Kumbe ni kweli huyo ni Mnyarwanda kabisa anaeongoza vyuo vikuu Tanzania

Ruzibiza
Mbona matusi tena ndugu yangu.
Kuwa mnyarwanda siyo tusi na wala siyo jinai.
Jinai ni kuukana uraia wako, jinai ni kutaka kushiriki bunge katika nchi ya kigeni.
Kunitukana mimi hakusaidii kitu.
Nimekwambia namfahamu sana Chaku kuliko wewe labda kama wewe ndiye Chaku mwenyewe anayejibizana nami. Hapa Bushangaro, Karagwe siyo kwenu. "Kwenu" ulisema ni Ngara. Rector wa Ntungamo Pre-seminary amefika mpaka kijiji ulichodai unazaliwa wakasema siyo kwenu bali ulikuja na wazazi kupalilia magumu na vibarua, wakakuacha na kurudi Rwanda. Ukalelewa na masista na baadaye kuingia seminary ya Katoke.

Kanisa lisingeweza kukuruhusu kuendelea na upadre ukiwa umedanganya kuhusu historia yako hata kama kanisa halina mipaka ya kisiasa. Unabishi nini wakati wazazi wako wameishafika kutoka Rwanda na kukutembelea mara mbili?

Leo unakana Unyarwanda, kesho ukipewa cheo na Kagame utakana Utanzania kama walivyofanya wenzako akina Patrick.
 
Ruzibiza punguza jazba, jibu hoja na ama tetea ndugu yako kwa hoja na ama lugha ya kiungwana tu, after-all tuachie Operation Kimbunga ifanye kazi yake, haionei mtu, huna haja ya kuumwa kichwa kwa ajili ya Chakushemeire, kama ni Mtz atabaki Mtz, na kama ni Kagame, atabaki Kagame.....relax big boy......penye bluu pia panahusika
USHAURI WA BURE KWA WATANZANIA:(Wewe ni mtu wa wapi mwenzetu?) ninajiuliza muda wa kukaa na ku-manufacture ----- mnautoa wapi?data ndo nini huo ni upambu na am confident to say wote wanaouamini huo uchafu ni wamp--umb--avu...hatuwezi endelea kama tutakalia majungu...jifunze kushindana na mtu si kwa kumsingizia unyarwanda nasema hivo kwa kuwa nina mifano Mingi sana....Tanzania nzima haitaki kuona mtu anafanikiwa,anafanya wonders....utasikia huyo si MTZ....nani kasema ili uwe MTZ lazima uwe mjinga?nenda kamuulize Jenerali ULIMWENGU aliyehudumu katika nafasi mbalimbali za serikali kuu katika TZ na baadaye katika africa....wakati ulipofika akaitwa Mnyarwanda kisa hakuwa na sifa ya utanzania in this case ujinga...
Nimelala chumba kimoja na chakushemeire (MZEE WA BIBLE),nimesoma naye darasa moja na zaidi tumesali pamoja zile sala binafsi hasa sala ile iliyokutwa katika kaburi la Yesu ambayo alinipatia mwenyewe.....
Ni mzaliwa wa Bushangaro miaka ya 1980-85 bila kuzingatia ni hospital gani hasa mama yake alienda kujifungua,hakuwahi kufika ngara hadi mwaka 2001 tulipoenda TYCS,mtu anauhuru wa kuzaliwa sehemu yoyote hapa duniani...mf mimi nilizaliwa Frankfurt ujerumani lakini hainifanyi kuwa mjerumani... (Unatushawishi kwa sababu Chakushemeire alizaliwa Rwanda na kukulia Tanzania, basi ni mtanzania kama ulivyozaliwa Ujerumani) kwa hili nahoji uelewa wa mtoa mada.....(pamoja na jazba zako, uelewa wa mtoa mada upo vizuri)
.......MH Chakushemeire ni mnyambo kiasi cha kutohitaji mke wake kumuongezea unyambo.....tumezoea wivu wa watz
.......tengenezeni hoja ya kumshinda na si kumpakazia ujinga....
........cheti cha kuzaliwa; amon ana haki zote za kupata hicho cheti just mwaka 2011 maana ni asilimia 5 tu ya watz hasa wa wilaya ya karagwe wenye vyeti vya kuzaliwa
........kama anastahili kutengeneza bunge la katiba apewe tu nafasi acheni siasa uchwala.....
........mto mada hawezi akawa na akili nzuri hasa pale anapotaja sababu ya Mh.Amon kutoendelea katika mfumo wa upadri....uchaguzi wa kutoendelea na upadri hauwezi kumfanya mtu mnyarwanda...huna uwezo wa kufikiria
........hamna hoja zaidi mnasambaza chuki za kijinga na hazitawasaidia sana,,,
 
