Kumbe nacheza uwanja mmoja na baba

Fanya hivi..kama una mshkaji wako msela msakizie kiaina amtokee huyo beki tatu..jamaa amgande dogo hadi ashindwe kuwa effective na kaz za home na basically watoto wa kike wakipata bwana kitaa wanabadilika na kukosa adabu taratibu..kama maza wako yuko timamu akishtukia tabia ya beki tatu imechange anaweza ampige chini..ila hiii approach sio ya overnight inachukua muda
.ila jamaa yako usimwambie wewe na mshua mlikua mnapiga.hiyo ni siri kubwa!
 
Sisemi kwamba house girls hawana haki ya kupenda au kupendwa. Ila ukweli mchungu ni kwamba wadada wa kazi wengi wanajikuta kwenye mahusiano na watoto wa kiume na mababa wenye nyumba sio kwa kupenda, wengi hawapendi ila wanajikuta tu wanakubali ili kulinda "vibarua vyao". Mdada hajiwezi, na anawaza je nikikataa nikafukuzwa, ntafanyaje na haya maisha.

Afu hawa wadada wa kazi ni kama watoto wa familia husika, mkatongozage huko nje jamani. Familia nyingine ptuuu, ndo madomo zege au kuonea tu mabinti za watu? Huwa mnakuwaga na nia za kuwaoa kweli, au kusuuza tu mirungu yenu. Hawa hata wakisema huyu mdada afukuzwe, akija mdada mwingine watamtongoza tu kama kawaida yao. Solution ni wao wenyewe kuanza kujiheshimu na kuwaheshimu hao madada. Muwe na aibu, muwe na Utu
Heaven Sent

Umenena kweli kabisa. Ila hakuna justification utakayotoa kwa Mungu au mwanadamu kwamba house girl amelala na baba na mtoto kwa sababu ya kibarua chake. No way. Tangu tunakuwa ni taboo kabisa na wewe mwenyewe unaona wakati unakuwa kwamba kulala na ndugu hairuhusiwi. Au kulala na baba na mtoto wake wa kiume hairuhusiwi au kulala na mama na mtoto wake wa kike. Sijustify baba na mtoto kulala na mwanae ila house girl kwa kujua kabisa kulala na baba na mtoto ni extreme.

Wapo mahouse girl wengi wameacha kazi baada ya baba wenye nyumba kuwataka kimapenzi lakini wanasurvive. Na Mungu anaendelea kuwalinda.
 
Aah nimekuelewa vizuri mpendwa. Me niliongelea tu tabia za familia nyingi kutake advantage ya hawa wasichana na kuwafanyia ubazazi. Wengi wao hawana uwezo wa kupaza sauti na kusema hapana,....tuwaheshimu na kuwalinda
 
Yani kwa mfano we ndo ungekuwa osigelo wetu enzi hizo... hivi sasa ungekuwa unanilelea wanangu.

Mi na osigelo enzi hizo ilikuwa kama ndimu na kachumbari
 
Kaa na baba ako mjadiliane ni nani aliwahi, kama ni dingi mwambie tu kibingwa akuachie! Kama ni wewe gentleman! Endelea kula unaweza kukuta mama alimleta kwa ajili ako dingi akaona unazingua
 
Ukimchana makavu mzee utanyimwa ugali, bahat nzur usha gundua kuwa housegirl analiwa na mzee basi we kaa pembeni acha muvi iendelee, ukitaka kumvaa mzee tafutaga pa kula mapemaaa....
 
Nimegundua humu JF majina ambayo watu wanatumia yanaendana nao kwa asilimia kubwa sana.
 
Poa mkuu Ila si unajuatena nimemaliza Chuo na Kama miezi 5 hata channel bado hazija set frsh, Ila kujikataa maskani nitajikataa tu b'se hata Mimi napenda niwe huru zaid.

kuna watu wanakwambia mweleza baba sijui wanawaza nini, me sikushauri uongee na baba wala mama, cha msingi hama nyumbani, kambi popote.
 
We na mzee wako wote hamna maana, beki tatu ni uwanja wa mazoezi wa vijana wanaobalehe hapo ndio uwanja wao wa kujifunzia au nanyie ndio mmebalehe
 
Back
Top Bottom