Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
And am one of the moderators on Demonoid (FYI)
Duh!! Babu unakwenda Demonoid? Wamesharudi hewani?
And am one of the moderators on Demonoid (FYI)
Duh!! Babu unakwenda Demonoid? Wamesharudi hewani?
Shy,
Uko sahihi, ukweli nimechoka kwa sasa maana sijalala takribani masaa 27 hivi, wengi mmepata feeds hizo, kama kuna wanaoweza kuzileta mtakuwa mmefanya jambo la busara sana.
Mkuu Shapu, imeenda na maji, very sorry mkuu.
Wakulu Max, Invisible na Painkiller,
Poleni kwa msukosuko ulowakumba wa mambo ya kuhamisha data.
Naelewa kazi kubwa mlonayo ya kuendelea kutuweka katika ukumbi huu.
Ntajitahidi tuwasiliane na ntawa-PM.
Hawajarudi bana, imekuwa ngumu sana, tena links za torrents walizoweka si salama, do not visit any of them!
And am one of the moderators on Demonoid (FYI)
Heshima mbele..........Mkuu
uwe unatupandishia na torrents za kibongo bongo.....pindi itakaporudi.......
Brodha, waonee huruma kidogo wasanii wa kibongo. Wanasweat mbaya na maisha bado ni passport size. Tunapopinga ufisadi lazima tuwe tunakataa its all forms and entirety, hususan pale maslaha ya wanyonge yanapoguswa.
NB: Ni ushauri tu sio amri.
farida mambo. yani nikiona koment zak mimi hoi . natamani hata unipige tu banmmmmmm jamani kuna watu wakorofi humu sijapataona
mmmmmm jamani kuna watu wakorofi humu sijapataona
Kwanini umefukua hili kaburi? Makaburi mengine si ya kufukua... shauri zako!Mambo bibie..?
Kwanini umefukua hili kaburi? Makaburi mengine si ya kufukua... shauri zako!
Aisee, hukulala kwa muda wa masaa 27!Shy,