Waanze na Hussen Bashe ambaye NEC ya CCM ili prove kuw ni msomalia...
 
HAKUNA NINACHOWEZA KUPOST HAPA KWENYE THREAD YAKO KWA KUWA SINA UTAMADUNI WA KUONGEA NA VICHAA,WAPUMBAVU,WAJINGA na uncouths kama wewe.....tafuta njia nyingine ya kudefeat chakushemeire na si kwa kumpaka unyarwanda/////,....nadhani wanyarwanda wanapaswa kuwa proud maana kila mwenye kufanya wonders huitwa mnyarwanda .....humuwezi hata kidogo mzee wa bible

Kwa uzoefu wangu mdogo hapa JF ikiwa pamoja na michango kadhaa iliyokuwa ikitolewa wakati wa "High tension" ya Rwanda na TZ, uzoefu wa kuishi na watu hawa miaka mingi ughaibuni+historia ya matamshi ya viongozi wa jirani yetu, lugha hii ni nadra sana kutumiwa na mtanzania "pure" kwenye Jukwaa hili la JF. Bila shaka mwenyewe anajijua uhalisia wake. Aghalabu atakuwa ana uhusiano japo kidogo wa huko kama siyo wote.
 
Mkuu madai mazito lakini wewe umekutana naye seminary watu wanasema kaja Tanzania ana miaka 11 seminarini huwezi kuwepo Kwa umri huo.That is the age anafanya kazi parokiani.Sasa unabeba mzigo mzito kwa kusema hayo.Kwa kuwa ni mkatoliki basi parokiani kwake kuna taarifa za kuzaliwa na kubatizwa ukweli utajulikana kupitia Kwa baba na mama yake na kanisani kuna taarifa za kuzaliwa kwake.

Nadhani information za msingi ambazo zingeongezewa labda alisoma shule ya msingi wapi maana utoaji wa vyeti vya kuzaliwa hapa nchini una utata kwa kuwa mtu unaweza kuwa umezaliwa Shinyanga lakini ajabu kama cheti utakiombea Dodoma ili akipate kiurahisi wengi hujifanya wamezaliwa Dodoma hivyo kwa mtaji huu hata mgeni anaweza kutumia mbinu hii, by the way kwa sasa inabidi tuamini maelezo ya genekai kwamba amezaliwa huko Nyakaiga, Bush angle
 
