Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,726
Ruzibiza
Mbona matusi tena ndugu yangu.
Kuwa mnyarwanda siyo tusi na wala siyo jinai.
Jinai ni kuukana uraia wako, jinai ni kutaka kushiriki bunge katika nchi ya kigeni.
Kunitukana mimi hakusaidii kitu.
Nimekwambia namfahamu sana Chaku kuliko wewe labda kama wewe ndiye Chaku mwenyewe anayejibizana nami. Hapa Bushangaro, Karagwe siyo kwenu. "Kwenu" ulisema ni Ngara. Rector wa Ntungamo Pre-seminary amefika mpaka kijiji ulichodai unazaliwa wakasema siyo kwenu bali ulikuja na wazazi kupalilia magumu na vibarua, wakakuacha na kurudi Rwanda. Ukalelewa na masista na baadaye kuingia seminary ya Katoke.
Kanisa lisingeweza kukuruhusu kuendelea na upadre ukiwa umedanganya kuhusu historia yako hata kama kanisa halina mipaka ya kisiasa. Unabishi nini wakati wazazi wako wameishafika kutoka Rwanda na kukutembelea mara mbili?
Leo unakana Unyarwanda, kesho ukipewa cheo na Kagame utakana Utanzania kama walivyofanya wenzako akina Patrick.