Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,427
- 2,229
CHADEMA ndiyo Chama pekee cha Upinzani wa Dhati na ndio maana Chadema chini ya KAMANDA MKUU Freeman Mbowe kinapigwa na kupitia Misukosuko ya kila aina kupitia CCM na SERIKALI yake.
CHADEMA chini ya Mbowe kimekuwa adui mkubwa wa CCM na ndio maana Vyombo vya habari Uchwara Watangazaji Machawa Mitandaoni wamepangwa Wahuni Kumtukana na kumtaka Kamanda Mkuu eti aachie ngazi huo ni USHAHIDI kuwa CHADEMA chini ya MBOWE imekuwa IMARA ZAIDI kiasi cha Kutaka KUMTENGANISHA Mbowe na CHADEMA.
MAMLUKI wengi wametumwa kuihujumu CHADEMA lakini Wameshindwa na kukimbia,wengine mpaka Wameanzishiwa VYAMA ili vipambane na CHADEMA lakini ndio hao WAMEVIKIMBIA vyama vyao. Utawala KATILI wa Mwendazake ulidhani ukiwambambikizia KESI wanachama Wafuasi na VIONGOZI wa CHADEMA akiwemo KAMANDA MBOWE basi ATAIUA CHADEMA lakini CHADEMA HAIKUFA ndio kwanza ikaimariki na MUNGU akaumaliza ule UGOMVI.
Huwa najiuliza kwanini CCM ndio inataka Kamanda MBOWE atoke UONGOZINI na sio Wanachadema? Kwa Taarifa yenu MBOWE YUPO SANA CHADEMA na Waliomweka UONGOZINI ni Wanachama wa CHADEMA na ndio wenye JUKUMU la kumwondoa Uongozini sio VINGINEVYO
Mbona CCM ipo Madarakani kwa Miaka 62 hamsemi iondoke? Kamanda MBOWE HAONDOKI Madaraka na kama mtakuwa mmechukizwa na UWEPO wake sana UONGOZINI basi "KAJINYONGENI" uwanja wa MKAPA.