Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 375
Wakuu,
Baada ya kuenea kwa tetesi kuwa vyuo vikuu tz vinaongozwa na kijana mnyarwanda anaeitwa CHAKUSHAMAIRE AMONI.
Niliamua kuzama utafitini kwa sababu mimi kwetu ni bukoba karagwe,
UKWELI NI HUU
Huyo kijana alihamia tz mwaka 1993 akiwa na miaka 11 na wazazi wake baada ya vurugu zilizokuwa zikiendelea huko rwanda,
Waliishi huko ngara na baadae akaanza masomo katika shule ya kulelea watoto wenye mazingira magumu hapo ngara ya kanisa katoliki.
Baadae akawa na ambition za upadre lakini akazuiliwa kwa kukutwa na msichana baadae akakosa sifa za kuwa mtawa kwa kosa la kuzini na mtoto wa mlezi wake,
Kijana huyu sio mnyambo wala muhangaza, bali ameoa mwanamke wa kinyambo ndio sababu wengi wanamchanganya na wanyambo,
Mpasha habari wangu aliponiambia haya yote niliamua kufuatilia kule wanakoyolea vyeti vya kuzaliwa ni aibu tupu kwa sababu eticheti kachukua tarehe 15-08-2011 na kinaonyesha amezaliwa hospitali ya mkoa ya kagera, jamani yaani mtu asafiri toka ngara mpaka bukoba mjini kujifungua ili hali hosp za kisasa tena za wamisionar zimejaa huko ngara
hayo sio hoja saana,ila hoja ni kuwa huyu kijana anatamani sana kuteuliwa kuwa mbunge wa bunge la katiba..je rais kikwete usipokuwa macho hawa ndo watu aliosema kagame atakupiga nao.
----------------------------------------------

Mkuu, kwanza sipendi kuongelea watu bali ISSUES cos that's what consists of big brains.
Nimeamua kuchangia hapa hasa kwakuwa issue siyo MTU bali URAIA wa TZ..
Kama anayeongelewa hapa ni huyu AMON CHAKUSHEMEILE ninayemfahamu basi mleta madaa naweza kumwita MZUSHI. Kwa ufupi nimemfahamu AMON CHAKUSHEMEILE tangu akiwa mtoto mdogo na ni kwakuwa nilikuwa mbele yake SANA katika SEMINARY
Alizaliwa BUSHANGARO - Karagwe miaka kadhaa ilopita. Na SI Ngara kama mleta mada alivyosema. Pia alizaliwa katika hospitali ya NYAKAIGA kule kule BUSHANGARO kama nilivyoelezwa na source ya uhakika na si BUKOBA
Alisoma O- Level ktk seminary ya St Charles Lwanga Katoke Sem tangu Pre form One hadi form four. Alifaulu vizuri. Aliitwa MZEE WA BIBLE kwa vile aliikariri biblia toka MWANZO hadi UFUNUO.
Baada ya O-Level alijiunga na RUBYA Seminary ADVANCED na akamerge kwenye HGK. Baadaye alikwenda Chabalisa formation house na NTUNGAMO Major Seminary akasoma Philosophy for TWO yrs. Then aliamua kuacha mtiririko wa masomo kwa ajili ya maisha ya UPADRE.
Alifundisha kwa muda ktk Seminary ya Katoke kabla ya kujiunga na Mzumbe University aliko hadi sasa. Na naambiwa ni Rais wa Serikali ya wanafunzi
OMBI: No research no right to speak. Tusilete habari za kuchafuana kwasababu tu tunataka nafasi za KISIASA kama wanasiasa hasa wa CCM. Amon CHAKUSHEMEILE as i know him is a Tanzanian and I'M READY TO PROVE THAT BEYOND ANY REASONABLE DOUBT!genekai hukutaka kusoma na kuelewa alichoandika mleta mada au ni nini?
Mleta mada anakwambia huyu kijana hakuzaliwa Tanzania bali aliingia akiwa na miaka 11 1993-wewe unampa sifa ya uongo kwa kuwa amesema alizaliwa ngara, wapi mleta mada aliposema amezaliwa Ngara?
Umemjua tangu akiwa mtoto mdogo kwa kuwa ulikuwa mbele yake Seminary-Common, be specific; wewe si mgeni wa Jukwaa; "mtoto mdogo" kisha alikuwa nyuma yako Seminary, hii ilikuwa level gani? Kingergatten? Au ni O'level ndio unayosema mtoto mdogo?
Mleta mada anasema cheti chake cha kuzaliwa amechukua 2011 na kinaonyesha amezaliwa hospitali ya Mkoa wa Kagera, wewe unasema amezaliwa Bushangaro "miaka kadhaa iliyopita". Siijui Karagwe/Bukoba/Kagera lakini nachotaka kujua je Hospitali ya Mkoa ndio inaitwa Bushangaro? Kama sivyo, utakuwa na namna moja ya ku-find-out; upate kujua Cheti chake kama kimeandikwa amezaliwa wapi, iwapo kitaandikwa amezaliwa hospitali ya Kagera ambayo si Bushangaro(rejea swali langu hapo juu kidogo) maana yake ni kwamba huyu kijana atakuwa ameongopa! Je kwanini aongope alikozaliwa? Suala jengine je huyu mtu hana chain of clan-Yaani Baba, Mama, Babu, Bibi, wajomba, shangazi ikiwa pamoja na makburi ya watu wa jamii hiyo? Kwanini msituambie yako wapi? Hatuzuii kuwa na watanzania ambao si wazawa wa Tanzania ila tunataka tuwajue kwamba ni raia wa aina gani ili ikitokea siku wamefanya ndivyo-sivyo tutengue uraia wao (Kwani wana aili ya kwao).