Kuna anayemfahamu Mh Lazaro Nyalandu?

Wataalamu wanasema jamaa hakumaliza degree yake.....

Naona huyu choko ameubip urais ..tu ..kashaambiwa sio raia...au ana dual citizenship...nadhani huu ni mjadala mzuri....,watu wenye dual citizenship kama katiba ikija kuwaruhusu ni muhimu tukawwawekea mipaka ....ie hawezi kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama, anaweza kuwa mbunge [lakini hatateuliwa uwaziri au kuhudumu kwenye kamati nyeti bungeni]...na kwenye vyama hataweza kuwa kiongozi mkuu wa chama........ni vigumu kuwa na rais mwenye double loyalty...no wounder huyu Nyalandu ..amekosea sana ...badala ya kusema kuwa wananchi wa Tanzania wameniomba nigombee urais ...anasema Wamarekani wameniomba nigombee urais !!! basi akagombee huko ..tena mwaka huu kuna uchaguzi labda kama amechelewa primaries...........
ameniudhi sana ..binafsi nilikuwa nikimuona kama presidential material ...lakini sijui kwanini empathy yangu ilikuwa ikinituma kuwa ni CIA recruit.......for which he can't even stand...there vetting kwa uropokaji wake........

Sasa nadhani intelligence wamemrushia kapu.......sijui hili anajisafishaje ..labda ...JK Ambebe!!!
Mdau hiyo ya yeye kusema eti Marekani inamtaka awe rais wa Tanzania haina ukweli wowote, hizo ni fitna za siasa za kishamba za watu wa kizazi cha TANU YOUTH league ambao wengi walikua wanaombea Nyerere afe ili waivuruge nchi,sasa wakiwaona vijana wa kizazi kipya cha siasa za Tanzania ambao wana lengo la kuirejeshea heshima nchi yetu kama enzi za baba wa taifa wanaanzisha hizi siasa zao za maji taka, namaanisha kufanya siasa za PERSONALITIES na kuacha siasa za ISSUES na Nguvu nyingi kuzipeleka katika kanuni ya Character assasination ambayo kwa muda mrefu imeiumiza sana hii nchi na kuifikisha hapa ilipo, kwa kuwanyima fursa kwa hila tu watu wenye mawazo mbadala ya kuipeleka hii nchi mbele, nadhani wengi mnazo kumbukumbu kwa kilichowahi kumtokea mzee wetu salim A. Salim, ni siasa hizo hizo leo wanazileta kwa Nyalandu baada ya kumuona ni tishio kwao kwa sasa, tuachane na siasa hizo za kishamba watanzania, country needs integrity and leaders who seek justice and development!
 
Basi mkuu, naminya. Unajua watu wanapopinga wanalazimisha mtu uongeze nyama ili kuwashibisha.

Am out of this

Asante mkuu, maana uliingia ghafla na NONDO juu, na ninavyojua hapo ulikuwa unabeep, sasa ungepiga ungeacha watu uchi hapa, asante mkuu...hahaha..
 
Asante mkuu, maana uliingia ghafla na NONDO juu, na ninavyojua hapo ulikuwa unabeep, sasa ungepiga ungeacha watu uchi hapa, asante mkuu...hahaha..

Hakuna nondo yoyote hapo. Hicho ni kikesi kidogo sana ambacho hakiwezi kumzuia mtu ku seek public office.
 
mwenyekiti wa UKWATA taifa ...from Ilboru mwaka ....1990/91.....hakupata scholarship ya best students......ambao wengi wa best students wamekuwa wakisoma mlimani...na wengine wanaoendelea kufanya vyema kuwa retained pale as lecturers ...

Alipata mchongo wa kwenda kusoma Marekani kwa kutumia mgongo wa Ukwata[kanisa]....nijuavyo mimi ..enzi zile viongozi wengi high schools affilieted to Ukwata, YCA au uvccm ni wachache sana waliokuwa wakifanya vyema darasani ..let alone becoming best student...hivi kama ameweka hivyo kwenye CV yake hajuwi tukienda baraza la mitihani ..wana list ya best students wote tangu miaka ya 60...sijuwi kwanini watu wanapenda sifa za kijinga

Tunatafuta kiongozi watu,anaewajua watu(wakulima na wafanyakazi) na matatizo yao kabla ya kuingia ikulu,kiongozi muwajibikaji sio mkaa ofisini kwenye viyoyozi vya wizara wala mtalii anaonesha uhodari wa kuizunguka dunia kwa safari za nje ya nchi kila kukicha badala ya safari nyingi za huko site waliko watu!.....hatutafuti best student of all the times




Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mheshimiwa Lazaro Nyalandu akiondoka na kuwapungia wadau soko la kariakoo jijini Dar es Salaam leo muda mfupi baada ya kufanya ziara Sokoni hapo

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za mboga mboga katika soko la Tandale
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu akitazama aina mbali mbali za maharage na kunde kunde katika soko la Tandale alipotembelea soko hilo kujionea hali ya soko na upatikanaji wa vyakula na bei
Wafanyabiashara wa nguo za mitumba katika soko la Tandale wakizungumza na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe lazaro Nyalandu sokoni hapo. Wamemuomba Mh Nyalandu kuwasaidia kuboresha mazingira ya soko hilo ili kuvutia wateja zaidi


TWO.JPG

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele (Aliesimama) akitoa taarifa fupi ya Wilaya yake kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu. Wengine ni watendaji wa idara za serikali Wilayani Tarime.
THREE.JPG

Mkuu wa Wilaya ya Tarime Bw John Henjewele(Mwenye suti kulia) akimpa maelezo Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mh Lazaro Nyalandu kuhusu eneo linalotarajiwa kujengwa soko kubwa la kisasa katika mji wa Sirari Mkoani Mara.
FOUR.JPG
 
nyalandu si raia wa marekani kama wengi wanavyosema; ni green card holder. Ni criminal hawezi kuwa raia. Ana makosa ya jinai iowa pamoja na illinois.

inadaiwa kuwa anapokea rushwa kutoka kwa wageni hasa wanaotoka asia (wachina). Serikali ya marekani haiwezi kumsaidia kuwania urais (kama ambavyo inaonekana kwenye thread nyingine) kwa maana ana criminal record. Fbi wanajua jamaa ni criminal.

Ushaidi huu hapa chini; alikuwa tried for a number of days almost 10. (raia wa marekani ni lawrence masha)


summary
title: State vs lazaro nyalandu
trial court case idoriginating countycreatedspeedy trialmicrofilm ref
02951 smcr007654winnebago02/19/1998
citation numberdisposition statusdisposition datereopened date

chanzo: https://www.iowacourts.state.ia.us

je anazo criminal records zozote singida ama tanzania kwa ujumla?(kama kweli hizo za huko iowa)

 
Kosa la kubaka ni kosa kubwa sana Marekani. Sasa iweje Lazaro haku serve jail time na kuishia kupewa ki fine cha dola 50?

Na kama Invisible anadai Lazaro ana green card, iweje sasa hawakui-revoke hiyo green card yake? Maana kosa la ubakaji ni serious felony...in America you are sex offender for the rest of your life!

Sasa mtu abake, asifungwe jela, na kijani yake asinyang'anywe? Acheni hizo nyie....
 
Hii ndio Jf kila kiru unapata hapa bila wasi wasi

Mkuu humu ukiwekwa uwanjani tu watu wanamwaga data mpaka ulitahiriwa lini na hospitali gani! Balaa! Ndo maana ilivyoletwa mada ya kufahamiana humu watu waliruka hatua mia mbele!
 
Basi mkuu, naminya. Unajua watu wanapopinga wanalazimisha mtu uongeze nyama ili kuwashibisha.

Am out of this

wewe invisible acha kukuza mambo,kwa waliowahi kuishi marekani,kwa wanawake wa wamarekani kuzua hayo mambo ni mambo ya kawaida sana...
 
Kosa la kubaka ni kosa kubwa sana Marekani. Sasa iweje Lazaro haku serve jail time na kuishia kupewa ki fine cha dola 50?

Na kama Invisible anadai Lazaro ana green card, iweje sasa hawakui-revoke hiyo green card yake? Maana kosa la ubakaji ni serious felony...in America you are sex offender for the rest of your life!

Sasa mtu abake, asifungwe jela, na kijani yake asinyang'anywe? Acheni hizo nyie....

Bora useme wewe, maana wabongo hata justice systems za wenzetu hawazijui wanabaki kuassume zipo kama za kibongo, unaweza kuchezesha kesi ikafa kimiujiza. Hakupona Multi millionaire Mike Tyson kwa Desiree Washington, itakua Nyalandu wa enzi hizo hata dollar elfu angeona nyingi.

Vitu havi add up lakini watu hawafungui bongo zao kuona yaliyo wazi.
 
Back
Top Bottom