Last edited by a moderator:
Ukweli kuna tatizo kubwa sana la jinsi ya kusaili watanzania kwa ajili ya vitambulisho. Kwangu nadhani NIDA wanakosea kutumia uajiriwa serikalini kama moja ya hakikisho lisilo na shaka la mtu kuwa Mtanzania. Nachukua mfumo uliopo wa utawala toka ngazi ya juu ya kiutawala mpaka kaya, ambao upo, japo kwa bahati mbaya umechukuliwa kuwa wa kisiasa badala ya serikali. Ukianza kwa mjumbe wa nyumba kumi hadi mkoani, ni rahisi kabisa kwa mtu kutambuliwa kuwa kwanza ni mzaliwa wa eneo hilo maana wazazi watafahamika. Na hapo ndio maana ya sera ya vijiji itumike japo tuliiponda. Wenzetu Kenya unatambuliwa kwa chief au subchief wako, Rwanda na Burundi kupitia Burgemeister. Mfumo uliopo sasa ni kokoro na unahitaji kufumuliwa na kuboreshwa ili kweli mtu ajulikane kama ni mtanzania si tu kwa kusema kiswahili vizuri au lugha ya eneo. Ndio maana Mafinga sasa kumevamiwa na wageni na wamemilikishwa ardhi, baada ya muda watoto wetu watamiliki nini? Ni jukumu letu sisi wa leo kulinda na kujenga nchi kwa vizazi vijavyo. Kuna wakati nikiwa nje nilikuwa na marafiki zangu wazee wasio kuwa na watoto. Walitetea sera ya nchi yao kutoruhusu wageni kupewa kazi, kwa sababu wanazitunza kwa ajili ya 'watoto wao' baadaye. Hilo ndio fundisho kwetu, watoto wasiwe wa viuno vyetu tu.
Kuhusu huyo kiongozi wa wanafunzi ni swala tu la kufanya uhakiki wa taarifa zake, ushabiki haufai. Mimi natoka mikoa ya mpakani, nilipojiunga form one shule ya serikali ilipasa baba yangu akathibitishe uraia wake kwa DC japo alikuwa mwajiriwa wa serikali!! Sasa tumeingiza uwenzetu, tukaona ni ubaguzi, utaratibu huu ukafutwa badala ya kuboreshwa na kuhusisha nchi nzima madhara yake ndio haya. CCM waliwahi kuwa na mgeni ndani ya sekretariati!!! Angalizo uhakiki usifanywe kwa jazba bali haki, na watoto wengi wa raia wa kujiandikisha waelimishwe kuwa uraia wa wazazi wao haurithishwi!! inabidi nao wakifika miaka 18 waukane ule wa wazazi wao au wabakie wageni wakazi. Vyama vya siasa pia itabidi vihakiki uraia wa wanachama wao!

Mawazo yako mazuri ila kuna sehemu tulijikwaa kwani miaka ya nyuma ilikuwa ukiingia sehemu lazima upige ripoti kwenye uongozi wa mtaa at that time balozi wa nyumba kumi ukijitambulisha wewe ni na nani na shughuli zako ni zipi lakini siku hizi naweza toka huku Ihayabuyaba kijijini na mihela yangu nikatimba Dar na kutafuta dalali na kuanza kutafuta nyumba nikipata nahamia na jamii ya pale inaamini mie ni Mtz kisa naongea kiswahili (mpaka 2005 kwenye ofisi za kata kulikuwa kuna vitambulisho vya ukaazi ambavyo ilitakiwa kila mtu anapohamia eneo flani awe nacho lakini kwa kuwa serikali ilipuuzia matokeo ndio haya inakuwa sintofahamu na ukweli mazoezi kama haya huwakumba watz pia hasa wale wenye muonekano wa sura za Kitutsi.

Hapa information ya maana ni shule ya msingi alisoma wapi na ndio itatoa picha halisi ya kisa chake kwani by assumption kabla ya kuanza kumfuatilia ataonekana amezaliwa Tanzania lakini kwa information za seminary inakuwa ngumu na ndio maana hata mamlaka ya vitambulisho au hata unapotaka kuomba cheti cha kuzaliwa kama huna kadi ya kliniki au cheti cha ubatizo unaambiwa ulete cheti cha darasa la saba wakiamini kwa kuwa shule ya msingi umesoma nchini kuna uwezekano ukawa mzawa wa nchini
 
============H

Unless anayeongea ni CHAKUSHEMEILE mwenyewe na si Genekai, nina sababu nzito ya kukataa ufafanuzi wako.
Naandika nikiwa Nyakaiga Bushangaro. Chaku kama anavyofahamika hapa, alikuja akiwa mtu mzima akitokea Katoke Seminary wakati wa likizo zake akiwa Frateli. Hapa hakuna anayejua alizaliwa wapi maana wakati huo kuna watu wengi walikuwa wanakuja kutoka Ngara na Biharamulo kujiunga na MKAMILISHANO hapa Bushangaro. Narudia tena, Chakushemeile hakuzaliwa hapa Bushangaro. Kama anataka uraia ajiunge na CCM hili tatizo lilatiasha kirahisi.

Wanaomjua waseme ni kijiji alichotoka though kuna mdau amesema amesoma Nyakakika Primary School, kwa kijijini mtu ni rahisi kumgundua katoka wapi kwa kumuuliza maswali mawili matatu maana mie mzururaji nilishawahi fika maeneo hayo sikukaa sana kama miezi 8 nikitokea Kayanga kuna watu nilikuwa nawafahamu kuanzia maeneo ya Ahakishaka, Nyakaiga, Kijumbura, Kafunjo mpaka Chamchuzi tulipokuwa tunanunua Primus, sasa kama amezaliwa huko ni easy kumjua maana ukitaja jina watu wa huko wanamjua.

Mmenikumbusha mbali sana nilikuwa nalala guest house hapo Nyakaiga maarufu kama Kwa buguzi kwa shilingi 500 tu huku naangalia soko la Nyakaiga nadhani lilikuwa ni Jumatano
 
Inasikitisha jinsi watanzania walivyowabaguzi na wanafiki. Hivi ni kosa mtu kuwa nchi ya ugenini?

Penya penya mipaka uingie nchi za Watu bila taarifa ndio utajua na nchi zingine ni wanafiki au wabaguzi? Utakua lini wewe STUKA
 
hivi mie ndio sijajua au inakuwaje,kwani mtu unapokuwa chuo kikuu ni haramu kuongoza serikali ya wanafunzi kama sio raia wa nchi ambako chuo kipo?
nadhani tatizo liwe uhamiaji haramu na sio nafasi ya uongozi wa chuo
 
Kwa uzoefu wangu mdogo hapa JF ikiwa pamoja na michango kadhaa iliyokuwa ikitolewa wakati wa "High tension" ya Rwanda na TZ, uzoefu wa kuishi na watu hawa miaka mingi ughaibuni+historia ya matamshi ya viongozi wa jirani yetu, lugha hii ni nadra sana kutumiwa na mtanzania "pure" kwenye Jukwaa hili la JF. Bila shaka mwenyewe anajijua uhalisia wake. Aghalabu atakuwa ana uhusiano japo kidogo wa huko kama siyo wote.

unazungumza na nani?I don't care who u think I am....I am in fact who i am....mmezoea umbea umbea kusengenyana nk...ndo maana nimeonekana kuutamka maneno makali kidogo hii tabia ya ku- snitch watu na kuwapakazia mambo yasiyo ya kweli inakera sana... na si jinsi ya ku-address issue inanifanya kuwa na asili ya kule bali asili inabaki kuwa asili no matter what....nasema hivo kwa kuwa namfaham chakushemeire zaidi ya mtu yeyote anaweza kufikiria... NI MTANZANIA hata kama hafikirii ki-tanzania hilo halimvui utz.....
 
Hatari hawa jamaa wanapenda ukuu na madaraka kwenye damu. Hapo tayari ni rais wa wanafunzi wakati allegiance ni kwa kagame. kwa ufala wetu si muda mrefu wataingia magogoni.
 
du kwa kweli tanzania ni shamba la bibi, kila mjukuu anastahili kuvuna chake.hoja za mchungaji mtikila kwamba kagame ameingiza wanyarwanda 35,000 nadhani serikali yetu imeamini kwamba alichosema mtikila kilikuwa ni cha kweli.

Wosia wangu kwa serikali ni kwamba ifanye kila linalowezekana kuwaondoa wahamiaji haramu wa kila kabila kuna wasomali kibao hapa dar es salaam inasubiri nini kuwatimua, je inasubiri vitisho vya rais wa somalia ndipo ichukue hatua? Kuna raia wa kenya pale mafinga wamejimilikisha ardhi kubwa kinyume cha sheria nao waondolewe.

