Kumewahi kuwepo au kuna vyoo vya shule za sekondari ukiingia lazima uvue nguo nje

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,681
46,369
Kuna mahali nimesoma kwamba kuna mojawapo ya sekondari nchi hii ilikuwa ukiingia chooni lazima uvue nguo uziache nje vinginevyo utanuka sana harufu ya mavi kwa muda mrefu sana!

Story yenyewe inaelezewa kwa bashasha sana kana kwamba ni jambo mojawapo la kujivunia na wala sio la kusikitisha la shule hiyo! Pia hii ni story ya pili nasikia shule za aina hiyo.

Ni kweli kumewahi kuwepo na shule zenye vyoo vya aina hiyo au ni changamsha genge tu?
 
hyo stry s tulipga juzi pale skani mkuu wakat tunakula mpepe na mm ndo nlieileta hyo stry nlkua nachngamsha genge kumbe umechukulia serious mwanangu ...?😂😂 na leo kuna stry ingne nawaletea
 
Kuna mahali nimesoma kwamba kuna mojawapo ya sekondari nchi hii ilikuwa ukiingia chooni lazima uvue nguo uziache nje vinginevyo utanuka sana harufu ya mavi kwa muda mrefu sana!

Story yenyewe inaelezewa kwa bashasha sana kana kwamba ni jambo mojawapo la kujivunia na wala sio la kusikitisha la shule hiyo! Pia hii ni story ya pili nasikia shule za aina hiyo.

Ni kweli kumewahi kuwepo na shule zenye vyoo vya aina hiyo au ni changamsha genge tu?
Ni kweli kabisa mojawapo ni shule ya Pugu sekondar enzi hizo sijui sasa hivi.
 
Maharage na dona wachaa Kabisa....!!!!

Hiyo gesi wachaaa ...umeme megawati 1000

Zinaitwaga PITI latrine ....hutumika pale vyoo vya kufulashi vinapo ziba au tatizo la mayi linapotokea

Shybush niliwahi kuexpiriensi hiyo kitu tena vilikuwa vimejaa sasa kwenda Kuvua mzigo wachaaa
 
Kuna mahali nimesoma kwamba kuna mojawapo ya sekondari nchi hii ilikuwa ukiingia chooni lazima uvue nguo uziache nje vinginevyo utanuka sana harufu ya mavi kwa muda mrefu sana!

Story yenyewe inaelezewa kwa bashasha sana kana kwamba ni jambo mojawapo la kujivunia na wala sio la kusikitisha la shule hiyo! Pia hii ni story ya pili nasikia shule za aina hiyo.

Ni kweli kumewahi kuwepo na shule zenye vyoo vya aina hiyo au ni changamsha genge tu?
Vyoo vya shimo hata majumbani vipo.
 
Maharage na dona wachaa Kabisa....!!!!

Hiyo gesi wachaaa ...umeme megawati 1000

Zinaitwaga PITI latrine ....hutumika pale vyoo vya kufulashi vinapo ziba au tatizo la mayi linapotokea

Shybush niliwahi kuexpiriensi hiyo kitu tena vilikuwa vimejaa sasa kwenda Kuvua mzigo wachaaa
Hahaha duh shybush kitambo sana. Nakumbuka watu tulikua tunaenda kushusha mzigo porini yaani ukiingia toilet kule sharti uvue nguo
 
Kuna choo tulikuwa tunakiita mabati Shinyanga moja hiyo. Jina la shule sitaji coz naiheshimu sana shule yangu. Waliopita hapo hususani boys kama wapo humu watanielewa. Prodees....
 
Nilisoma shule moja Uganda, ilikuwa usipovua nguo zote na kuacha nje na kuingia chooni kujisaidia, ukitoka kila utakaepishana nae atajua umetoka kukata gogo.
 
Kuna mahali nimesoma kwamba kuna mojawapo ya sekondari nchi hii ilikuwa ukiingia chooni lazima uvue nguo uziache nje vinginevyo utanuka sana harufu ya mavi kwa muda mrefu sana!

Story yenyewe inaelezewa kwa bashasha sana kana kwamba ni jambo mojawapo la kujivunia na wala sio la kusikitisha la shule hiyo! Pia hii ni story ya pili nasikia shule za aina hiyo.

Ni kweli kumewahi kuwepo na shule zenye vyoo vya aina hiyo au ni changamsha genge tu?
Kuna chuo kimoja Cha veta nakitaja live bila chenga

Pale manyara (w) ya hanang kipo Nangwa asee kile chuo miaka ya 2016-17 Ili uingie chooni lazima uvue nguo lakni pamoja na kuingia lazima utoke unanuka sana!

Nakumbuka choo hicho kilikuwa kinaitwa milango7!! Aisee sisemi sana ila aliyewahi pita hapo miaka hiyo atakubaliana Nami.

Nimepitapo mwaka2022 huwez amini ndo pale asee Pako vizuri sana.

Kile chuo kina madini sana kinafumdisha vzr sana fani ndo nilichopenda Wala sikujutia!!
 
Back
Top Bottom