Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
kwi kwi kwi kwi he he he
Mi naomba unipe thanks tu nimekumiss sana.
kwi kwi kwi kwi he he he
Fidel80 (Today),Maxence Melo (Today)
mmmmmm jamani kuna watu wakorofi humu sijapataona
Yeah kweli haswa huyu mpwa Masanilo na Nguli kuwa makini nao oooh...
Mi naomba unipe thanks tu nimekumiss sana.
Yeah kweli haswa huyu mpwa Masanilo na Nguli kuwa makini nao oooh...
haya mamoderator nendeni mkapumzike mtuache alone hapa ndani mtaendelea na kazi usiku tukiwa tumelala
regards
FL
MKULU pole na kazi, ila una personal dr. hapo karibu? kama huna ni muhimu ukapatiwa dr. wako naona ushauri wangu na masanilo umegonga ukuta
haha ha ha ha, nafikiri hata ukisoma thread zote na zilizofutika kimiujiza na ndio maana tuko kwenye hii thread ya Kumradhi huwezi ona mahali nimewahi hata kumtania FARIDA naipenda JF sitaki kuwa burnt. Cheza na chochote lakini sio mke wa MKULU.
limx→∞ (x³-7x²) = ∞;612128 said:Niite limx→∞ (x³-7x²) = ∞ au hata ukiniita ∞ inatosha tu.
Be my guest
Athletic upo? mshauri Mkulu alale atapepesukaWala si utani mkuu, yasije yakamkuta yaliyomkuta prezidaa wetu.
Athletic upo? mshauri Mkulu alale atapepesuka
mkuu inakuaje lim (x³-7x²) = ∞ bila kuonyesha limit ya x kuapproach kitu (x-->)??, hahahaaaaaa nakumbuka kitabu cha adv. mathematics cha Shayo, duh kigumu balaaa!.
Umenikumbusha mbali hivi hii sign ∞ si infinity one... do i apply hizi vitu now!!!
Msaada waheshimiwa!
How many Tanzanians are in the UK? where can I access this statistics!
Asante Sana.
Limit of (x³-7x²) as X approaches to what? Hiyo expression bado kukamilika, huwezi tu kujiwekea "equals to infinity" bila kueleza X ilikuwa inaaproach to what. Fanya revision, otherwise utaishia kuwadanganya wasiojua eg First Lady.limx→∞ (x³-7x²) = ∞;612128 said:Niite limx→∞ (x³-7x²) = ∞ au hata ukiniita ∞ inatosha tu.