Tanzania bila mamluki inawezekana.
wakwanza lage aikifatiwa na mungai wote waondolewe
 
Ruzibiza
Mbona matusi tena ndugu yangu.
Kuwa mnyarwanda siyo tusi na wala siyo jinai.
Jinai ni kuukana uraia wako, jinai ni kutaka kushiriki bunge katika nchi ya kigeni.
Kunitukana mimi hakusaidii kitu.
Nimekwambia namfahamu sana Chaku kuliko wewe labda kama wewe ndiye Chaku mwenyewe anayejibizana nami. Hapa Bushangaro, Karagwe siyo kwenu. "Kwenu" ulisema ni Ngara. Rector wa Ntungamo Pre-seminary amefika mpaka kijiji ulichodai unazaliwa wakasema siyo kwenu bali ulikuja na wazazi kupalilia magumu na vibarua, wakakuacha na kurudi Rwanda. Ukalelewa na masista na baadaye kuingia seminary ya Katoke.

Kanisa lisingeweza kukuruhusu kuendelea na upadre ukiwa umedanganya kuhusu historia yako hata kama kanisa halina mipaka ya kisiasa. Unabishi nini wakati wazazi wako wameishafika kutoka Rwanda na kukutembelea mara mbili?

Leo unakana Unyarwanda, kesho ukipewa cheo na Kagame utakana Utanzania kama walivyofanya wenzako akina Patrick.
Aisee..imekaa vizuri sana... Halafu wakiingia kwenye system wanabebana hadi inatia kinyaa. Hakika tanzania ni shamba la bibi, hali hii lazima ikome.
 
Unatushawishi kwa sababu Chakushemeire alizaliwa Rwanda na kukulia Tanzania, basi ni mtanzania kama ulivyozaliwa Ujerumani-----mtoa "utumbo" anadai chakushemeire ni mtu wa ngara so haiwezekani mama akasafiri kwenda kujifungua hospital ya mkoa BUKOBA huu ni upungufu wa utashi (common sense) au kutokuwa na utashi kabisa (nonsense)
kama kila mtu atakuwa anakurupuka na hisia zake tunaanza kuzijadili tutapata Muda wa kujadili mambo ya maana?hata hivo kama si ushabiki na utamaduni wa hovyo hii thread isingepata mchangiaji hata moja maana haina mvuto kwa watu wenye timam.....coz alichoandika huyu mtu ninaweza kukiandika pia juu yako na kwakuwa walowengi wana muda wakupoteza basi watajadili,tatizo linaanzia pale tunaposhindwa kutambua uzi wa kujadili na ule wa kupotezea....unapojiunga JF huulizwi kama una akili timam na ndo maana wengi tunao tunakalia jamvi moja but in real sense hatupaswi kukalia jamvi moja....FYI hii siyo facebook kuna msemo mmoja wa kijerumani "

i ist nur verantwortlich für das, was ich tue und nicht für das, was Sie denken, was ich tun kann"

Ruzibiza punguza jazba, jibu hoja na ama tetea ndugu yako kwa hoja na ama lugha ya kiungwana tu, after-all tuachie Operation Kimbunga ifanye kazi yake, haionei mtu, huna haja ya kuumwa kichwa kwa ajili ya Chakushemeire, kama ni Mtz atabaki Mtz, na kama ni Kagame, atabaki Kagame.....relax big boy......penye bluu pia panahusika
 
Nahofia sana mateso wanayopata watz wenzetu wanaopelekwa ugenini kwa kuambiwa sio raia kwasababu tu ya chuki na tofauti za kisiasa! Ni manyanyaso ambayo huwezi kueleza hapa!
Wanaotimuliwa sio raia. Kwa nini unamwaga machozi ya mamba mkuu? Kama wako raia wachache walioathirika bila shaka haki itatendeka, lakini zoezi ni halali na linatakiwa kuwa la kudumu.
 
tataizo hapa unaongea lkn si kute wewe mwenyewe ni mhamiaji haramu....we have alot of work ahead of us,lkn tutawabaini tu
Mkuu, kwanza sipendi kuongelea watu bali ISSUES cos that's what consists of big brains.

Nimeamua kuchangia hapa hasa kwakuwa issue siyo MTU bali URAIA wa TZ..

