Tetesi: Kumbe TRA bado wanamfuatilia Askofu Kakobe

Kosa langu nikuleta taarifa? Basi Nisamehe saaana Mimi
Kuwa mwangalifu kijana..hata km hujui thamani ya uhai wako, jali uhai wa ndugu zako, makosa ya mtu yanaweza mfanya Mungu kuadhibu hata generation ya tatu mbele..acha kuweka jukwaa kwa watu wasiojua thamani ya maisha yao kumdhihaki Mungu na Mtumishi wake..
 
Kuna taarifa kuwa jamaa wanatafuta taarifa za kifedha za Mch. Zakary Kakobe.

Nadhani serikali na TRA wangejikita kwenye issues za maana wakaacha visa na mikasa.

img-20180104-wa0009-jpg.668434
Tz siyo mahali salama kwa kuishi
 
Si alikuwa anatafuta sifa mbele ya waumini wake ndio atambue serikali haitaniwi ..eti nilikuwa namaanisha utajiri wa imani wakati alisikika akisema nina pesa kuliko....

Wewe nani mpaka uwe na pesa kuliko serikali ,Dangote na pesa ,utajiri wote hajawahi kuidharau serikali yake

Ndio atakoma na heshima itakuwepo ..
bora ukutane na FFU na sio hawa TRA huku kwetu wenye maduka wakiwaona Maofisa wa TRA wote huambizana kufunga maduka
Hirizi zimetingishika
 
Kuwa mwangalifu kijana..hata km hujui thamani ya uhai wako, jali uhai wa ndugu zako, makosa ya mtu yanaweza mfanya Mungu kuadhibu hata generation ya tatu mbele..acha kuweka jukwaa kwa watu wasiojua thamani ya maisha yao kumdhihaki Mungu na Mtumishi wake..
Wapi nimedhihaki, hongera kwa kuniita Kijana!! Umesoma title ya Habari yenyewe au unasoma ili ujibu, wewe ndio unayemjua Mungu zaidi ya wengine? OK Nimefika Mwisho
 
...acha kuweka jukwaa kwa watu wasiojua thamani ya maisha yao kumdhihaki Mungu na Mtumishi wake..
 
mi ningewasifu sana watu na vitengo vingine kama vingeweza kuwa vinafanya kazi proactively, hii ya kusubiri reactions inaonyesha hawapo huru au hawana think tanks, hadi pale kimetokea kitu ndio kila mmoja atakimbia na lake. Hii inaleta picha flani kwamba ni visasi wakati ilitakiwa haya yafanyike long time. ukiona mkuu ameibua madudu kesho yake utaona watu kila mmoja anakomaa, hivi huwa wako wapi kavla ya mkuu kufika, hivi kazi zao ni zipi hasa na siku zote huwa wako wapi. nadhani hawa ndio wa kuchapa viboko kama enzi zile..
 
Mbona hili halina tatizo; kama Kakobe ambaye amemtaka Magufuli atubu kwa kile anachoona amekifanya au anakifanya vibaya ni lazima afanye hivyo yeye mwenyewe akiwa hana boriti jichoni. Kama mimi ni ningekuwa Kakobe ningetoa taarifa zote wanazotaka kuonesha jinsi gani alivyo mwenye maadil na hivyo kuondoa utata wowote dhidi yake.
 
Ingekuwa hivyo asingebabaika na kuanza kubadili maana ya 'nina pesa kuliko serikali', Kakobe alisahau
Kuwa Jakaya kastaafu sio Rais Tena wakati anaropoka!

Brother aaah sorry sister hawa watu wanatumia uji kufikiri na wameshikwa kama misukule,yani wao no twende mbele sendema,rudi nyuma,kushoto kulia sendema.kuna MTU hapo?
 
Leo ndio nimegundua kumbe bank kama NM* sio bank salama kuweka fedha huko
 
Mbona hili halina tatizo; kama Kakobe ambaye amemtaka Magufuli atubu kwa kile anachoona amekifanya au anakifanya vibaya ni lazima afanye hivyo yeye mwenyewe akiwa hana boriti jichoni. Kama mimi ni ningekuwa Kakobe ningetoa taarifa zote wanazotaka kuonesha jinsi gani alivyo mwenye maadil na hivyo kuondoa utata wowote dhidi yake.
Kakobe hajakataa, kwahio huwezi kusema Ungekua Kakobe!! Tumpe muda tuone!!!
 
Kwani yeye ni nani hata asifuatiliwe ili alipe kodi stahiki? Napongeza kwa 100% hizo juhudi za kutafuta kodi za serikali. Jitu linaanzisha ujinga wa kuikosoa na kuidharau serikali na kumtolea kiongozi wa nchi maneno ya dharau halafu serikali ikionyesha si ya kudharauliwa mipumbavu mingine inamtetea wacha atizammwe hayo mapato yake na alipe kodi kama wengine kama ni kazi ya kuzungumza na kupiga makelele na kutapeli watu kwenye hilo banda lake sas ajue serikali ni nini?
 
Mpumbavu tena? Unawezaje kujibu hoja za Mpumbavu kama na wewe mpumbavu? Tujikite kwenye hoja
 
https://www.economist.com/news/midd...aders-are-turning-revenue-collectors-scourges
 
Mpumbavu tena? Unawezaje kujibu hoja za Mpumbavu kama na wewe mpumbavu? Tujikite kwenye hoja
Kujipatia fedha kwa wapumbavu kwa njia haramu kama makanisa mengi mengi ya watu binafsi na kutokulipa kodi ni kufanya watu wajinga,sasa hao wajinga wakizinduka na kudai kodi zao mjinga anakua yeye wacha wamchembue kama karanga alipe kodi asilete utapeli. Linadanganya watu na kuwaibia "waumini" na kudai ni sadaka alipe kodiiiiii nyambafu yake
 
Back
Top Bottom