Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 509
mzee mbona unachanganya taarifa sana siku hizi za karibuni kulikoni?una mning'inio nini kamanda?
Duh, aiseeee.....inawezekana. Poleni sana lakini!
mzee mbona unachanganya taarifa sana siku hizi za karibuni kulikoni?una mning'inio nini kamanda?
we je vipi uko tayari kuonja?The romantic ni mtu wa karibu na familia atawajibu. poleni lakini ilimpasa aonje mauti tena kaishi sana tu 2001-1937=64. si haba hiyo
Alikua ni muislam mdau,jina lake ni halisi ni Mussa Nnauye,Moses alijipa ili apate nafasi ya kusoma shule za mission enzi hizo walikua wanatakiwa kusoma kwenye shule hizo wakristo tu,wengi walibadili majina hata marehemu kighoma malima anaingia kwenye kundi hili!

Inashangaza sanaWatu badala ya kujadili marehemu mnaanza kuleta mambo yenu ya umbea. Shame On You!
Hukupaswa kujibu hoja hiyo. BTW, ina maana hizo nyumba zimeshindwa kutoa/kufanya kumbukumbu ya pamoja kwa jambo kama hili, hivi kuna maasiliano kweli hapo?
Watu badala ya kujadili marehemu mnaanza kuleta mambo yenu ya umbea. Shame On You!
Ni mambo mengi sana mazuri amefanya Mzee Moses Nnauye ila kosa kubwa na ambalo hatutamsamehe ni kwa kumzaa Vuvuzela Nape maana ni BOGUS BOGUS BOGUS!
Hamna mawasiliano....!kilamtu anauchungu wake na style yake ya kumlilia mpendwa wake
Kwa kumbukumbu zangu, wakati ule wa Ugomvi wake na akina Lowassa kuhusu Jengo la Umoja wa Vijana, Mke wa Marehemu Moses Nnauye alimkana kwamba si mtoto wa Marehemu na alianza kumwona baada ya Msiba wa Mzee Nnauye.Picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la Nape silioni katika members wa familia ya Nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi
"walikamata" kitimoto????wat u do mean?sijakunyaka wala nini kamanda,u wanna say wapagani woooote wanakamata kitimoto au?Kwa hiyo hao jamaa kitimoto 'waliikamata' kama kawa. Aisee haya mamo ya imani kuna wakati mtu unasema wewe ni dini fulani kwa sababu ya jina tu lakini sio kiimani.
Ni mambo mengi sana mazuri amefanya Mzee Moses Nnauye ila kosa kubwa na ambalo hatutamsamehe ni kwa kumzaa Vuvuzela Nape maana ni BOGUS BOGUS BOGUS!
Unafikiri anayo mapungufu yoyote basi?!! hamna ni siasa za maji taka tu za hawa watoto wa kiarusha waliojaa humu, wao kwao Nape tokea alivyokacha kujiunga na hicho chama chao cha kususa na kuandamana basi ndio imekua ni beef nae kwa kwenda mbele....Comrades,atleast lets be fair to the deceased,hayo mambo ya mwanae (Nnape) tumbebeshe mtoto rather than putting the budden kwa marehemu, Mapungufu na uozo wa Nape aubebe mwenyewe Nape na si baba.
Watu wa kukumbukwa kwenye hii nchi ni wawili tu, Nyerere na Sokoine University of Agriculture. Hao wengine ni wa kuwapotezea tu.
Ule ulikua ni mchezo wa kitoto wa mzee makamba baada ya kushindwa kumnyamazisha Nape kuhusu hilo jengo jambo ambalo aliwaahidi kina lowassa kwamba nape wamuachie yeye kwa kuwa mwanae atamtuliza.Kwa kumbukumbu zangu, wakati ule wa Ugomvi wake na akina Lowassa kuhusu Jengo la Umoja wa Vijana, Mke wa Marehemu Moses Nnauye alimkana kwamba si mtoto wa Marehemu na alianza kumwona baada ya Msiba wa Mzee Nnauye.
Wengi wa wanaomtuhumu Nape ni wale wanaogopa hata kivuli chake ,ni wale wenye virusi vya Ufisadi,mbona kabla ya mambo ya ufisadi na hata alipokuwa UVCCM yote hayo ya kumuita vuvuzela hatukusikia ,Nape ni kijana jasiri ukilinganisha na umri wake yuko tofauti na hao vijana wenu akina Malisa,Milya,Bashe n.k.
Kwa Nape Mzee Nnauye kazaa kidume ambacho kinaendeleza yale Mzee Nnauye aliyasimamia na kuyaamini