Ngoja wacheze na wakurya hawa jamaa hawajali cha cc wala nini watahamia upinzani wote wala hawana chakupoteza. Hawa hufaata haki tu hawajui kuumauma maneno. Huu ni mwiba makli kwa ccm hawatalala hapa. Haya ndiyo yanayotakiwa yatokee. Hivi sahani ya udongo wa kichina ikianguka sakafuni pwaaaa unaweza kuiungaunga upate kitu kizima tena? Ccm ni kama sahaani la undongo limechezewa sakafuni na watatoyo wameliangusha chini pwaaa sasa ni vipande vipande tu. Mkwere atweza kuokoteza na kuungaunga tena iwesahani yakupakulia mgeni chakula? Hatakama likirudishiwarudishiwa bado litakuwa bakula kulia mbwa tu! Hilo ndo ccm tam ala mbovu!
mi nimeshangazwa sana na wana CCM, wakishaona mambo yamewakaba koo then ndo wanaanza kujitokeza na ku-support hadharani
Yap! Ndo huyohuyo,the one and only!Sory kuuliza si ujinga unaposema RA unakuwa unaamanisha Rostam Aziz huyu ambaye anategemewa kupokea pesa za DOWANS na ni mtu mwenye mchango mkubwa wa maamuzi anayofanya ndugu Jakaya Kikwete?
RA ataingia kazin soon,we utawasikia wakisema wali kotiwa vibaya,sikiliza utaona tu hiv pundeBaraza Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoani Mara umetaka serikali kutamka kwamba Dowans ni kampuni hewa na kwamba isilipwe hela yoyote. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake Marwa Mathayo.
Source: ITV "Hapa na Pale" news programme saa 12 jioni hii.
My Take:
Inavyoonekana RA hajawawahi vijana hawa, wamemshtukizia tu. Lakini hata hivyo hiyo ni changamoto kubwa kwa UVCCM hapa nchini.
I get so irritated to see Sitta na Mwakyembe wakiwa bado kwenye baraza la matapeli. Wasimame tuwahesabu sasa maana kuna watu wengine huko nyuma walisimama kwa ajili ya kizazi chetu. Ni wakati wao kusimama kwa ajili ya kizazi kijacho. Wakishindwa kusimama wenyewe inabidi tuwasimamishe kwa lazima na dunia itambue hilo.