Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Kabla ya 1998 pre- form One na form ONE walikuwa wakianzia NTUNGAMO- NGARA, ila tangu 1998 hadi LEO Pre- form ONE wanaanzia pale pale KASEMI. Ntungamo kwasasa ni chuo cha Katekesi!Mkuu naomba unijuze kwa pale Katoke Seminary uliposoma...Pre-form one wanasomea palepale? Ninavyojua mimi ni kuwa Pre-form one walikuwa wanaanzia Ntungamo alafu pale Katoke wanakuja wakiwa form one au form two kama sijakosea. Wewe ulianzia pale Pre-form one? Kweli? Niweke sawa kwa hilo kwanza alafu ndo tuendelee na maswali mengine.
Tatizo nyie watu ni wavivu kusoma posts ndefu, angalia hapo juu nimeeleza kila kila swali unalouliza BAADA ya mimi kutoa maelezoNamtetea mleta mada kama wewe unamfahamu twambie wazazi wake na mababu zake na kijiji anachotoka make nilifanikiwa kuishii huko mbona huyo simfahamu? nimeishi hapo nyakaiga nimesomea s/msingi nyakaiga awataje wazazi wake na wazazi wake wanatoka ukoo upi, inawezekana unamtetea ukweli utajulikana hakuna eneo linalonipiga chenga Sasa
Wataje wazazi wake baba yake anazaliwa na nani na mama yake alitoka wapi ili tuweze kuendelea
Sijaona cha kukujibu Mkuu, well tuyaache tu haya!!!Mathematically, huenda jibu halisi likawa hapo kwenye Bluu (Mutul Exclusive events). Hayo mengine ni sehemu ya majisifu ambayo mie si fani yangu. By the way nimezaliwa trh 9/08/1968 ilikuwa siku ya Ijumaa, alfajir; ndani ya Jiji hili la Dar, (Japo viyamboni Morogoro). Kwa hiyo hapo kwenye red utapiga hesabu zako na kujiweka kwenye kundi husika kadri utakavyoona inafaa.