Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,488
- 79
wana JF,
Wadau mbalimbali wanasema kwamba wanaume walio wengi wanakuwa ni wagumu tena hawapendi kufunga ndoa na wanawake waliomegwa na rafiki zao (rafiki ya mwanamume)...
Lakini kwa upande wa wanawake waliowengi hawanakasumba hii ya (kuogopa/kuhofia/wivu) kutofunga ndoa na mwanamume aliyewahi kumega rafiki yake (rafiki wa kike wa muolewaji). Wanawake tena wanaona sawa kwani kama walimegana ni zamani.
Kwanini wanaume wanakinyongo aaagh 'mi siwezi' kufunga nae ndoa kwani alishawahi kumegwa na 'fulani' ambaye ni rafiki yangu....
Kunani? Je, wanaume ndivyo walivyo? Nini kinasababisha hali hiyo?
Nawasilisha hoja!