Kumbe siku hizi Mtu akikuita JEMBE maana yake wewe ni SHOGA.

Duh...jembe nalo lishakuwa tusi? Ole wake atakaye niita jembe siku hizi!
 
Hapo lazima mwanzisha thread lazima atakuma alikuwa kesha piga kijiti,banana au kiroba .

Zilimchanganya zaidi alipokutana na mwanga wa simu alipofungua jf ndiyo mana kapost *****??

Umejuaje kama na wewe hautumii vtu ulivyovitaja hapo juu.
 
Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga) kwa hiyo mtu akikuita jembe usikubali labda uwe ni mmoja wao(shoga)
Kama kisa nitundu we2 una matundu mangapi ktk mwili wako? Uikutajie unamatundu kama MDOMO,PUA,SIKIO,PIA NA SEHEMU YA HAJA KUBWA,thibitisha kwanza wewe kuwa unashiriki USHOGA make unamatundu mengi zaidi ya jembe lina tundu moja tu.Mimi hoja ya jembe kuwa na tundu iwe kigezo cha kuzuiwa kuitana jembe siyo sahihi,mtu akiwa mchapa kazi bado na JEMBE TU.
 
Soma kwanza uelewe alf ndio u comment sio kukurupuka nimesema kuwa watu wame challenge jembe lina tundu alf kwenye tundu hilo mpini umeingia ndio maana wamehusisha na ushoga mm ndio nina matundu mengi nini kimeingia kwenye hayo matumdu?
 
hahahahahaaa...mpaka mwisho!...wawekee picha mkuu!
 
Wabongo kwakuharibu maana za maneno ndio wenyewe. Hata tigo ilianza hivyo hivyo. . . .
 
Zamani mtu akikuita JEMBE ni sifa nzuri mchapa kazi, hodari siku hizi limekuwa tusi eti kisa jembe lina tundu alafu mpini umeingia kwenye hilo tundu maana yake eti una cameroniwa (shoga)
kwa hiyo mtu akikuita jembe usikubali labda uwe ni mmoja wao(shoga)

hyo ni MISIMU TU,kuna misimu ya pekee,misim ya kitarafa na misim zagao,
sasa suala la JEMBE kwa mujibu wa maeneo yenu ni SHOGA,
Ila kwa upana wa kimatumizi ya MISIMU,
maana ya JEMBE ni ile uloitoa awali na c shoga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom