Alikuwa anapenda sana kwenda Waldorf, Forrest City.

Sasa mdada wa Kinamibia alikuwa anajuana na Tashi. Tashi nadhani bado yupo Twin Cities. Mdada ndo akamwambia Tashi and Tashi wanted to fcuk him up.

I know the whole deal. I was there in person.
 
Tatizo watu wanalazimisha kashfa za kuokoteza,tuambieni amefanya nini kuhujumu/kufisadi uchumi wa nchi hii since amekua kwenye uongozi kulinganisha na hao "wataka urais maarufu"
 
nimeambiwa na mdau mmoja kuwa hadi nyalandu kufikia hapo ni pamoja na ujasiri wake wa kutojali kukabiliana na mtu, awe maarufu ama wa kawaida. Enzi za mkapa huyu jamaa alikuwa ni mtu muhimu kando ya mama anna mkapa. Mambo yote ya EOTF (Equal Opportunity Trust Fund) yalikuwa chini yake. All in all jamaa anajiamini
 
Kama Lazaro alipatikana na hatia ya kubaka iweje Wartburg College imuache aendelee kuwa mwanafunzi wake? Na hii ni college inayomilikiwa na ELCA (Evangelical Lutheran Church of America).
 
nimeambiwa na mdau mmoja kuwa hadi nyalandu kufikia hapo ni pamoja na ujasiri wake wa kutojali kukabiliana na mtu, awe maarufu ama wa kawaida. Enzi za mkapa huyu jamaa alikuwa ni mtu muhimu kando ya mama anna mkapa. Mambo yote ya EOTF (Equal Opportunity Trust Fund) yalikuwa chini yake. All in all jamaa anajiamini

Tatizo watu wengi wanapenda kuhadithiwa na ku conclude bila kujaribu kufuatilia truck records,jamaa ni kichwa na mtu asiyeyumba ama kuyumbishwa,mawaziri au wabunge wengi vijana wanayumbishwa na mafisadi lakini jamaa kasimama kivyake anafanya kazi zake na wafuatiliaji wa mambo wanamuona,sio mtu wa kupiga mayowe ana chapa kazi
 
nilimwona siku moja pale dodoma hotel feeling ver proud as da way he tok,walk ver majastically he cant have qualities being a president,2015 Lowasa at Magogoni no one to defeat him at all,Nyalando is a certai hopeless person,who is like Dule sykes
 
Huyu Nyalandu simkubali kabisa....Katoka wapi kutaka kuwa rais wetu? Anatafuta kuchokonolewa undan tu hakiyanani!!

LOWASSA 2015!!
 
Huyu Nyalandu simkubali kabisa....Katoka wapi kutaka kuwa rais wetu? Anatafuta kuchokonolewa undan tu hakiyanani!!

LOWASSA 2015!!

wabongo bwana yani basi tu hutaki,huna sababu zozote za msingi za kutomkubali,kwani ungependa awe ametokea wapi labda ndio umkubali?
 
Alikuwa mgya wangu (yaani form V wangu) pale Ilboru Secondary alimaliza shule 1993 alisoma combination ya HGL. Nakumbuka alikuwa kiongozi wa kitaifa wa UKWATA.
 
Jambo usilolijua kuhusu huyu jamaa na huko unyamwezini ni sawa na usiku wa kiza...malenga wanasema usimwage mchele kwenye kuku wengi. Nachelea kusema kwamba jumuisho ni moja tu, kwamba jamaa anajua najua kwamba credibility yake iko under serious doubt hasa huko unyamwezini!!...
 
Tatizo watu wengi wanapenda kuhadithiwa na ku conclude bila kujaribu kufuatilia truck records,jamaa ni kichwa na mtu asiyeyumba ama kuyumbishwa,mawaziri au wabunge wengi vijana wanayumbishwa na mafisadi lakini jamaa kasimama kivyake anafanya kazi zake na wafuatiliaji wa mambo wanamuona,sio mtu wa kupiga mayowe ana chapa kazi

Anachapa kazi gani? mbona wamachinga wa kichina pale karikoo ameshindwa kuwarudisha kwao gwangzu, nyalandu hawezi angalau kwa sasa kuwa na sifa ya uchapakazi ya jamii, angefit kwenye tamthilia. kuwa kwenye mfuko wa kitapeli wa anna mkapa ndo ishereheshe u-kichwa!!!!! akafie mbele huko.
 
Back
Top Bottom