Kama anayeongelewa hapa ni huyu AMON CHAKUSHEMEILE ninayemfahamu basi mleta mada naweza kumwita MZUSHI. Kwa ufupi nimemfahamu AMON CHAKUSHEMEILE tangu akiwa mtoto mdogo na ni kwakuwa nilikuwa mbele yake SANA katika SEMINARY

Alizaliwa BUSHANGARO - Karagwe miaka kadhaa ilopita. Na SI Ngara kama mleta mada alivyosema. Pia alizaliwa katika hospitali ya NYAKAIGA kule kule BUSHANGARO kama nilivyoelezwa na source ya uhakika na si BUKOBA

Alisoma O- Level ktk seminary ya St Charles Lwanga Katoke Sem tangu Pre form One hadi form four. Alifaulu vizuri. Aliitwa MZEE WA BIBLE kwa vile aliikariri biblia toka MWANZO hadi UFUNUO.

Baada ya O-Level alijiunga na RUBYA Seminary ADVANCED na akamerge kwenye HGK. Baadaye alikwenda Chabalisa formation house na NTUNGAMO Major Seminary akasoma Philosophy for TWO yrs. Then aliamua kuacha mtiririko wa masomo kwa ajili ya maisha ya UPADRE.

Alifundisha kwa muda ktk Seminary ya Katoke kabla ya kujiunga na Mzumbe University aliko hadi sasa. Na naambiwa ni Rais wa Serikali ya wanafunzi

OMBI: No research no right to speak. Tusilete habari za kuchafuana kwasababu tu tunataka nafasi za KISIASA kama wanasiasa hasa wa CCM. Amon CHAKUSHEMEILE as i know him is a Tanzanian and I'M READY TO PROVE THAT BEYOND ANY REASONABLE DOUBT!
 
Ruzibiza
Mbona matusi tena ndugu yangu.
Kuwa mnyarwanda siyo tusi na wala siyo jinai.
Jinai ni kuukana uraia wako, jinai ni kutaka kushiriki bunge katika nchi ya kigeni.
Kunitukana mimi hakusaidii kitu.
Nimekwambia namfahamu sana Chaku kuliko wewe labda kama wewe ndiye Chaku mwenyewe anayejibizana nami. Hapa Bushangaro, Karagwe siyo kwenu. "Kwenu" ulisema ni Ngara. Rector wa Ntungamo Pre-seminary amefika mpaka kijiji ulichodai unazaliwa wakasema siyo kwenu bali ulikuja na wazazi kupalilia magumu na vibarua, wakakuacha na kurudi Rwanda. Ukalelewa na masista na baadaye kuingia seminary ya Katoke.

Kanisa lisingeweza kukuruhusu kuendelea na upadre ukiwa umedanganya kuhusu historia yako hata kama kanisa halina mipaka ya kisiasa. Unabishi nini wakati wazazi wako wameishafika kutoka Rwanda na kukutembelea mara mbili?

Leo unakana Unyarwanda, kesho ukipewa cheo na Kagame utakana Utanzania kama walivyofanya wenzako akina Patrick.

mimi siyo chakushemeire mimi ni Ruzibiza kama unavoona profile yangu,alaf nikuombe kitu mimi siyo ndugu yako tunacho share ni ubinadamu tu na hilo haliwezi kukufanya ndugu yangu...kama ubinadam ndiyo undugu usingekaa na kumpaka matope ndugu yako Chakushemeire kwa kushindwa kupambana naye kifikra,mtazamo,msimamo na hata kwa nafasi yake alonayo a zaidi ya yote influence alonayo.....
kwanza, hakuna kitu kama Ntungamo pre-seminary, na kama unamaanisha iliyokuwa seminari ndogo ya Ntungamo-Ngara,bwana Chakushemeire hajasoma hapo kwa kuwa wanafunzi wa mwisho kujiunga na hiyo seminary ni wale waloingia mwaka 1997 na yeye chakushemeire aliingia pre-form one mwaka 1999 seminari ya Katoke. so hizo siyo hoja bali ni "utumbo"
 
Back
Top Bottom